Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

BILIONEA NDANI YA HOTELI EP40

21st Aug, 2025 Views 219


Muuza duka alikuwa anaongea sio tu kurusha mikono hadi mate yalikuwa yanamrukia Rahul lakin alivumilia hizi Habari kwake zilikuwa nzito sana ….

“hayaa tuseme sawaaa,, mimi sijui , na huyo mtotoo alimtapika”

‘mtotooo????,,mtoto wa nanii??”Rahul hakuweza kuficha mshangao wakeee dhahili
“kumbe hata huyo dem humjuii??,,si anamtoto yule glory mkubwa kabisa na kabla yah apo ashatoa mimba sanaaa “
“Godness!!shitii,,hivi una…yaan unasema et ..haa..kile kitoto si cha Vicky kilee”

“ooh …hey heyy Salome embu njoo !!” muuza duka alimuita bint mdogo aliekuwa anapita ,, yule bint akaogea akawasalimia…

Muuza duka akamuuliza et Salome nimtoto wanani ??,,na yule bint Aliona kama muuza duka anamfanyia utani “si wa masha bwana we vipii “

Hakusubir swali lingine akaondoka zake,,, Rahul alijikuta anacheka kwa hasiraa akasema pumbavu huyu mwanmke mshenzi kabisaaa ………….

Rahul alicheka sanaaa alicheka,, muuza duka hata hakujua mwenzie anachekea nini yeye aliendeleza story zake akimini anamfurahisha boss wake huyu mpya…

“kwahiyo masha alikuwa motoo”

“ooh zaidi ya moto roho mbaya ndio usiseme”

“msha alikuwa anafanya kazi wapi”

‘”huyo hana kazi anayoweza hajawah kufanya kazi ,, mama yake mwenyewe kauza nyumba katimka mbali na mjukuu wake”

Rahul alikosa neno alichokaa akili,, kitu alichokuta kukitafutaaa amepata kikubwa sana zaidi ya hicho ….
Alitembea huku katepeta mwanaume,, hatua zake zilikuwa nzito kichwa kinaume “hahahah daah”
‘hahhah aisee ‘ alijikuta anacheka muda wote ,mwili ulikuwa unamtetemeka anasikia hasira

“sasa ilikuwaje ile siku ,, kwanini alberto Aliona ni bikra? Au kuna mchezo masha alicheza ili kutupata?? Embu au anatumiwa na maadui zetu?? Ooh No ingekuwa German hapo sawah uku mbona hatuna mshindani ooh Godness …mashaaa hahah umetuweza “
*******

Baada ya kikao cha muda mrefu cha online watu ,, watu watatu alberto , mwanasheria wake Pamoja na mshuri wake ,, walifikia makubaliano amuoe ili kumnyamazisha ila kabla ya kufanya hivyo abadili mali zake zotee Kwenda Kwenda kwenye jina la mtu mwingine ,,,
Mapenzi bwana upofu , alberto alichagua jina la Abigael qassano alihamisha pesa zote , kwa harak haraka ili awe mmiliki ni lazima wawe na uhusiano wa karibu zaidi ,, Alberto akasema atafunga ndoa na abby kabla ya kufunga ndoa ya serikali na masha kwa siri sana atamuoa kwanza abby………...

MWISHO WA S02,,,,
USIKU MWEMA WATI WANGU
MUNGU AWABARIKI.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILIONEA NDANI YA HOTELI EP40  >>> https://gonga94.com/semajambo/bilionea-ndani-ya-hoteli-ep40

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest