Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
34 views
VYOTE NDANI GONGA94
Cynthia Rothrock Machi 8 mwaka 1957 katika jiji la Wilmington
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mnamo Machi 8 mwaka 1957 katika jiji la Wilmington lililopo jimbo la Delaware nchini Marekani ndipo alipozaliwa. Akaja kukulia Pennsylvania, akaja kujifunza mapigano akiwa na miaka 13 tu.
Huyu ndiye Cynthia Rothrock ambaye alishikilia rekodi ya ubingwa wa dunia kwenge mapigano ya kawaida na kutumia silaha. Ikiwa ni miaka mfululizo kuanzia mwaka 1981 hadi 1985 alipoamua kustaafu. Akiwa ameshiriki mivhuano zaidi ya 100 ya mashindano pasipo kupoteza.
Alikuja kuingia kwenye uigizaji mnamo mwaka 1985 akicheza filamu iitwayo Yes Madam akiwa na Michele Yeoh. Kuanzia hapo ikawa ni historia kwenye filamu za mapigano, alipowavutia wengi kuanzia waigizaji, watayarishaji hadi watazamaji.
Huyu ni mama wa mtoto mmoja wa kike. Hivi sasa ana miaka 68 akiwa na mikanda meusi saba ua michezo tofauti ya mapigano. Ikiwemo dan ya nane ya Tang soo do, Taekwondo, Eagle claw, Karate, Wu Shu, Northern shaolin na Pai Lum Tao kung fu.
Kaacha alama kwenye sanaa ya mapigano na uigizaji. Je unamkumbuka kwa filamu ipi hasa?
#Mambosreview
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact....
Cynthia Rothrock Machi 8 mwaka 1957 katika jiji la Wilmington
Mnamo Machi 8 mwaka 1957 katika jiji la Wilmington lililopo jimbo la Delaware nchini Marekani ndipo alipozaliwa. Akaja kukulia Pennsylvania, akaja kujifunza mapigano akiwa na miaka 13 tu.
Huyu ndiye Cynthia Rothrock ambaye alishikilia rekodi ya ubingwa wa dunia kwenge mapigano ya kawaida na kutumia silaha. Ikiwa ni miaka mfululizo kuanzia mwaka 1981 hadi 1985 alipoamua kustaafu. Akiwa ameshiriki mivhuano zaidi ya 100 ya mashindano pasipo kupoteza.
Alikuja kuingia kwenye uigizaji mnamo mwaka 1985 akicheza filamu iitwayo Yes Madam akiwa na Michele Yeoh. Kuanzia hapo ikawa ni historia kwenye filamu za mapigano, alipowavutia wengi kuanzia waigizaji,...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/cynthia-rothrock-machi-8-mwaka-1957-katika-jiji-la-wilmington
Maoni