Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
na kumpigia kwani nilikuwa nimemiss sana,  simu iliita kwa muda sana,   kisha ilikuja kupokelewa na mdada:



"Hallow"



"Hallow samahani  naweza kuongea na  Ethane?


"Wewe ninani yake"


"Mimi nimpenzi wake"


Yule dada alicheka na kisha akaniambia:


"Ooh! Pole kipenzi  ndio unajidanganya hivyo eeh!?


Kiukweli nilichukia na kukata simu kwa hasira sana huwa nimwepesi wa kupaniki,   nilichukia hadi nilikuwa natetemeka yaani,    nilianza kulia na kujilaumu kwanini nilikurupuka kuingia kwenye mahusiano  na mtu nisiemjua vizuri mimi,    nilichukia sana,    baadae nikiwa nimejipumzisha  huku ninalia tuu simu yangu iliita tena,  kutizama ninamba ya General Ethane,    sikutaka kuipokea  kabisa kwani sikutaka kuumia tena,   hivyo nikaizima kabisa simu na kuiweka kwenye box lake,     kabla ya kulala shangazi huwa anapenda kuja kunitizama, akaniukuta nipo kwenye hali mbaya kabisa yaani nalia sana,  akanikumbatia na kuniuliza:


"Laura kipenzi changu nini tena tulikuwa nafuraha sio muda?


Nilishindwa hata kumjibu nilikuwa nalia tuu,  akaniuliza:


"Simu yako ipo wapi kipenzi"


Nikamuonyesha ipo kwenye box,  na kisha aliichukua na kuiwasha,  akakuta msg kibao zinaingia zilikuwa zinasema:


"Kama ni Laura tafadhari usichukie,  hawa watu hupenda utani tupo nao hapa kambini,   tafadhari washa simu  mimi Ethane nimekumis sana Laura"


Kisha shangazi akanionyesha hiyo msg.   na kuniambia:


"Kwani humuamini mpenzi wako kipenzi?


"Namuamini ila mama simjui sana,   ndio naanza kumzoea kwa mazingira ya nje,   lakini kambini tulipotoka yuko vizuri hana tabia mbaya"


"Ok  basi  kama kweli unampenda usiogope kitu pambania penzi lako kipenzi changu,   na usitake kujua ya nyuma kumuhusu  angalia mwendelezo wa mapenzi yenu tuu sawa kipenzi changu, haya chukua simu mpigie sasa hivi"


"Sawa mama"


Nilichukua simu na kumpigia kisha General alipokea nakusema:


"Hallow"


"Hallow"


"Laura?


"Ndio nimimi Ethane"


"Samahani kwa kilichotokea mpenzi wangu,  ni wenzangu huwa tunataniana hapa,  nisamehe haitojirudia tena"


"Sawa"


Shangazi alitabasam na kunibusu kwenye paji la uso,   kisha akanipungia mkono na kwenda zake  chumbani kwake,  nilibaki pekeangu niongee kwa uhuru:


"Vipi niambie kuhusu mjomba,   nini kilitokea  amekuelewa?


"Shangazi yangu kanisaidia kuongea nae yameisha sasa,   mjomba wangu huwa anahasira sana,  ila usijari yameisha sasa"


"Nashukuru mungu kwa hilo,  haya niambie mpenzi wangu,  maana  ninahamu  ya  kuwa nawewe tuu muda mwingi"



Nilitabasam kusikia hivyo na kisha nilimjibu:


"Unishindi mimi  kiukweli siwezi kukaa mbali nawewe,   mpenzi tafadhari  mimi utani wa namna hiyo mlioniletea leo siuwezi,    mtakuja kuniua mimi nakuambia usijiludie tena"


"Sawa mpenzi wangu"


"Ninakupenda sana Ethane wangu"


"Ninakupenda pia Laura kipenzi,  umeisha lala tayaru"


"Nipo chumbani kwangu tayari kwa kulala vipi wewe"


"Nipo kitandani pia"


"Ehee!  Niambie ulipajuaje nyumbani kwetu,   hadi ukaleta  kadi getini kwa mlinzi"


"Pale mlipoondoka tuu,   nilichukua jukumu la kuwafuatilia hadi nyumbani kwenu,  kiukweli niliwaza sana kukupoteza,  niogopa sana mpenzi wangu,   kesho nitakuja hadi maeneo ya hapo kwenu,  nikuchukue uje hadi kambini kwetu upaone ninapoishi sawa"



"Sawa"


"Vizuri umechoka sana hivyo nikuache upumzike,  tutaongea vitu  vingi sana  ukija kunitembelea sawa"


"Sawa haya by"


"By mpenzi wangu "



Kisha tulikata simu na kisha nililala usingizi,  maana nimechoka sana  kwaajili safari ndefu,   kulikucha tena siku nyingine  alfajiri niliamka na kujiandaa,  mjomba alikuwa hayupo,  hivyo nilimuomba  shangazi,  shangazi aliniruhusu  General akaja   kunipitia tukaenda kambini kwao,  alinitambulisha kwa baadhi ya marafiki zake anaokaa nao hapo kambini,  kisha alinipeleka kwenye nyumba  anayokaa  alinifungulia mlango na kunikaribisha:


"Karibu ndani mpenzi wangu"


"Asante"


Nikaingia ninyumba ndogo lakini ninzuri sana,  alikuwa kaipamba vizuri nisafi kama anaishi na mwanamke,  nilipoingia nikakaa kwenye kochi akaniambia:


"Laura jisikie upo nyumbani,   kuwa huru nikwako,   japo nikinyumba kidogo sana,  lakini siku moja nitakupeleka dodoma kwenye nyumba kubwa,   na ukamuone mamaangu mzazi,  atakupokea vizuri sana  na  atakupa vitu vizuri utafurahia mwenyewe,  anaupendo sana anatamani mno nimpelekee mke wangu,   hivyo jiandae"


Nilibaki nikitabasam huku nikimtizama kwa macho ya huba akanisogelea na kunipapasa uso na kuniambia:


"Laura unajua wewe nimrembo sana,  nakupenda mno"



Alizidi kunichanganya kiukweli nilibaki nikiona aibu kwani ndio uhusiano wangu wakwanza naenda kuuanza ninaaibu sana hata kumtizama usoni namuonea aibu General akaniambia:


"Nikupe kinywaji gani mpenzi kunasoda na juice?


"Usijali nipe maji tu"


"Hapana  baby,   nakuletea juice yamatunda"


Kisha aliinuka na kwenda kunichukulia  juice  akaniletea,  aliwasha TV hapo huku tunatizama muvi  na huku tunazungumza,   wakati tumekaa hapo tunapiga story General alinisogelea karibu na kuanza kunipapasa,    kisha alinisogerea karibu na kuanza kunichum mdomoni  taratibu taratibu,   kisha akaanza kunila romance  nilijikuta nalegea taratibu akanilaza chali,  na  yeye alikuja kwa juu na kuendelea kuninyonya shingoni,   mwisho alishuka hadi kwenye chuchu,  akazishika vizuri na kuanza kuzinyonya  vizuri hadi nilihisi mkojo unataka kunitoka,  nilikuwa nimejiachia nipo tayari kabisa kwa chochote,  akaanza kunivua suluali yangu taratibu huku akininyinya chuchu,  wakati yunaendelea hivyo mala mlango uligongwa.




Je ninani anagonga mlango wa General wakati huo Laura yupo chini na tayari kwa kilakitu nini kitatokea endelea kufuatilia.........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General

na kumpigia kwani nilikuwa nimemiss sana,  simu iliita kwa muda sana,   kisha ilikuja kupokelewa na mdada:



"Hallow"



"Hallow samahani  naweza kuongea na  Ethane?


"Wewe ninani yake"


"Mimi nimpenzi wake"


Yule dada alicheka na kisha akaniambia:


"Ooh! Pole kipenzi  ndio unajidanganya hivyo eeh!?


Kiukweli nilichukia na kukata simu kwa hasira sana huwa nimwepesi wa kupaniki,   nilichukia hadi nilikuwa natetemeka yaani,    nilianza kulia na kujilaumu kwanini nilikurupuka kuingia kwenye mahusiano  na mtu nisiemjua vizuri mimi,    nilichukia sana,    baadae nikiwa nimejipumzisha  huku ninalia tuu simu yangu iliita tena,  kutizama ninamba ya General Ethane,    sikutaka kuipokea  kabisa kwani sikutaka kuumia tena,   hivyo nikaizima kabisa simu na kuiweka kwenye box lake,    ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-12-nilipoweka-vocha-kisha-nilienda-chumbani-kwangu-nikachukua

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

421
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

276
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

178
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest