*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *1-5* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* "Haya leo unaenda officine kupitia jina langu, mimi nina dharura bhana ujuee ohoo yule Boss
Sasa leo alikuwa hataki kwenda kazini na kwa sababu tunafanana na tumesomeaa kitu kimoja huko chuo alitaka niende mimi kwa kisingizio kwamba boss wake ni mtata ety hataki makelele ila huyu Catherine hapana ni mvivu tu jamani kwahyo hataki makelele, ila nilikubali kwakuwa nishamzoea maana ni kawaida yake huwa mara nyingi naenda kazini kwake badala yake na hakuna alieshtuka kabisa kwenye hili kwamba mimi sio Catherine ni Careen, nilijiandaaa nikavaa suti yake ya kazini nikaondoka zangu nikaelekea huko kazini kwa dada angu, nikafika tu nikakutana na mdada mmoja anaitwa Mary namfahamu maana hapa mimi nakujaga sana sema tu nashangaga nikijaga wanasema etty naumwa kwa maana kuna siku nakuwaga nanata sana na kujishaua tu lakini nikija hivi nacheka wanasema naumwa maan mimi ni mtaratibu sana sio kam dada yangu cha mdomo na ananata kwasababu pale yeye ana cheo kidogo pale..
"Miss. Catherin unaombwa officine na Boss" alisema Mary, Mungu wangu nilishangaa sana jamani maaana mimi toka nimeanza kuja officine kwa dada sijawahi kukutana macho kwa macho na boss wake, nilikoma mimi jamani, sijui itakuaje dada kashaniponza jamani nilisema tu sawa ila office ya boss nilikuwa naifahamu nikanyooka hadi officine kwa boss mama yangu nakuta huyo boss alivyokunja sura Mungu wangu uwiii nikasema leoo nimeyavagaa kam mambo yenyewe ndio haya mbona nimeyatimba mimi jamani nilikuwa naomba dua kumi kumi huyu boss asinipige kofi , ila nawaza sijui Catherine atakuwa kazua balaa gani huku jamani ila dada hapanas-a..
Itaendelea.
Chapter 2
"Haya nipe kazi yangu niliyokuagiza ufanye" Mungu wangu nilitoa macho mimi jamani nikasema ukisikia leo mtu kafa kwasababu ya kosa ambalo halimuhusu ndio hapa jamani sasa mimi hata kazi yenyewe sijui ipo wapi jamani mimi nimeyaona hata dada hajanipanga kuhusu hiyo kazi aliyopewa na boss wake, jamni dada anapenda kunisakizia hizi kesi mimi Mungu wangu mie binti wa watu sina lolote Hapa zaidi ya upuuzi umenijaa mimi mdada wa watu jamani uwiis-a
"Sawa boss lakini mimi mwenzio ujue nipe dakika tano tu boss nakuletea nilimwambia boss kwa unyenyekevu kweli maana mimi najua kunyenyekea balaa ila cha ajabu ety boss akauliza "upo sawa wewe Catherine?" Aliniuliza kwa mshangao kwelinikamjibu nipo sawa boss hamna shida usijali boss wangu kila kitu kipo sawa, alinitizimaa kwa muda "mh vizuri umebadilika mwemyew, maan nilikuwa nataka nikujibu hovyo tu kidogo nikufukuze kazi maan nishakuonya kam mara mbili tabia ya kunijibu kana kwamba unamjibu hawara yako siitaki kabisa bintii" nilimtizama tu sikutaka kumjibu ila moyoni nilijisemea kumbe dada ni mjeuri hadi kwa boss wake hee dada kazidi ilibidi nimpe heshima yake maan anajiamini huwezi mjibu shirt mpaka boss wako nikunyime heshima mhh uongo huoo "haya unaweza kwenda kuendelea na kazi yako umeomba dakika tano isipite hata sekunde moja unafukuzwa kazi maan nakutafutia sababu ya kukuandikia get pass uondoke, maana kwa utendaji wako wa kazi. siwezi kukufukuza bila sababu bodi itakuwa na maswali mengi juu yangu nilisema sawa nakutoka njee, ile nafika mlangoni nasikia boss anasema " harakisha hyo kazi ni saa 3 na dakika 26 sasa, saaa 3 na dakiak 31 moja uwe hapa na hyo kazi bila hivyoo barua yako nishaiandaa tayari nikasema hilo limeisha boss nikatoka nje na kuelekea officine kwa dada, ila nilijua boss kabaki na wasi wasi na muitikio wangu wa heshima, kan kwamba sio kawaida.
