Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  Ile simu ya Siku ya kuripoti kituo cha polisi ikafika. Nilipaswa kwenda peke yangu, ila Elijah akaniambia atanipa kwa gari
Gonga94 · Stories

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Ile simu ya Siku ya kuripoti kituo cha polisi ikafika. Nilipaswa kwenda peke yangu, ila Elijah akaniambia atanipa kwa gari

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
lake. Sikuwa na sababu ya kukataa, tukaenda wote hadi kituoni.

Nilipofika nikaenda kuripoti kama kawaida, huko nikakutana na Afande Ruth. Mara ya mwisho hatukuonana, kwa hiyo tulizungumza sana tukipiga stori. Alifurahia kuniona nikiwa sawa.

Wakati mimi niko kwa Afande Ruth, Elijah aliamua kumtembelea Elton ofisini kwake. Ila Elton hakuwa na mood kabisa. Alikaa tu kimya, uso wake ulikuwa kama mtu mwenye mawazo mengi. Na ninajua kabisa alijisikia vibaya kwa sababu Elijah ndiye aliyenipeleka kituoni.

Elijah naye aligundua cousin wake hana furaha "Nimegundua hujafurahia kunilona, na tangu usikie nilimleta Gina, umekuwa mkali. Kama unampenda tu sema"

"Sina mapenzi naye Elton alikataa

"Sasa mbona unanikasirikia?"

"Just nimechoka hakuna cha zaidi"

"Wewe mwenyewe unajua Sijazoea kuona unaninyamazia hivi"

"Elijah, kama unavyoniona niko busy sana. Kama huna kitu cha maana cha kusema, tafadhali niache nifanye kazi

Elijah akainuka kwa hasira, akatoka ofisini.

Alipofika nje kituoni, akanikuta nimeshamaliza kuongea na Afande Ruth nipo namsubiri.

Nilimuona kabisa hakuwa sawa. Elijah ni mtu mtulivu, hawezi kukasirika kirahisi, kwa hiyo nilijua kuna kitu kibaya kimemkera.

"Elijah, nini mbaya? Mbona uso umebadilika?"

"Ni Elton, lakini usijali. Najua namna ya kudeal naye. Ameharibu mood yangu nzima. So Badala ya kurudi home, twende tukale ice cream kidogo ili tu-relax, sawa?"

"Sawa"

Tukapanda gari, Elijah akanipeleka sehemu nzuri sana ya ice cream. Nilifurahia mno, tulikula tukacheka. Baadaye akaamua twende mall.

Akanionyesha vitu vingi, akanifanyia shopping.

kidogo sababu sikutaka vitu vingi.

"Elijah, asante sana

"Usijali, chochote kwa ajili yako"

Baada ya hapo tuliamua kurudi home maana Ilikuwa jioni. Lakini tulipofika hatukutarajia kumkuta Elton nyumbani. Alikuwa amewahi kurudi, na japokuwa hakusema chochote, niliona

kabisa ndani yake amekasirika, Alijaribu kuficha, lakini macho yake yalionyesha ana wivu na hasira

Mimi nilichofanya tu ni kuingia store kama kawaida, nikawaacha yeye na Elijah sebuleni.

"Sasa uko sawa, tunaweza kuongea?"

"Nilionekana kama sikua sawa?" Elton akajibu.

"Bro, nilivyokuja ofisini ulikuwa tofauti. Hukuongea kabisa. Nilijua kuna shida"

"Tuachane na hayo! siku yako imekuwaje?" Elton aliuliza kimtego

"Siku yangu Imekuwa poa sana. Nilitembea sehemu tofauti, na nilikua na Gina

Elton akanyamaza sekunde chache kisha akasema, "Basi mara nyingine ukitaka kumtoa house girl wangu out, niombe ruhusa kwanza"

"Kwanini? Ni mtu mzima, sio mtoto"

"Kwanza kabisa, Gina ni mtuhumiwa. Ndio maana hatakiwi kuondoka Arusha hadi mwezi uishe. Unanielewa? Sasa vipi kama angekimbia? Ungetueleza nini polisi? Ndiyo maana sitaki umtoe bila ruhusa yangu

"Sawa nimekuelewa, ila haonekani kama anataka kukimbia. Alafu Hiyo ndio sababu pekee? Ama kuna nyingine?"

"Unadhani kuna sababu gani nyingine? Nimekwambia mara nyingi, sina hisia yoyote kwake. Nachojali ni kwamba mimi ndiye nimemtoa kituoni, mimi ndiye nitalipa deni lake. Kwa sasa niko responsible kwake hadi mwezi uishe. Hicho tu"

Baada ya kusema hivyo, Elton akachukua laptop yake akaenda chumbani. Elijah akabaki anatabasamu kimyakimya, maana alijua cousin wake tayari ameshafall, ila anajifanya mjanja kukataa.

Lakini ukweli ni kwamba Elton hakulala usiku. huo. Kila alipogeuka kitandani, mawazo yake yalikuwa juu yangu. Alikumbuka kila kitu, ile

mara ya kwanza tulivyofanya mapenzi kwenye gari, na ile mara ya pili ndani ya nyumba..

Yale matukio yalimvuruga kichwa. Na kila muda ulivyokuwa unasogea, kiburi chake kilianza kupungua polepole.

Basi aliposhindwa kulala kabisa, Elton akaamua anifuate. Akaamka, akatembea kimya hadi store. Akafungua mlango akanikuta nimejilaza tu bila. kufunga macho.

Nikamuuliza "Unahitaji kitu?"

"Hapana, nataka tu kujua kwanini ulitoka na

Elijah bila ruhusa yangu

Sikuwa na cha kumjibu. Wakati huo nilikuwa nimeshikwa na homa, mwili unatetemeka. Nilihisi kabisa nimechoka, labda kwa sababu ya kula kitu vya baridi.

Pia wiki kadhaa nilikuwa nalala sakafuni pamoja na kwenye vumbi. Nakumbuka mara kadhaa Elton alinimwagia maji baridi.

Elton hakuliona hilo mwanzoni, akaniuliza tena, "Mbona umenyamaza?"

"Sorry"

Akasogea karibu zaidi, akanitazama vizuri "Wewe uko sawa kweli?"

"Ndio, niko sawa

Nilikataa Lakini aliona kabisa nasema uongo.

Akaweka mkono juu ya kichwa changu kuangalia joto, akashangaa jinsi nilivyokuwa wabaridi. Hapo ndo akajua naumwa. Bila hata kufikiria mara mbili, alinibeba mikononi na kunipeleka chumbani kwake

Maoni

You're not logged in


profile
Ney 09 Nov 2025 08:05
Nzur
Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Ile simu ya Siku ya kuripoti kituo cha polisi ikafika. Nilipaswa kwenda peke yangu, ila Elijah akaniambia atanipa kwa gari

lake. Sikuwa na sababu ya kukataa, tukaenda wote hadi kituoni.

Nilipofika nikaenda kuripoti kama kawaida, huko nikakutana na Afande Ruth. Mara ya mwisho hatukuonana, kwa hiyo tulizungumza sana tukipiga stori. Alifurahia kuniona nikiwa sawa.

Wakati mimi niko kwa Afande Ruth, Elijah aliamua kumtembelea Elton ofisini kwake. Ila Elton hakuwa na mood kabisa. Alikaa tu kimya, uso wake ulikuwa kama mtu mwenye mawazo mengi. Na ninajua kabisa alijisikia vibaya kwa sababu Elijah ndiye aliyenipeleka kituoni.

Elijah naye aligundua cousin wake hana furaha "Nimegundua hujafurahia kunilona, na tangu usikie nilimleta Gina, umekuwa mkali. Kama unampenda tu sema"

"Sina mapenzi naye Elton alikataa

"Sasa mbona unanikasirikia?"

"Just nimechoka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-nilegezee-kamba-sehemu-ya-kumi-na-moja-ile-simu-ya-siku-ya-kuripoti-kituo-cha-polisi-ikafika-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-nilegezee-kamba-sehemu-ya-kumi-na-moja-ile-simu-ya-siku-ya-kuripoti-kituo-cha-polisi-ikafika-
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

394
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

254
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

173
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

105
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest