YANGA WAMESOMA CUBA.๐ NI KAMPUNI GANI YA KUTENGENEZA JEZI
N/A tuwapigie makofi timu ya Young Africans Sports Club
Klabu ya @yangasc leo imetoa toleo jipya la jezi zao ikiwa ni mwezi mmoja baada ya kutambulisha jezi za msimu.
Lugha waliyotumia Yanga kuleta mzigo mpya sokoni imejaa sanaa sana ya muktadha.
NB: Ilikuwa ni ngumu kusema sokoni kugumu.๐คฃ
Nasoma COMMENT zenu mashabiki zangu ๐คฃ
.aliye post ni admin wangu ๐ Djparty On Mix
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni