Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

DO YOU LOVE ME 03 (S2)
Gonga94 · Stories

DO YOU LOVE ME 03 (S2)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
DO YOU LOVE ME 03 (S2)

PAINT PAINTER
Niliingia ndani na kumkura Rely ambaye alikuwa akidondosha machozi sio kawaida. Alikuwa hana furaha wala amani ndani ya moyo wake na alionekana kama kuna jambo kubwa limemkuta. Nikashikwa na wasiwasi, nilienda kumuuliza nini ambacho kinamliza? Jibu lake liliniumiza moyo ijapokuwa nilitarajia hili.

"Baba amefariki Rahim" vuta picha kauli kama hii inamtoka mwanamke ambaye alikuwa akimpenda na kumchukulia Baba yake kama ndio kila kitu. Yale maumivu yote yahamishe kwa Rely. She was crying like a child akilalamika kwanini Mungu amemtwaa Baba yake mapema vile.

Kazi kubwa ilikuwa upande wangu ni kumweka sawa, nilianza kumbembeleza ili akae sawa. Alipoingia Rola, hakuwa na muda wa kusubiri jambo, alisema.

"Najua tayari kuna mchawi kafa, kumbe kuna muda hata nyie mnaona maumivu. Haya niambie nani kafa? Yule wa hospital ama yule mwingine chizi aliyekimbia mji?"

"Rola, maneno gani unaongea haya? Sawa una haki ya kumchukia aliyekuumiza lakini ni hadi siku aliyekufa kweli? Jaribu kubadilika basi" Nilimsihi na kumkataza

"Khe! Naona unataka kunifundisha namna ya kumpenda na kumchukia mtu si ndio? Hivi nani ana sauti humu ndani? Mbona mnajisahau kama mko hapa kutumikishwa na kufanya kile nachokitaka? Au mnategemea uchawi wenu? Si ndio? Halafu wewe Rely, huna linalokuliza la maana hapo. Baba yako alikuwa mchawi, ko furahia maana mchawi kafa hata kizazi saivi utakiona"

"Rola, unafika mbali. Kumbuka maneno unayoyaongea unamuumiza mwenzako. Ok, hakuna wa kukufundisha sababu hayo ni maisha yako na umeyachagua kuishi hivyo lakini kumchukia marehem ni kujichosha. Hukupaswa kufanya hivyo"

"Haha! Nitamchukia leo, kesho na kesho kutwa hadi Kiama. Aliwauwa wazazi wangu unadhani napenda? Nimebaki Yatima hapa, wakanipiga na uchizi, nilipenda unadhani? Hata hivyo, Hussein ameniambia vitu vingi sana kuhusu ninyi watu na wewe ukiwemo, sasa navifuatilia. Nikijua ukweli tu, mtakuja kusaga meno na kila mmoja atalia zaidi ya leo" Rola alituchimba mkwara kisha huyo aliondoka zake.

Nilibaki na Rely pale sebureni hadi muda wa kuondoka kuelekea hospital ulipofika. Tulienda kuubeba mwili wa marehemu huku Rely akiwa ni mwenye maumivu makali sana moyoni mwake. Macho yake hayakuacha kudondosha machozi katika kila sekunde ambayo ilikuwa ikiyoyoma ama kwa hakikia 'msiba ukiwa wako lazima chozi likutoke' Rely alilia haswa.

Asubuhi baada ya msiba kufika pale nyumbani tulianza kufanya taratibu za mazishi lakini Rola hakuonesha ushirikiano. Muda wote akawa na simu ambayo alikwisha inunua.

"Kuna muda hadi najutia sekunde zangu za ushauri juu ya huyu binti" alinieleza Thelesia tukiwa tumesimama tukitazama wafiwa wengine ambao walikuwa wanaingizana pale nyumbani.

"Binafsi sikujua kama angekuja kuwa hivi hadi nashindwa la kusema"

"Karembo sawa ila sasa tabia zake hapana, watu wanabadilika lakini huyu amebadilika zaidi"

"Tuachane naye. Vipi umesikia lolote kuhusu kupatikana kwa Mama Rely?"

"Mh! Hapana ingawa Lukman alisema kwamba alionekana maeneo ya Kizimkazi lakini sina hakika maana ni taarifa ya juu juu tu" Thelesia alieleza huku akisema kile ambacho ameambiwa na Lukman.

Lukman alikuwa ni miongoni mwa wafanyakazi wa mle ndani ambao walijishuhulisha na umwagiliaji maua. Nikiwa naendelea na maongezi na Thelesia, alikuja Rola na kusimama kando yangu. Akamwamuru Thelesia kuondoka, alikuwa na maongezi binafsi ambayo alitaka tuzungumze. Nami nilimpa uwanja huo.

"Ngumu sana kuishi na mtu ambaye amenisaidia katika maoshi yangu sababu inanilazimu nisifanye vitu vibaya ili asichukie pale nitakapomkera"

"Sijaelewa"

"Namaanisha hivi, nimewaandalia mazingira ya kuishi huko Dar es salaam yaani wewe na Rely mtaishi huko. Hapa Zanzibar natakiwa kuishi na Hussein wangu" Rola alinitaarifu akiwa mkavu usoni.

"Sio uamuzi mbaya lakini kwanini tusiishi pamoja? Yaani mimi, wewe na Rely hapa kama familia?"

"Hussein hajataka ninyi muwe hapa na yule ni mume wangu, kipenzi cha moyo wangu. Mwanaume ambaye akisema 'we toka hapo' natoka haraka sana. Namskiliza na ndio ametaka ninyi mhame katika hii nyumba"

"Ok, mwambie Hussein kwamba, hakuna wa kutoka katika hii nyumba" Nilimwambia na kuweka msimamo wangu kama mwanaume kisha niliondoka na kuelekea eneo lingine ambako kulikuwa na watu wengine waliokuja katika msiba.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DO YOU LOVE ME 03 (S2)

DO YOU LOVE ME 03 (S2)

PAINT PAINTER
Niliingia ndani na kumkura Rely ambaye alikuwa akidondosha machozi sio kawaida. Alikuwa hana furaha wala amani ndani ya moyo wake na alionekana kama kuna jambo kubwa limemkuta. Nikashikwa na wasiwasi, nilienda kumuuliza nini ambacho kinamliza? Jibu lake liliniumiza moyo ijapokuwa nilitarajia hili.

"Baba amefariki Rahim" vuta picha kauli kama hii inamtoka mwanamke ambaye alikuwa akimpenda na kumchukulia Baba yake...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/do-you-love-me-03-s2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi do-you-love-me
DO YOU LOVE ME..... 01 (S2)
DO YOU LOVE ME..... 01 (S2)
DO YOU LOVE ME 18 (S2)
DO YOU LOVE ME 18 (S2)
DO YOU LOVE ME 05
DO YOU LOVE ME 05
DO YOU LOVE ME 10 (S2)
DO YOU LOVE ME 10 (S2)
DO YOU LOVE ME 07 (S2)
DO YOU LOVE ME 07 (S2)
DO YOU LOVE ME 06 (S2)
DO YOU LOVE ME 06 (S2)
DO YOU LOVE ME..... S2 (16)
DO YOU LOVE ME..... S2 (16)
DO YOU LOVE ME 17 (S2)
DO YOU LOVE ME 17 (S2)
DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)
DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)
DO YOU LOVE ME 04 (02)
DO YOU LOVE ME 04 (02)
DO YOU LOVE ME 09 (S2)
DO YOU LOVE ME 09 (S2)
DO YOU LOVE ME 15 (S2)
DO YOU LOVE ME 15 (S2)
DO YOU LOVE ME 11 (S2)
DO YOU LOVE ME 11 (S2)
DO YOU LOVE ME 08
DO YOU LOVE ME 08
DO YOU LOVE ME 13
DO YOU LOVE ME 13
DO YOU LOVE ME 14 (S2)
DO YOU LOVE ME 14 (S2)
DO YOU LOVE ME 12 (S2)
DO YOU LOVE ME 12 (S2)
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

636
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

508
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

144
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

124
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

117
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

81
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

81
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

5

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake💔. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest