Mama yake alikuja na bint mmoja wa kizungu, akaingizwa alipo alikuwa na ufahamu kwa mbali sanaaa akashuhudia yule dada akimvua nguo na kumfanyia kila kitu mwisho akampandio na alipo toa tu zile mbegu kweli ufahamu wake ukarudi akajisikia kidogo ananguvu sio kama mwanzo
Baada ya hiyo kazi yule bint akaondoka alipewa pesa nyingi sanaaa kwa ajili hiyo
Kazi ya kumtafuta mwanamke wa baba yake ndio aliempa sumu haikufanikiwa walimtafuta sanaa lakini hakupatikaa
Tangu kipindi hicho Alberto alianza kuishi na sumu hiyo mwilini alipewa dawa nyingi za kuondoa sumu , hakuwa na kosa, wivu wa mwanamke wa zamani wa baba yake ndio umemletea shida yeye
Tatizo hilo halikuwahi kumrudia mpaka ile siku alipo kuja Tanzania ile siku alikunywa kinywaji ambacho kilikuwa na Aleg ndio kilienda kuamsha Ule ugonjwa na ndio bahati Vicky akatokea
Alimvuta ili tu ajisaidie hakujua nani ,hakuangalia sura hakujua ni mwanamke wa aina Ganii akili yake iliwaza ajisaidie tu yeye na uhai wakee ....
Ilikuwa ndio mara yake ya pili kushiriki tendo na mwanamke na mara zote imekuwa ni kwa matatizo hakawahi kuvutiwa kabsa na kufanya mapenzi hata mara moja
Ile siku alipo fanya na Vicky ilikuwa tofauti na ile mara ya kwanza alijikuta anapata hisia za kweli kabisa anajisikia kutoka moyonii , pili Vicky alikuwa bado bikraa alikuwa hajawahi kukutana na mwanaume hilo pia liilimgusa sana Alberto akatamani kuwa nae karibu zaidi kama njia ya kumuomba msamaha wa dhati
Ajabu leo yupo mbele ya Huyo mwanamke lakini hisia zile hanaa wala hajisikii zile hisia alizo kuwa anajisikia mwanzo
Masha akawa bize kupapasa , sasa Mr Alberto zile kumbu kumbu za kukumbuka ile siku ya kwanza anakutana na Vicky alijikuta hisia zinamuamka upyaa
Akampa ushirikiano Masha na ndio kitu alikuwa anataka , kibaridi cha Alfajiri kile
Masha alikuwa tayari amelainika amelegea kwa mipapaso
Alberto akamuweka sawa Masha kumpa anacho taka , kamuweka machinjioni sawa sawa ile anaweka kisu chake mmh akasita kwanza Masha akashangaa mtu kaweza kapitisha ya kwanza na ya pili tu halafu kasita akamuuliza baby vipiii???
Alberto akasitaa , moyoni alipata hisia sio kama ilivyokuwa mara ya kwanza
Masha akaanza kujishughulisha mwenyewe lakini Alberto alikuwa ametuliaa yaan katulia kama hayupo kwenye shuhuri
Masha alichoka baada ya kuhangaika muda mrefu peke yake ,
Alberto akamwambia tu Sorry akamuacha akaenda Bafuni kukogaa
Kitu hicho masha kilimchanganya akili maana aliachwa na hamu zake zotee hakuwa amepunguzwa sana kazidishi Hamu zimemjaaa sanaa
Alberto alioga akaja kupumzika bila kusema neno, masha alijitahidi kumuuliza shida niniii, walau ajue anasaidia vipi lakini Alberto alimwambia amsamehe hawezi kufanya hivyo ile siku ilikuwa ni bahati mbaya tu ..... .
*******
Asubuhi ilikuwa ndio tarehe yake ya Clinic aliamka Asubuhi akajianda kuwahi foleni ...
Alberto ndio alikuwa mtu wa kwanza kuamka , akajiandaa anatoka
Nilijua leo utapumzika nyumbani " Masha akatupia neno
"Kazi zipo nyingi sana Masha ,Tutakuwa wote nikipunguza baadhi ya majukumu"
"Sipendi uniite Masha tafadhali At least hata baby ,Honey kama hivyo !!"
Alberto hakujibu alicheka kidogo , masha akamwambia Usiondoke bile kupata chai
Alberto akakubalii japo aliona anachelewa lakini hakutaka kumkera Masha akakubali kunywa hiyo chai
Wakashuka chini wameshikana ,mikono Masha kang'ang'ania mkono wa Alberto
Alberto akashangaa nyumba ina watu Wengii kuliko hata alivyoambiwa na Rahul
Maana Rahul alimwambia kuwa Masha ameajili wafanyakazi wengi mnoo kwenye nyumba yake
Akajua wengi labda watatu subutuuu alichoka kuona nyumba ina watu kibao na wote wanalipwa mshahara na Rahul kwenye pesa za Alberto
Akavunga tu, lakini moyoni akafikiria huyu mbona yupo tofauti na nilivyokuwa nina mfikiria
Alberto alipo inua tu kikombe kunywa chai simu yake ikaanza kuita. Ilikuwa pembeni yake juu ya meza
Masha akaona vizuri aliepiga ni Rahul , Alberto akaipokea simu , Rahul akamuuliza mbona amechelewa mana walikuwa wanaenda kumuona huyo Abigael Asubuhi kabla ya kuingia Ofisini
Alberto akapata sababu, Alichukua Kalmat moja akauma akanywa na Chai akampiga busu Masha akamwambia tutaonana Jioni nawahi kazini
Hasiraaaa masha Hasiraaaa nusu apasuke lakini hakuwa na la kufanya ......
Rahul na Boss wake ambae ni kama Rafiki au kaka yake , walienda kusajiri laini ndo wakaelekea nyumbani kwa kina Abigael
Bahati mbaya sanaaa ,wakamkuta hayupo alikuwa ameenda clinic, Rahul hakufanikiwa kumuona
Recho akawaambia kuwa ameenda Clinic, Alberto akamuuliza eneo gani alihitaji kumfata huko huko
Itaendelea..
KWETU morogoro.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.