Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
479 views
VYOTE NDANI GONGA94
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘06
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"By Babie Love 0742133100"
Wakati maongezi yanaendelea tulikuwa mbele on the stage tunacheza mziki taratibu🙈🙈lait watu wangejua ninachoulizwa pale on the stage hahahaa wangenionea huruma..
Kadri muda ulivyozidi kwenda watu Wakazidi kuwa wengi pale stejini Rouhy alipoona watu wamekuwa wengi...
Akaniambia tuchomoke pale ukumbini twende zetu ndani tukapumzike😩😩...nyieeee nilitamani nikatae🙈🙈
Rouhy alinishika mkono tukaenda zetu chumbani🙈 tumefika huko mlango ukafungwa hahahaaa nilikuwa natetemeka kama niko machinjioni😩..
Jamaa alinibeba akanilaza kitandani then akaanza kunivua gauni niloivaa kwani nilikubali😴😴nilimsubua mpaka akaichana😔😔
Alivuta kuanzia kwenye zipu juu akatatua mpaka chini🙌😔😔aliitoa akaiweka pembeni nikabaki na kichupi tu😔😔..
Nilianza kulia nyiee nikawa namuomba Daddy usinifanyee nitaumiaaa🥹😭 Rouhy aliniambia ye hawezi kuniumiza kwa sababu ananipenda..
Alivua nguo zake akabaki uchi nilipouona ule mguu wa mtoto nikajidai nimezimia 😟😟😟 Rouhy aliogopa😂😂😂
Alipoona siamki aliamua kwenda kuvaa nguo baada ya hapo nikaona anatoa nguo akaja kunivalisha😂amemaliza kunivalisha nguo nikaamka🤣🤣
Akanikumbatia akasema Asante Mungu 😴😴 babe how do you feel are you okay???. Nikamwambia yes Daddy I'm okay now but naogopaa🥹
Rouhy alijilaza kitandani akanilaza kifuani then akaniambia I know hujanizoea thas why unaogopa right???
Nikamwambia ndiyo Daddy naomba unipe muda nikuzoee we need time even tufanye check up ya vvu before sex..
Rouhy alinikubalia tulisali zetu baada ya hapo akaniambia hata kama sitaki anifanye chochote at least nilale na nguo nyepesi au bila nguo aliahidi hatonijigiji atavumilia😴
Nilikuwa na kinguo cha kulalia mama alininunulia chepesi kinachora umbile lote la mwili🙈🙈nilikivaa hiko lakini vile tu nilikuwa uchi😴😴..
Rouhy alivaa bukta tukaingia kulala alinilaza kifuani kwake akanikumbata kama katoto🙈🙈kumbe kuolewa ndo unakumbatiwa utamu hivo na hamsemi🥰🥰..
Kadri muda ulivyozidi kusonga hali ya Rouhy ikawa inabadilika maskini alisumbuka usiku mzima dudu haitaki kulala😰😰nilimuonea huruma🙈
Asubuhi kulipokucha tuliamka mapema kusalimia then tukarudi chumbani🥰🥰🥰..
Tuliandaliwa breakfast tukala baada ya hapo Rouhy akaniambia tutoke twende hospital kwa ajili ya chekapu🥰🥰
Tulijiandaa zetu pale nikatupia my wenu nilikuwa naishi kijijini lakini nilikuwa na mitoko tena mitoko ya maana🥰🥰🥰
Kwetu mimi ndo mtoto pekee wa kike na ni last born wazazi wangu walikuwa wananipenda mnooo kila nilikokitaka nilikuwa napewa..
Basi nimetupia pale Rouhy akazidi kudata muda wote ni kunisifia tu🥰🥰🥰tumetoka nje familia bado ilikuwepo wacha wanisifieee🙈🙈..
Bibi yake Rouhy alipoona tunaenda kupanda gari tutoke akashangaa safari ya wapi😧😧😧..
Akamuuliza Rouhy ulimzidishia mtoto wa watu maji😳😳😳ulishindwa kubakiza ule kidogo kidogo nyieee niliona aibu😂
Hapohapo sijakaa sawa shangazi akadakia nendeni muwahi mje mnipe mashuka nifue nataka nijue kama yaliyomo yamo.....hahahaaaa Itaendeleaaaaaa...
WhatsApp 0742133100
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just...
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact....
Wakati maongezi yanaendelea tulikuwa mbele on the stage tunacheza mziki taratibu🙈🙈lait watu wangejua ninachoulizwa pale on the stage hahahaa wangenionea huruma..
Kadri muda ulivyozidi kwenda watu Wakazidi kuwa wengi pale stejini Rouhy alipoona watu wamekuwa wengi...
Akaniambia tuchomoke pale ukumbini twende zetu ndani tukapumzike😩😩...nyieeee nilitamani nikatae🙈🙈
Rouhy alinishika mkono tukaenda zetu chumbani🙈 tumefika huko mlango ukafungwa hahahaaa nilikuwa natetemeka kama niko machinjioni😩..
Jamaa alinibeba akanilaza kitandani then akaanza kunivua gauni niloivaa kwani nilikubali😴😴nilimsubua mpaka akaichana😔😔
Alivuta kuanzia kwenye zipu juu akatatua mpaka chini🙌😔😔aliitoa akaiweka pembeni nikabaki na kichupi tu😔😔..
Maoni