Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 14.--15
Gonga94 · Stories

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 14.--15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilikaa tu kimya,alisogea akanikumbatia akaniomba nipumzike nitakuwa nimechoka sana, alibusu tumboni, akaomba nilale nikaomba nioge kwanza, nilivyosema tu ivyo tamaa za mgonjwa zikaanza kuiva, nilianza kumshakia, akaamua kuondoka tu chumbani, make kunibaka kwake ni jambo dogo sana, niliingia bafuni nikaoga, nikatafuta nguo ya kuvaa, nikaona kujichosha, nikabuta shat yaje nikavaa, na kipens chake, nimemaliza kuvaa akaingia alivyoniona tu kwanza akatabasamu...

Nakunisifia nimependeza niwe tu navaa shart zake, nilijikuta th nacheka, kumbe mtoto wa watu nazidi kumtia majaribuni, mate yakawa yanakwama ayafiki kunakotakiwa vizuri, akaamua kunikumbatia kwa nguvu, uku anavibrate anasema nakupenda sana mama k wangu, naomba usiniache nakuhitaji sana, tukiwa bado tumekumbatiana simu yangu ikaanza kuita alikuwa ni mama angu, anaulizia hali yangu,ongea yake ilinitisha nikauliza mama kuna tatizo gani?...

Akasema hamna tatizo tuko sawa, ila tulikuwa tunaomba uje utusaidie kusain lile eneo la hapa pembeni yetu, ili tumalizie ada yako, na tupate pesa ya kujikimu, niliumia kimya kimya nikakubali ila hofu ilikuwa kubwa vipi wakijua mimi ni mjamzito, kumbe mdogo wangu alikuwa anaumwa na hawana pesa, na mama amenificha,uzuri nilikuwa na zile pesa alizonipa P, kipindi kile, P alikuwa pembeni, na alisikia make simu yangu haina siri, aliona hofu yangu, na jinsi ninavyohangaika kama nataka kutuma, alininyakuwa simu, akachukua simu yake, akaomba nitumie simu yake kufanya ninachotaka kukifanya...

P hujui tu,naomba simu yangu basi, " D ambacho hukijui tu, mmeo nina king' ang'anizi, na sitaki mwanamke wangu ajihudumie, ama aumizwe na jambo lolote na mimi nipo, yani sitaki ufanye chochote kwa pesa yako, naumia ukifanya hivyo nataka kila kitu nigharamie mwenyewe, nilimtizama tu akaona namzingua akashika akapiga simu ya mama, nilishtuka akaniambia nitulie, mama alipokea wakasalimiana akajitambulisha ni rafki yangu...

" Mama wakatu unapiga simu nilikuwa jirani nae, kwa sasa sio vyema akaja nyumbani na mitihani imekaribia, naomba mama nilipie afa na nikutumie pesa ya kujikimu huko, tafadhali mama angu usikatae baraka ya kijana wako kea mala ya kwanza nitajisikia vibaya sana, mama aliletwa kudengua kijana akakaza mpaka mama akamtumia acount no, skatumiwa pesa nyingi mpaka zikamshtua mama akahisi,mimi sikuambiwa kumbe katuma dola elf 380200, ni sawa na ml 100 za kibongo...

Mama alimpigia, akamuuliza kama kakosea, mbona pesa nyingi katuma,alisema hapana, mama akahisi huyu sio rafki tu juu juu, akambana P, unaweza kunieleza kwa undani uhusiano wenu? , aah mama ukweli mimi nataka kumuoa D, nilishtuka, mpaka nikasimama na nilikuwa nimekaa...

EP 15.
Akaambiwa na mama, hakikisha mnafanya haraka, kitamaduni yetu sisi, mchumba anakuja nyumbani moja kwa moja sio kufanya siri,na hatupendi kucherewesha mambo, kama kweli mmeamua naomba ufike nyumbani tukukabidhi sisi wazazi, P alikubari nakuomba samahani atafika nyumbani, mimi nilikuwa nimeganda kama sanamu tu,nashangaa, mama alimshukuru P nakumkaribisha nyumbani...

