CHUMBANI KWETU 💚6 nilijuta kabisa😭😭😭 alivyomaliza akawa ananipa pole,sa mimi pole inanisaidia nini jamani ,akaenda
asubuhi akaamka akaanza nihudumia adi raha 🥰🤣nikamtext betty mwenzio nimeumia😭😭eeh umeanguka au imekuaje,nikamuelezea akanicheka akasema tu pole ndo ukubwa🙄
basi hiyo siku sikutoka nje🤣hata mama na wifi walivyorud akawaambia nmelala2 najisikia vibaya🥺kesho yake pia sikutoka nikaja toka siku ya tatu🤪 basi ilikuwa jumatatu aman alivyorudi kazini akasema jumanne anasafiri anarudi jumapili ,
nikasema sawa akaondoka zake usiku nikaingia zangu kulala mwenyewe nikasema kumbe aman hana tatizo 🙄 nikawa nakumbuka vile alivyokuwa ananifanyia😉😘🙈lakini nikikumbuka maumivu nikasema simchokozi tena🙈 akanitumia sms uwe na usiku mwema roommate, usiache kujifunika nakupenda❤🥰
wee ndo kwanza siku ya kwanza kuona ananambia ananipenda🤣🤣🤣 nikamjibu kwako pia okay,kwahyo hiyo nakupenda hujaioana hya sawa bhana🥲 nakupenda pia🤣🤣🤣mpaka nikuombe jamani hapana na mimi nakupenda ata kama sijakwambia🙃
sawa mama lakini kesho naomba niende kwa rafiki angu🙈maana alisema nisiondoke sehemu bila kumwambia rafiki yupi yule aliyekuja siku Ile ok nenda ila uwe makini sawa
sasa wifi zuu alikuwa anaenda na mama mkwe dukani kwake mimi nikawa nabaki na dada etu wa kazi basi nikamwambia natoka kidogo dada sawa badae ,
nikaenda kwa betty alikuwa anauza duka la vipodozi nikamwambia kazi ulonituma nishamaliza🤣🤣🤣
haya nini tena sawa kilichobaki tuwaze tu kwanini alikuwa hakugusi ata kama hakupend bhana mimi ata sielewi ila tuachane na hayo wewe tulia tu kwenye ndoa yako acha mawazo ya talaka sasa sawa nitaangalia haya mama ,
nikakaa kaa nikarudi nyumbani usiku nikamtumia sms ya usiku mwema aman na mimi nionekane najali eti🤣hata hakujibu nikasema au yupo na mwanamke😭acha roho iniume🤣🙄usingizi nikakosa kila nikijigeuza wapi🥺 nikakesha macho tu😭😭
asubuhi pia hakunitafuta mpaka jioni ndo akanitumia text sorry mke wangu jana nililala nimeona sms yako asubuhi nimeamka haraka haraka tu nimeshindwa kujibu nilikua bize siku nzima now ndo nipo free ata sikumjibu na mimi roho inaniuma hatari😞
jumapili ikafika ni siku ambayo alikuwa anarudi safari nikawa nasaidiana na dada etu kupika ilikuwa mida ya jioni, akafika akatusalimia akaingia chumbani dada akanambia eti niache tu atamalizia mimi niende kumsikiliza aman mimi nilikua nna vihasira vyangu vya wivu😏
nikaingia chumbani yeye yupo bafuni namsikia anaoga anaimba mwenyewe nikasema mbona ana furaha hivi😒basi katoka kwa mwanamke wake uko😂😂 wivu mwengine bhana akatoka za hapa mke wangu nzuri tu mbona umepooza hivyo niko kawaida tu eeh nilikumiss uko maana simu zangu kupokea ni kwa maringo kwanini lakini? ukipiga nakua nimelala mmh sawa mama sio kesi nisharudi sasa sawa karibu asante
basi tukaandaa chakula tukala tukaingia kulala nikapanda zangu kitandani tuli sikutaka kuchokoza nyuki 🐝tena🙄 zawadi zawad abeee ebu amka kwanzaa kuna zawadi zako hapa sijakupa nikaamka akatoa vilikua viatu 👠👡ooh asante ebu jaribu nikajaribu vikawa vimenitosha ulijuaje size yangu mpaka umepatia hivi kwahyo mke angu mwenyewe afu nisijue size yake jamani mmmh kweli?
ndio sawa nashukuru sana usijali mama🥰😘 okay nikaviweka kwenye kabati💃 nikarudi zangu kitandan afu kuanzia leo silali tena mwenyewe mmmh kwanini nilivyokuwa sipo acha nikuwaze uko🙃 unaniwaza nini nilikumiss tu aseee 🙄nikajua nimeyataka makubwa😂😂😂hapana mimi nitalala kwenye sofa tu🙈
hahaha sasa kwanini basi tu au unaogopa tena 🤣🤣🤣 ndio no huwezi umia 🤣mmmh unanidanganya tyu🥺 trust me utoumia nyieee nyieeeee nikasema ebu nijaribu kubanjuka kwa mara ya pili🤸🏻♀️🙃 Yan mbona hamkunambia mwenzenu 😂🏃🏼♀️ nilienjoy💃😘 kumbe nilikuwa najibana bana na kuchelewa bure🤪
ikapita wiki kama tatu tangu tuanze kujigijigi🤪💃 nikawa siku hiyo mama mkwe alikuwa anakata kata maua🌷🥀 uwani sasa aman nae akaenda huko huko mimi na komwe langu kujitia uzungu nikasema niwapelekee juice🍷
sasa nkawa naenda zangu nkafika mwisho wa ukuta kabla sijatokeza nikasikia wanaongea naona saiv mwanangu una furaha kidogo na umeshazoea
nizoee wapi mama Bado nina uchungu au mpaka nijinyong'onyeshe ndo ujue sipo sawa sio hivyo mwanangu inatakiwa uchukulie hayo ni mapito tu usijikatie tamaa na kwa sasa una mke tayari usiwaze yalopita siwezi yule mwanamke ndo kila kitu nampenda kuliko chochote sasa utafanyaje ndo ishatokea jamani nikasema
eeeh kumbe ana mwanamke mwingine 😭Mimi hanipendi alilazimishwa kunioa na mimi nishampenda nimejiachiaje😭😭😭 sasa kwenye kuchungulia akaniona bhana😂😂 nikakimbia na juice zangu mpaka ndani nikaziweka mezani yaani nikahisi ni nzito kama ndoo za maji🥺hasira imenikaba aman akaingia zawadi..!?
akajua tu nilisikia walichoongea nikamuangalia tu😡nkampita nikaenda zangu chumbani😭 nae akaja zawadi mke wangu usifikirie vibaya kwa uliyoskia mimi sijasikia chochote
🥺hapana najua naomba nikuelezee sijasikia chochote naomba uniache sawa ukiwa sawa utanambia nikakaa zangu kimya,basi usiku tukawa tunakula mezani na mama mkwe yaani apo sina hata mood hasira imenikabaje 😡
kidogo nikasikia kichefuchefu 🤢nikakimbia nje kutapika🤮 mume wangu akaja una tatizo gani hamna kitu najisikia tu vibaya 😰pole asante nikarudi ndani mama mkwe nae akawa ananiuliza unaumwa zawadi?
ndio mama najisikia homa pole basi kesho wifi ako akupeleke hospital maana hizi homa sio za kuzichekea sawa mama nitaenda nikaingia kulala zawadi au una mimba?
mimba?mimi sina mimba...!🥺 au ninayo maana nilikuwa hata sijui dalili kwakweli🙄 kama ninayo itakuaje🥺🥺na vile amani ana mwanamke wake mimi kumbe hanipendi😭😭😭 basi nikalala zangu akawa amenikumbatia mimi ata sina hamu nae🥲
akanimbembeleza akaongea wee mimi hata sikumsikia tena nikapitiwa na usingizi,asubuhi nikaamka nikamsikia anaongea bafuni nikanyata🚶♀nikawa nasikiliza anaongea mwenyew mara sijui nmekumiss yaani kama anabembeleza mtu ,afu sauti yake ikawa inatoka kama analia😒 nikasema kaenda kuongelea na simu bafuni😭😭😭😭 nyiee roho inauma,
nikarudi bhana nikakaa kitandani sa nikaona kuna droo moja huwa anaifunga siku hiyo nikakuta ipo wazi nikaenda angalia anawekaga nini...!!
nikakuta kuna makadi na picha ipo kwenye frem,ni yeye na mdada nikasema kumbe ndo mwanamke wake huyu😭ghafla akatoka bafuni akakuta nimeshika Ile picha🙄 wewe zawadi umeichukua yaniniiii? mimi alinitia hasira nikaibamiza chini nikaipasua😡🥺 akanichapa kofi kwamba kwanini napasua picha😭😭😭😭😭
itaendelea ✍🏻💃😂
LEO WEEKAND natoa ofa lipia tsh 3500 kwa airtel money 0782781603 RAHEL BOO kisha ncheki whatsapp kwa namba hiyohiyo nikutumie yoteee
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi



Maoni