Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
25 Sep 2025
23 views
VYOTE NDANI GONGA94
FIFA inafikiria mashindo ya Kombe la Dunia la mwaka 2030 kushirikisha timu 64 lengo likiwa ni kusherehekea miaka 100 tangu kufanyika kwa Kombe la Dunia la Kwanza 1930 Uruguay
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.
Rais wa Fifa Gianni Infantino amefanya vikao na ma Rais wa vyama vikubwa vya soka Duniani na Kanda za kisoka juu ya jambo hili lakini bado halijapitishwa.
Rais wa UEFA Aleksander Čeferin ameliponda wazo hilo akisema ni mpango wa kuwachosha wachezaji na yeye haliungi mkono.
Ikiwa lengo litafanikiwa unaiona Tanzania kuwemo katika hizo timu 64 zitakazocheza Kombe la Dunia mwaka 2030?
Steve Champion
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, m...
FIFA inafikiria mashindo ya Kombe la Dunia la mwaka 2030 kushirikisha timu 64 lengo likiwa ni kusherehekea miaka 100 tangu kufanyika kwa Kombe la Dunia la Kwanza 1930 Uruguay
.
Rais wa Fifa Gianni Infantino amefanya vikao na ma Rais wa vyama vikubwa vya soka Duniani na Kanda za kisoka juu ya jambo hili lakini bado halijapitishwa.
Rais wa UEFA Aleksander Čeferin ameliponda wazo hilo akisema ni mpango wa kuwachosha wachezaji na yeye haliungi mkono.
Ikiwa lengo litafanikiwa unaiona Tanzania kuwemo katika hizo timu 64 zitakazocheza Kombe la Dunia mwaka 2030?
Steve Champion
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fifa-inafikiria-mashindo-ya-kombe-la-dunia-la-mwaka-2030-kushirikisha-timu-64-lengo-likiwa-ni-kusher
Maoni