P alifurahi, furaha ikapitiliza akawa ananichum tu uku anasema nakuoenda D, siku nitajayokabidhiwa wewe kwangu kwa saini kabisa na mashaidi itakuwa siku ya kipekee sana maishani mwangu, nitakuwa mtu mwenye furaha mno kuwa na wewe, i wish iwe ata leo, aliluka luka kwa furaha, mala mama akanitwangia, ngoma ikaanza kwa kiswahili mama ashahisi tuko wote, nikajua kabisa hapa napewa vyangu, " ehee unaweza ukaniambia umeanza lini wanaume,unajua utaratibu wa kiafrica vizuri sana au unaogopa kumreta kwenu pabaya, ushakuwa mwanachuo sasa ya kwenu ni aibu, jamani nilijieleza mpaka tunafika mwisho nimekipata cha moto, nikaambiwa kabisa kwanza akaota mimba isijekuwa nina mimba nilishtuka, mpaka nikamshika P kwa uoga...

P akawa haelewi, nilikata pale pale simu na kuizima, nikaanza kuongea kwa uoga mama anahisi nina mimba nitajibu nini P naogopa,kwetu ni marufuku, kuzalia nyumbani, kama mwanaume anakutaka anatakiwa kwenda nyumbani moja kwa moja, upande wa mama kengere ya hatari ikapiga, hakuremba akamtwangia P, nilivyoona tu nikawa nammbembeleza P asipokee, P akanituliza akanambia dawa ya tatizo sio kulikimbia, atarekebisha kila kitu, nitulie...

Simu ilikata ikapigwa tena ya kiafrica yameamka, nikawa nazunguka tu kama kichaa, P akakata afu akapiga yeye, mama akapokea fasta, akasema nipewe simu sipatikani, P kwa unyonge akanipa mama akataka majibu, nilianza tu kujikanyaga kanyaga, mama akapiga ukunga, analia P akachukua simu akamwambia mama, naomba unipe tu maelekezo ata sasa hivi niko tayari kufata taratibu zote ni vile tu sikujua aliomba msamaa, akapewa utaratibu na mama, akasema ataenda kesho na mimi aliambiwa twende wote, na fain asisahau....

Alinitizama akaomba nirelax atamaluza kila kitu bila shida, anianza kunimbembeleza adi nikalala, akaingia mtandaoni akaanza kutafuta nchi yetu na utaratibu kwa undani zaidi, akapata madarari wa Tanzania akamlia pesa amufafanulie utaratibu ulivyo, akapewa maelekezo akaambia pia ata kama wazazi wako nje itabidi sheree ije ifanyikiwe Tanzania,alipewa mpaka utaratibu wa mahari na kama umempa mimba kuna fain afu kuna mahari, na usipowahi mke anaozeshwa na familia kwa yeyote ili kuondoa aibu, wee P kusikua ivo akaona kumbe anatakiwa kuwahi..

Itaendelea...💥

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 14.--15



Nilikaa tu kimya,alisogea akanikumbatia akaniomba nipumzike nitakuwa nimechoka sana, alibusu tumboni, akaomba nilale nikaomba nioge kwanza, nilivyosema tu ivyo tamaa za mgonjwa zikaanza kuiva, nilianza kumshakia, akaamua kuondoka tu chumbani, make kunibaka kwake ni jambo dogo sana, niliingia bafuni nikaoga, nikatafuta nguo ya kuvaa, nikaona kujichosha, nikabuta shat yaje nikavaa, na kipens chake, nimemaliza kuvaa akaingia alivyoniona tu kwanza akatabasamu...

Nakunisifia nimependeza niwe tu navaa shart zake, nilijikuta th nacheka, kumbe mtoto wa watu nazidi kumtia majaribuni, mate yakawa yanakwama ayafiki kunakotakiwa vizuri, akaamua kunikumbatia kwa nguvu, uku anavibrate anasema nakupenda sana mama k wangu, naomba usiniache nakuhitaji sana, tukiwa bado...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/doctor-boss-anataka-tena-ep-14-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi doctor-boss-anataka-tena-ep
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 7...8
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA❤ EP 7...8
 DOCTOR BOSS ANATAKA TENA ❤ EP 12.
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA ❤ EP 12.
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA EP 13.
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA EP 13.
 DOCTOR BOSS ANATAKA TENA 🥰 EP 5.
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA 🥰 EP 5.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

945
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

197
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

188
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

135
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

131
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

120
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest