Chombezo : Penzi La Jesca Sehemu Ya : 3 IMEANDIKWA NA ENOCH LIBERATUS ILIPOISHIA Mr Abby Alikuwa akiendelea kumtia mashine Mpenzi wake Jesca,ikiwa ni maeneo ya bafuni
ENDELEA.
Mr Abby wakati akiendelea kumtia dudu Jesca ndipo waliposikia mlango ukigongwa ,Mr Abby akawa amejifunga taulo na Kaushi tayari kwa kwenda kufungua ,alipofungua mlango alionekana kushituka sanaa hii ni baada ya kumuona Maadam Lucy mbele yake,Madam Lucy alionekana kumpenda sana Mr Abby toka alipo ajiriwa shule ya Mwenge iliyopatikana hapo hapo Mwanza,Madam Lucy na Mr Abby wote walikuwa ni Walimu katika shule hiyo Ya Mwenge hivyo basi walifahamiana vilivyo kutokana na kufundisha kwao Darasa moja ambalo lilikuwa ni darasa la Saba.
Wote walikuwa wakifundisha masomo ya sayansi hivyo basi walishirikiana sana wakiwa kazini hata nje ya mazingira ya shule walishirikiana na katika mambo mbalimbali ingawa Madam Lucy alionekana kumpenda sana na kuvutiwa sana na kijana Abby hiyo ilianza mara tu aliopangiwa kikazi shuleni hapo Mwenge.
Madam Lucy alikuwa mzuri wa sura pia kwa habari ya nyuma alikuwa na kifurushi cha hatari ila alikuwa hamfikii Jesca ingawa na yeye alikuwa na msambwanda mkubwa sana pia Madam Lucy alisifika sana kwa ukalimu na uwezo wa pekee aliokuwa nao wa kuongea na kila mtu bila kubagua,Madam Lucy alimsumbua sana Mr Abby hata baada ya Mr Abby kumwambia ukweli kuwa ana Mpenzi wake ambaye anampenda sana, Madam Lucy hakuweza kuamini kwakuwa muda wote alimuona Mr Abby akiwa mwenyewe,Mr Abby hakuwa mtu wa kupenda wanawake kwakuwa alimpenda mpenzi wake Jesca hakuthubutu kumsaliti.
Madam Lucy ilikuwa tabia yake kuja kumtembelea Abby ingawa kila alipo kuja kumtembelea Abby alikuja akiwa kavaa nguo za kumtia majaribu huku akijifunga kanga moja tu na kuziacha sehemu zingine za mwili wake nje kama mapaja yake na matiti na ukizingatia shepu lake Madam Lucy ilikuwa ni majaribu matupu kwa Mr Abby.
ila katika muda wote huo Madam Lucy alipo kuwa akija kwa Mr Abby ili kumteka kimapenzi kijana huyo ili mwisho wa siku wafanye mapenzi Mr Abby hakuweza kukubali kufanya nae Mapenzi kwasababu alimpenda sana Jesca hivyo asingweza kumsaliti ingawa muda mwingine na yeye pia alishawishika ila alipomkumbuka tu Jesca moyo wake ulisitaa kabisa kufanya tendo la usaliti .
Baada ya Mr Abby kumuona Madam Lucy alionekana kubadilika na kuchukua ghafla kwa kuwa alijua ni kazi nyingine hiyo ya kumtoa Madam Lucy nyumbani hapo ambaye alionekana kumpenda sana ingawa yeye alikuwa hampendi.
Mr Abby alimtoa Madam Lucy mlangoni na kumsogeza pembeni na akamwambia kuwa asingependa kuwa na mgeni siku hiyo huku akisingizia kuwa siku hiyo alikuwa hajisikii vizuri,hii ni baada ya Madam Lucy kumuuliza ni kwa nini amechelewa kufungua mlango na akatoa sababu kuwa alikuwa amelala hivyo akamuomba Madam Lucy aondoke,Madam Lucy alimuelewa ila alihisi kuna kitu kwakuwa haikuwa kawaida ya Mr Abby kumwambia aondoke hata kama hajisikii vizur angemkaribisha ndani ili waongee .
Madam Lucy aliondoka ila hakupendezwa na Tabia aliyo muonyesha Abby kwa kumwambia aondoke eti Kisa hajisikii vizuri,baada ya Mr Abby kuhakikisha Madam Lucy ameondoka alirudi ndani huku akiacha ameufunga mlango,Mr Abby baada ya kufika bafuni hakumukuta Jesca,kumbe kwa muda huo Jesca alikuwa amesha maliza kuoga na alikuwa chumbani na wakati huo akibadilisha nguo baada ya kutoka kuoga.
Mr Abby baada ya kumkosa Jesca bafuni alilaani sana kitendo hicho kwa kuwa aliamini Madam Lucy ndo amemkosesha utamu wa Mpenzi wake huyo kwa muda ule aliokuwa ametoka kwenda kufungua mlango,Abby hakujali sana kwa kuwa aliamini hata usiku angeweza kufaidi utamu wa Jesca,alioga haraka na baada ya kumaliza kuoga alikwenda moja kwa moja chumbani alipokuwa Jesca.
Alipofika chumbani alimkuta Jesca akiwa amesha badilisha nguo na kuvaa nguo zingine tofauti na alizokuwa amevaa awali, kwa muda huo Jesca alikuwa amevalia gauni nyekundu na fupi iliyo mfika kwenye magoti ambayo ilimpendeza sana. Jesca alipo muona Mr Abby aliachia tabasamu pana kisha akasema Karibu Mpenzi"",Jesca aliongea huku akimuangalia usoni Mr Abby ili kuona kama Mpenzi wake angeweza kukwepesha macho ila ilikuwa tofauti Mr Abby alimtazama pia kisha wote wakawa wametabasamu, Mr Abby alibadilisha nguo baada ya hapo Jesca akaanza kumuhoji mpenzi wake kuhusu ugeni uliokuja muda ule waliokuwa wakipeana mautamu bafuni,Mr Abby alimjibu akisema ""ni Mwalimu Joseph ambaye alikuwa amekuja kumtembelea ila akamwambia kuwa alikuwa na haraka sana hivyo hakupata muda wa kukaa ,Mr Abby alificha utambulisho wa mgeni huyo ambapo kusema kama kama ni mwenzake Madam Lucy.
Mr Abby alimficha Jesca asingweza kumwambia kama alikuwa ni Madam Lucy hivyo alihofia Jesca angeweza kuwa na Mashaka na yeye na kikubwa zaidi alicho ogopa ni kuwa Jesca asingeweza kumwamini tena kwa sababu Jesca alikuwa ni mwanamke mwenye wivuu sana muda wote hakupenda kumuona Abby akiwa karibu na Mwanamke yeyote ,Mr Abby hilo alilitambua mapema ndio maana hakutaka kumruhusu Madam Lucy kuingia ndani.
Jesca alifurahia sana kuwa Karibu na Mr Abby na kwa upande wa Mr Abby vivyo hivyo alionekana mtu mwenye furaha muda wote kwa kuwa Mpenzi wake Jesca alikuwa karibu naye waliishi kwa pamoja huku wakionyeshana upendo mkubwa, Jesca aliendelea kuwasilianana na wazazi wake na wa Mpenzi wake vivyo hivyo kwa upande na kwa upande wa Mr Abby na yeye pia aliendelea kuwasiliana na wazazi wa pande zote mbili ikiwa ni wazazi wake na wazazi wa Jesca.
Wapenzi hao waliendelea kupeana raha kila siku bila kubaniana na waliishi kama Mke na Mme na kila aliyefika nyumbani kwa Abby asingeuliza kama Jesca ni ndugu yake au Mke wa Mr Abby kwakuwa walionekana kama Mme na Mke ata hiyo ni kutokana na jinsi walivyokuwa wakiishi, majirani wao pia walitambua kuwa tayari Mr Abby ameshaowa ila haikuwa kweli.
Muda wa Jesca kurudi chuoni uliwadia hivyo basi wiki moja kabla ya chuo kufunguliwa Mr Abby alimufanyia sapraizi Jesca kwa kumununulia pete ya Uchumba na akamuvalisha huku akimuahidi mara baada tu ya Jesca kumaliza masomo yake angeweza wangeweza kufunga ndoa.
Jesca alirudi kwao Arusha huku akiendelae kufanya maandalizi ya kwenda chuoni ikiwa ni pamoja na Ada ya chuo vyote alikamilisha kwa muda mwafaka,siku moja kabla ya chuo kufunguliwa Jesca aliripoti chuoni hapo ilikuwa jumapili mida ya jioni , Jesca alipokelewa vizuri sana na marafiki zake wengi wakisema kuwa Jesca amenenepa sana huku wengine wakisema Jesca amekuuwa mweupe zaidi.
Usikose kabisa sehemu inayofuata, mambo yanazidi kuwa moto
Jamani twende chapu , LIKE 150 nipost nyingine kali zaidi ✨
Kila LIKE yenu ❤️ ndio nguvu ya kuendelea kuweka content bora zaidi kwa ajili yenu!
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni