VYOTE NDANI GONGA94
Hajalishi Wewe Ni Mzuri Namna Gani Ila Chunga Sana Ndoa Yako Isifikie Huku!
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Haijalishi wewe ni mwanamke mzuri namna gani, haijalishi una akili kiasi gani, haijalishi una mawazo mazuri namna gani, kama hujui jinsi ya kuongea na mwanaume wako, ni suala la muda tu atakuacha.
Wanaume wengi hawaonyeshi hasira zao, hawatoi nyongo, hivyo wanachoka kimya kimya, na tatizo ni kwamba unaweza ukaishi ukidhani mnaendelea vizuri wakati yeye tayari amechoka ndani kwa ndani.
Ukizungumza kila siku kwa namna inayomfanya mwanaume ajione mjinga, ajione hafai, au ajione hana thamani mbele yako, atakuvumilia kwa muda akiamini labda akili yako itafunguka na utabadilika, lakini ukigoma kubadilika, utashangaa tu siku unagundua kuwa anakupotezea muda na wewe unabaki tu kusema “nina ndoa naye, mimi ndiyo mke wake,” kumbe alishakuacha muda mrefu, unachoita ndoa ni jina tu, roho yake haipo tena ndani ya nyumba.
Ubaya zaidi ni kwamba mwanaume haachi pale ambapo una “mdomo,” hapana, anasubiri hadi siku ambayo unamhitaji sana ndipo anaondoka, kwa sababu anajua huna pa kwenda.
Ndiyo maana dada usifike huko, usikae ukijifariji kwa uzuri wako au akili yako, wakati unaharibu kila kitu kwa ulimi.
Kama hujui namna ya kuongea na mwanaume wako, soma kitabu changu cha Rudisha Upendo, nimeelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kuongea na mwanaume wako, kwa sababu maneno yako yanaweza kuwa kama limbwata—yanaweza kharibu upendo, kuharibua heshima, na kuvunja ndoa bila hata wewe kujua.
Bei yake ni Tsh.15,000/- lakini kwa leo nitakupa kwa bei ya OFA lipia Tsh.9,999/- tu!
Kukipata, unalipia TSH. 9,999/- kwa M-Pesa No. 0742-381-155 au Tigo Pesa No. 0657-552-222.
Hakikisha jina linakuja Iddi Makengo, kitabu unatumiwa kwa WhatsApp/Email/.
---- Baada ya kulipa, tuma ujumbe WhatsApp kwa namba hizo na andika “Nimelipia kitabu cha “RUDISHA UPENDO” kwa jina flani (jina lako au la wakala)
MUHIMU; Hakuna nakala ya karatasi ni SOFT COPY tu
MWISHO
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi hajalishi-wewe-ni-mzuri-namna-gani-ila-chunga-sana-ndoa-yako-isifikie-huku