Nilifika nikandaaa kazi nzuri kweli nilihakikisha nimeipanga ipasavyoo ikapangika haswaa, na sikutumia hata hizo tano nilitumia tatu kwasababu ilikuwa rahisi na fupi mno na nilifanya haraka coz dada alikuwa ashaanza tayari kuifanya hiyo kazi, na kiukweli mimi nilikuwa faster na mtendaji mzuri sana wa kazi ila sipo vizuri kwenye kuongea na kujielezeaa sipo vizuri sana ila sehemeu nyinginee nipo very good, lakini dada yangu ni mtendaji mzuri wa kazi ila ni mzembe mno yaani kiasi kwamba kazi ya dakika inapasa umpe wiki na haimalizi na pia yupo vizuri kwenye maswala ya uongeaji ni anaongea afu ana maringo balaa, kwa maana hadi mimi huwa ananileteaa maringo sometimes, nilifanya ile kazi na kuipeleka kwa boss kwa muda sahihi ila, nikasema huyu dada ntamalizana nae nikirudi nyumbani maan. ananitafutaa la mdomoni mimi, nikanyooka mpaka officine kwa boss wake na dada, "Hizi hapa mkuu zipo tayari kabisa hakuna shida yoyote alizikaguaa akaziona zipo good akanitizama
usoni huku akiangalia saa yake iliyokuwa mkononi kwake, akanigeukiaa "zipo akanitizama usoni huku akiangalia saa y iliyokuwa mkononi kwake, akanigeukiaa "z very good hapa pekee ndipo ninapokuku hujawahi kuandaa kazi mbovu nahisi hii b wataikubali kiurahisi sana yaani, ila unanil huoo uzembe wako na dharau zako akanip kakofi ka kichwa kisha akatabasamu akaendeleaa na mambo yake jamani h mkaka nimzuri nyinyi jamani mhhh aibu na mimi haki Ya Mungu ni mzuri huyuu mb akicheka meno meupe balaa, afu ana madin jaman, na jinsi ananukia uwii na mimi naper wakaka kama hawa warefu jamani yaani uw unamuangalia umepandisha shingo nilitabasam pia nikaondoka zangu nikaer officine kwangu ila wakat natoka nilijua ku yulee BOSS alikuwa ananitizama sana. nyuma na jinsi tumejaliwaa uwiis-a. Itaendelea.....
Chapter 3
Muda ulifika na nilirudi nyumbani sasa, na niliapa huko nyumbani dada yangu atakoma yaani hawezi kunifanya nikajuta kizembe zembe yaani leo atakojoa Pepsi mimi sio mpuuuzi muda wa kazi huwa unaisha saa 12 ila. kwasababu ya boss alikuwepo hatutakiwi kutoka kabla boss hajatoka hivyoo tulitoka kwenye saa moja hapo nilikuwa nina hasira balaa, maana hili linanifanya nalo lilinifanya nikazidi kuchukia zaidi, ila niliendaa kwanza nyumbani nikutane na hyo dada, mimi ni mpole ila usiombe nikasirike mbona utasema basi nilifika nyumbani nikakuta dada hayupo nikajua atakuwa labda yupo dukani, nilimsubiri arudi sikutaka hata kubadili nguo zangu za kazini, nilikaa mpaka saa 4 hivi ndio dada angu akarudi alikuwa kavaa kisuluali aina ya cargo na t-shirt kabeba na pochi, nilimkata hilo jichoo yaani la wewe leo utakoma, akaanza kujichekesha mwenzie nimeweka sura 45 sichekeshi hata
"Umechoka eeh shga angu?, vipi kila kitu kimekaa sawa huko shga angu mimi nakuaminia wewe jembe langu hujawahi niangusha kwenye chochote nakukubali shga angu hunaga baya najua msala wote umemaliza sikumjibu maan nilikuwa na hasira kweli nikamtizama tu nikavua hizo suti nikaenda kuoga maan tulikiwa tumepang chumba master na ni kimoja Tu nikatoka kuoga na khanga yangu nikamtizama hilo jichoo "We naee usinitizame hivyoo hee unataka kunimeza auu, kwahyo kumsaidia dada yako kuna tatizo kwani?" Alisema dada huku anajichekesha utadhani kaona hela za mpenzi wake mbele yangu "haya funguo za duka zipo wapi?, wewe Catherine ndio swali nilomuuliza "hee mimi sijaenda huko dukani kwenyew nilikuwa na mualiko awa kisinia kwa shga angu Huwaina mimi sijui kwani kuna tatizo?" Aliongea kana kwamba hakuna shida yani huyu hajali kabisa basi mimi kunipandisha hasira mpaka naishiwa pawa tu nikimtizama, nilikuwa natamani hata nimuwashe kofi
"Haya naomba hizo funguoo, na kesho uende kazini kwako, afu habari za kuniambia niende kazini kwako na haujanipanga kitu chochote mimi maswala ya kuongea na boss wako mimi siyawezi kabisa, yaani mpaka najikanyaga, nipe funguo mimi ntaenda dukani mwenyew halafu wewe....." nilinyoosha mkono kana kwamba nataka kumpiga mbao, aliinuka akanza kupaza sauti na jinsi alivyokuwa na sauti kali huyu Catherine "Wee koma kabisa kusema etty wewe, unataka kunipiga kama nani, wee vipi kwahyo kunisaidia imekuwa kesi kama unakuwa huwezi uwe unasema mimi habari za kuendeshwa ndio nisizozitaka kabisa mimi mwenyevwe nishavurugwa na ya kwangu sijui unaelewa hapo wee mjinga?, na huko kazini utaenda mwenyew, kwanza mimi nina safari zangu huko dukani nitaenda kwa muda wangu, upo?" Yaani alikuwa anasema utafikiri pale nimeajiliwa mimi, sikutaka kumkaribisha shetani kabisa kati yetu maan hapa ningeendeleaa ningemziba mkofi maana mimi sichelewi kumzingua mtoto wa mtu.., nikaamua zangu kulala mie
Asubuhi ilifika, mimi huwa naamkaga mapema
Asubuhi ilifika mimi huwa. na kawaida yangu nikilalas huwa zinaisha zote kabisa n ila huyu mama kisirani hasir n asiku zote mimi ndie huw Catherine hebu amka ujian bhana allamka akanikata ji huyu anahasira na mim kujiandaa kwenda kazini at mzima nikaamua kwenda nikasema nikirudi ntamletea najua anapenda na hasira nikaondoka zangu
Itaendelea....
AChapter 4
Nilifika officine nikawa nimetulia zangu, nipo napitia pitia vitu ili nisije kuulizwa kitu nikajichanganya buree mimi, mara akaingia boss, akaweka document mezani akanitizama kwa muda, akatoka mimi sikuelwewa nikaziweka pembeni nikaachna kwanza na kuchunguza mambo kweny computer nikaendelea na mambo yangu mengine nikawa nachati na shoga yangu Maria anambie kama duka limefunguliwaa akazidi na umbeaa mwingine ikabidi niwe namsupport tu kwa maana mimi umbea mimi sio vitu vyangu kabisa , ila namsapoti asijisikie vibaya Tuliongea kwa muda kidogo, nikapitiwa na usingizi nikalala zangu mimi aku nikaegemea mea meza nikalala nashanga mtu anabisha hodi nikamruhusu aingie, alikuwa ni Mary kaja.
"Madam Catherine unaombwa kwenye kikao maana nakuona umesahau kam weew ndie mwenye presentation leo madam, watu wote wapo wanakusubiri kule" nilishtuka sana maaan Mimi kwenye maswala ya kujielezeaa sipo vizuri kabisa nilitetemeka mimi jamani uwiii yaani kabla hata kwenda eneo la tukio, nishaanza kutetemeka miguu balaa mimi jamani ni muoga san nakumbuka hata chuo kwenye haya maswala alikuwa ananisaidia sana Catherine hapa nilimkumbuka kivuruge wangu mimi jamani
Nilifika kwemye stage ya mazungumzoo nikawa natetemeka balaa hapo miguu inapepesuka balaa nilikuwa natetemeka kwenye mazungumzo mpaka boss akaanza kucheka chini chini basi vile nakuona kila mtu ananitizama mpaka nikawa napata kigugumizi sasa ila iliisha na nilijitahidi nilikuwa nagugumiza sana nilivyotoka boss aliniita officine kwake
"Kumbe una matatizo ya kigugumizi na husemi alisema kisha akatabasamu akinitizama , nilijikuta natabasamu kisha nikanywa maji "Hhh mdomo mwingi ila kwenye kuongea hujiwezi ila wewe daaah! Nilikuwa nasikia story za mdada mchangamfu anaitwa Catherine toka nipo safarini, ila nikaja kuprovee siku ya kwanza ulivyonijibu shit ila sikuvutiwa coz sipendi dharau, ila kunywa maji nisiongee mengi kunywa maji uende" nilimshangaa tu ila nikajua huyu kaka ni mchangamfu kwa kiasi chake nilipenda uchangamfu wa boss nikawa najiuliza sasa kwanini dada anashindwana nae wakat ni mtu poa tu huyu, nilitoka huku natabasab na boss alinisindikiza kwa macho, nilienda officine kuendelea na mambo mengine
Nilirudi nyumbani, nikamletea dada yangu chocolate, maana hii siku alienda dukani alinifurisha pia mama yangu nimekuletea zawadi shga ang" nilimpaa huku nacheka alionesha kafurahi na ushoga wetu ukarudi kam kawaida nilifurahi sipendi kukasirikiana na dada yangu kabisa nampenda mnoo "asante jamani wee naee ukinikera tu unajua kunilitea chocolate mjinga wewe alinipga kichwani "haya nambie chochote nitatimiza dada yangu" nilisema huku nimemgeukia nikimshika mikono "sawa basi nakuomba ukave hii miezi minne ambayo boss atakuwepo najua wewe unaweza kufanya nisifukuzwe kazi wewe ni mstaarabu mimi siwezi ninakuomba nisaidie mamy boss akiondoka tu nakuja mimi siwezani nae yule makasiriko hhhh" aliniomba nilimtizama ila kwasababu nilimwambia aseme chochote nitakubali, nilikubali kabisa bila wasi wasi nikasema nitacava kwanza Boss nishamjulia ni anamatani sema hapendi dharau kabisaa nikamwahidi nitaenda tu asijali alifurahi baada ya kusikia alinikumbatia, nikamwambia tule tulale kwa ajili ya maandalizi ya kesho ya kazi alifurahi tukala tukalala
Itaendelea....
Chapter 5
Siku nyingi zilipita na sasa nilikuw nishapazoeaa sana pale officine watu wengi walifurahishwa na ubadilikaji wangu wakijua ni Catherine kumbe mimi ni Careen nilikuwa sasa ni kam nina miezi mitatu moyoni nasema bora huu wanne uishe nikawe na mambo yangu japo nilikuwa nishamzoeaa sana Boss na hadi kuna muda tulikuwa tunatoka out tuna have a nice meal na mengine mengine kama hayo yaani tayari tulikuwa tumejenga uhusiano mkubwa sana kati yetu sisi wawili, na hili sikuwahi kumwambia dada angu maana ni mambo ya kazini yeye hakutaka kuyajua kabisa nilikuwa namuacha yaani yeye always alikuwa anajua Boss wake ni kaksi kumbe ni vile tu hapatii vitu anavyotaka ila Boss Marquis yupo very charming na ni mtu poa sana hajawah kutokea kwa maono yangu
Hii siku nilikuwa nipo officine nimetuliza zangu mara anakuja Boss wangu officine "Catherine nina shida binafsi naomba unisaidiee? Nilimtizama tu makini nikamuuliza kazi gani hyo mkuu?" Nuliuliza kwa utaratibu maana ndio kawaida hadi yeye huwa anasema mimi ni mtaratibu mnoo yaaani Nakuomba lakini unisindikize kwenye party ya rafiki yangu mmoja ambae mdogo wake ni mwenye birthday leo sawa" nilimtizam kisha nikauliza "leoo?" Akanitizama kwa upole akanambia "Ndio unajua hapa mimi mtu niliemzoea ni wewe peke yako tafadhari ninakuomba, nisaidie kuhusu kujiandaa nitashughulikia kila kitu mimi mwemyew mama yangu ninakuomba aliomba sana mwisho nikaona nimkubalie maan aliomba sana tena sana nikasema hakuna shida alitaka tuondoke kwenda mall muda huo huo tuliondoka tukaelekea sehem moja hivi wanapaita Victoria mall ni making wa wa kuuza vitu vikali
Tulifika tukakaribishwa na muhudumu wa pale alituhudumia vizuri sana madam ninakuomba uje huku uchague nguo au nikuchaguliee, kwanza ni nguo za wapi unataka kuchagua nilimtizama sikuwa na jibu ila Marquis alinijibia "mpe nguo nzuri ya kwenye party ya birthday na ni night party kwaukweli yule mdada alinichaguliaa nguo kali tulitoka hapo nikapelekwa kwenye spa kubwa ipo pale sinza aliniacha hapo niandaliwe na yeye akaelekea kujiandaa, nilipigia dada nikamwambia kwamba nitachelewa kuna kikaoo hadi usiku hivyoo ntachelewa alinambia yeye mwenyew kuna sehem anaenda na boyfriend wake,sikutaka kumwambia kitu chochote kuhusu hata hii party sikujua kwanini ila sikutaka ajuee kabisa, nilipambwa jamani nilipendeza mimi, nilikuwa najiona kam malaika gauni la taut jeusi lenye vimnga'ao flani like stoke fupi lilinichonga sana lilikuwa juu ya magot wig langu lilikuwa la bei ghali mpaka nilikuwa naogopa kulivaa na high hills zangu nilinoga mimi sema sikuwa huru kutokana na the way nilivyovaa sikuzoeaa kuvaa hivyoo kabisa mimi kwenye maisha yangu toka najielewa, hay mambo ni ya dada yangu ila sio mimi
Alifika Boss alikuwa na yeye kapendeza kavaa kigentle men suti yake safi nyeusi alipendeza mnoo, ila alinisifiaa mmi sikumsifia hata mimi wa kike namsufiaje sasa? Ila aliniona kabisa sina uhuru, tulienda mpak kwenye party sasa ilikuwa ni bonge la party yaani hapo wamejaa watu wazito wazito tu muda huo Boss aliniomba aniache akasalimianee na watu wengine waliokuwepo pale, niliitikia nikabaki peke yangu kwa muda mrefu kidogo plus na vile sikuwa na amani alikuja mdasa mmoja kavaa nguo fupi kuliko hata yangu sijui alikuwa kalewa aakanza kuniuliza maswali ya ajabu kweli na nilikuwa namjibu kawaida tu " inaonekana we ni mgeni wa hay mambo wenzako wanakuwaga wanachangamka wapo na wakak kama wote au nikuitiee nilikuwa namshangaa mara naona anawalta vijnaa wakaja pale wakanza nizunguka wakinithamanisha uzuri wangu, na jinsi nilivyopoa walikuwa watatu mmoja alinishika nywele" wee binti mrembo hivi unaakaaje peke yako?" Nilimtizama tu maan nilikuwa najiuliza kam hadi kwenye party za kishuaa hawa watu wa haina hii wapo nililosa amani, hadi machozi yakawa yananitoka "mrembo unalia nini saa, mtoto mzuri kam wewe hutakiwi kulia Ila unataka kampan, nilimtizam tu jaman hapo nina wasi wasi maana kila mtu alikuwa na busy zake pale hakuna anaejali kabisa kuhusu mimi, mhh sijui Boss alitokea wapi wale vijana
walivyomuona wakaondoka chap kwa haraka,
nilijikuta namkumbatia kwa nguvu mnoo jamani
maan nilikuwa natetemeka akaona sipo
naamani akaamua kunichukua akanipeleka
upande wa juuu maana ilikuwa ni hotel kwahy
kulikuwa na vyumba,
"Upo na amani sasa, nitoke maaana kuna vitu namalizia ntakuja kukuchukua tuondoke utanitafuta hata kwenye simu sawa?" Nilikuwa sitaki kubaki peke yangu nilikuwa nawasiwasi sana nilimkumbatia bila kuongeaa kwa kumaanisha nataka kubaki naee hee kumkumbatia tu nikaanza kuhisi kama kuna utofauti kwake kwenye reaction ya kumkumbatia maan nilijitahid kujitoaa akawa kanishikilia kwa nguvu, wewe akanilua uso kwa kidole akaanza kunipa juicee hii ilikuwa my first time sijawahi licha ya kupita chuo wanasemag wadada wa chuo sijui tupoje ila sijawahi nilijihisi tofauti kam kuna kitu kigeni kimeingia mwilini mwangu na yeye aliendelea kunipa juice muda huoo mkono wake unanipapasa mapajani maana pallikuwa wazi nilihisi kuchanganyikiwa mimi sijawahi kabisa hata kujaribu...
Inaendelea......
Soma mpaka mwisho
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni