Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

UTAMU WA MABOSS?????? 8

30th Nov, -0001 Views 234

UTAMU WA MABOSS?????? 8

Alex baada ya kuuona uso wake alipiga makelele kwa hasira ????????

Alipogeuka kumtazama Linda tayari alikuwa ameshaondoka

"Nitawashangaza sana wazazi wangu wakiniona na makeup naweza kuwakumbusha kuhusu siku nilivyomleta mpnz wangu nyumbani wakiwepo na nikall nae ,hio siku walinigombeza sana, Alex akawa anajisemea.

"Na wataanza kuniuliza naoa lini, hii makeup itawafanya wahisi vitu vingine..

Alex Alifika nyumbani dakika chache baadaye na akakuta chakula cha jioni tayari kimewekwa lakini wazazi wake hawapo mezani,

Alex alipumua kwa utulivu, maana alikuwa anawaza ataweza vipi kuingia ndani Hali ya kuwa ana makeup usoni mwake.

Angalau hakutakuwa na maswali kutoka kwao.
Alipanda chumbani kwake na kukutana na Mabel akiwa ndani ya chumba chake akibonyeza simu yake.

"Una ujasiri gani wa kuingia chumbani kwa kaka yako mkubwa bila ridhaa yake" Alex aliongea akivua viatu vyake na kuviweka kwenye henga ya viatu.

Mabel alicheka.kisha akasema
"Pole kaka" bila hata kumtazama Alex .

Aliendelea kuchezea simu yake huku akiondoka kule chumbani kwa kaka yake..

"Nashukuru Mungu hakuona vipodozi vyangu usoni duh???????? aliwaza Alex

Alivua nguo zake na kwenda kuoga.
Alivaa nguo mpya za kulalia na kushuka chini aliwakuta kila mtu ameketi na pia Alex alienda kuketi baada ya kumpg bs mama yake kwenye mashavu yake...

"Habari za jioni baba" Alex alisalimia lakini baba yake alimtazama tu Alex akajua anataka kusema jambo.

"Sema unachotaka baba maana ni kama unataka kuongea jambo" alisema Alex akiwa anakula.

Baba yake Alex Aliacha kula na kumtazama alex.

"Tunafanya tena kumbukumbu ya miaka kadhaa ya ndoa yetu kesho ambayo ni Ijumaa"
"Ooookkkk" alisema Alex

"Unasemaje oookk" Alisema baba yake Alex kwa kejeli "Tunawaalika watu wote na nataka umualike mpnz wako" akasema baba yake Alex.

"Nini?? Kwanini??" Akauliza Alex kwa mshangao

"Cos ni aibu sana kwa wewe kutomleta mpnz wako hapa tumuone hivi huoni umri unaenda huo?? Unataka tuanze kuhisi vitu vingine??," alisema baba yake Alex na Alex akahema.

"Nimepoteza hamu ya kula"Alex lisema na kusimama.

Aliondoka pale mezani huku akijisemea ni kweli nimewapitia wengi ila kusema kweli kwa wote niliowapitia hata sioni wa kumuoa????????siwezi kuoa hata mmoja wao wote ni wapuz tu..

"Leo ni siku ya kumbukumbu ya wazazi wangu na sina rafiki wa kike.
Nifanyeje?,Alex akajiuliza.

" Hivi Siwezi kumuomba Linda afanye hivyo aje nimtambulishe kama rafiki yangu wa kike kwa wazazi wangu????????, hata sijui kama ana mpnz au laa naogopa hata kumwambia maana Linda ni mwenda wazimu yule,

Ila mimi ni bosi wake' Linda anatakiwa kufanya kila ninachotaka na anapaswa kunielewa, nitamuamlisha kwa lazima..

Alilala na kesho yake mapema alijiandaa na kisha akaanza safari kuelekea ofisini kwake..

Alex Alifika kwenye kampuni na wafanyikazi wake wote walimsalimia lakini walikuwa kana kwamba wananong'ona pemben na wanamshangaa.

"Wananishangaa nn Hawa wapuzi? Je! hawajui kuwa ninaweza kuwafuta kazi wakati wowote ninapotaka, akawaza Alex.

Alifika ofisini kwake na Linda alikuja baada ya dakika 2.
"Umechelewa kwa dakika 2" alisema Alex huku akiwa anachukua kahawa yake.

"Samahani bwana," alisema linda
“Kaa” Alex alimuamuru na linda akakaa mara moja.
"Kuna nn? Linda aliuliza kwa mshangao.

"Naongelea mambo ya kunipodoa kwa nn ulifanya hivyo" Alex akasema kwa ukali na Linda akacheka kidogo.

Alex aligonga meza kwa nguvu na Linda akaruka.

"Nitakupa ofa kisha nikuadhibu baadae" akasema Alex

"Ni ofa gani" aliuliza Linda
"Unatakiwa uwe mpnz wangu kwa leo na nitakulipa dola elfu 34" Alex alimwambia Linda na Linda akashtuka.
"Usishtuke dili hili au hautaki" Alex alimuuliza Linda

"Nimekubali, mradi hautafanya ujinga" akasema Linda
"Unamaanisha nini kusema hivyo" Alex alimuuliza na Linda akatabasamu
"I'm sure you know what I mean" Alisema Linda na kusimama akiwa anataka kuondoka mara akageuka nakusema ..

"Sina nguo maalum ninayoweza kuvaa"
"Basi twende shopping" Alex alisema na Linda akatoa macho
"lakini una mkutano na kampuni ya MK na unatakiwa kula chakula cha mchana na Mkurugenzi Mtendaji wa Nesco, Bi Julie akasema linda

"Alex alimwambia Linda Mbona unaongea sana. Tayari Nina shauku kubwa ya kwenda shopping na wewe
"Futa appointment zote"

"Bwana, unaghairi ratiba zako zote kwa sababu unataka kwenda kufanya manunuzi na Mtu wako wa siku moja tu????..

"Linda Kwa kuwa ulikubali kuwa mpnz wangu kwa leo kwa nini nisiweze kwenda kufanya manunuzi na wewe" nitafanya kila kitu nakuapia..

" SAWA " akajibu linda
"Twende sasa????????
Walielekea nje kwenye gari huku kila mmoja akiwa anamwangalia mwenzie kwa tabasamu????????

Itaendelea ????

Soma yote kwa kulipia 1000

Njoo WhatsApp 0742133100.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS?????? 8  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-8



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in


Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya  27
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 27
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
 UTAMU WA MABOSS Sehemu ya      30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu      25~26
UTAMU WA MABOSS Sehemu 25~26
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS sehemu ya  29
UTAMU WA MABOSS sehemu ya 29
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS???  SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS ????❤️  Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS ????❤️ Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake  pamoja na Bryan.  "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 10 Linda  Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS 10 Linda Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS PART 12  Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
UTAMU WA MABOSS PART 12 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in



Warning: Cannot modify header information - headers already sent by (output started at /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/pages/includes/header.php:83) in /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/core/function.php on line 258