"By Babie Love 0742133100"
Basi bwana namimi nikaanza kumiliki mkwanja🤣🤣🤣nilimshukuru sana mme wangu..
Ni wachache sana walio na moyo wa kutoa🥹🥹🙌unaeza ukaolewa na mwanaume ana kila kitu lakini mbinafsi💔
Namshukuru Mungu Rouhy wangu hakuwa mbinafsi pesa ipo na anaitoaaaa...baada ya kumaliza kilichotupeleka bank tulipitia Veta Rouhy aliniambia natakiwa nijifunze kudrive💃🏼..
Hizi zitaniuwa nilijisemea tu kichwani😂😂😂nilichukua form ya Driving baada ya hapo bae akaniuliza najisikia kwenda wapi anipeleke🤣🤣
Hahahaaaa nilimwambia popote tu🙈🙈🙈 akasema sawa mke wangu mzuri😂😂😂yani haezi kuniita mke wangu kavu kavu bila kusema mrembo au mzuri💖💖..
Rouhy alinipeleka sehemu moja hivi pale pale masaki wanachoma mishikaki mitamu niajee😋😋😋 tulikula mishikaki nyieeeeee😜😜..
Mara anilishe mara aniambie anapenda ninavotafuna😍😍yani raha juu ya raha au ndo mambo ya penzi jipya hahaaaaaaa..
Baada ya kula mishikaki akaniuliza tena Do you need something maybe wig🥰🥰 na vitu vya vacation 😜😜nikamwambia yes babe🙈
Nilipelekwa tena mlimani City tukaenda kufanya shopping special for vacation💃🏼💃🏼💃🏼mme wangu alinichagulia vile vinguo fulani hivi🙈
Mnazijua buana zile nguo za chumbani zile🙈🙈 mwanaume anapenda mizagamuo yule hahahaaa... tuliendelea na shopping mida ya saa nane mom akanipigia..
Nilipokea simu nikamwambia hey mom.... akaitikia hi Maya uko sawa.... nikamwambia yes mom niko okay..
Mko wapi Rouhy hakuchoshi kweli??? Hahahaa hapana mom niko okay thanks 🥰🥰...ok muwahi basi kurudi chakula kinapoa huku🤗🤗hahaa nyie mama mkwe si ndo huyuuu🥰🥰🥰..
Ushawahi kupigiwa simu na mama mkwe akwambie chakula tayari au wewe ndo unakurupushwa uende kupika🤣🤣🤣
Nilimwambia mama hatuchelewi tunamalizia shopping hapaa🥰🥰🥰OK sweetheart take care nikamwambia thanks mom I love youuu🥹💖💖💖...
Love you too Maya 😘💓.... Rouhy aliona wivu akaninyakua simu 🤣🤣akamuuliza mama kwa hiyo mimi sifai tena mom🥹
Mbona hata huniulizii unamjali Maya peke yake😓😓 hahahaaaa mama alimbembeleza aisee wanapendana sana ile familia🥹🥹❤️..
Basi tulicheka wenyewe pale tukaagana na mama tukamalizia shopping tukarudi nyumbani🥰🥰..
Tulipokelewa home🥰🥰🥰 mizigo yetu ikapelekwa chumbani sisi tukabaki chini ukumbini tunapiga story na bibi na shangazi pamoja na Mom...
Waliuliza ni lini tumepanga kwenda vakei Rouhy akamwambia et anasubilia tu mimi niamue hahahaa jamani yani kila kitu naulizwa mim🙈
Basi bwana tuliandaliwa chakula pale tukala mmmhhh kwa ulaji huu sijui kama nitakosa kuwa na kitambi maana all the time ni vitamu tu🤣🤣🙈..
Baada ya chakula shangazi alituaga akatuambia yeye kesho anarudi kwake huko majuuu shangazi aliolewa huko nchi za nje🥰🥰na ni rich auntie kinoma..
Alituhusia pale namna ya kuitunza na kuilinda ndoa baada ya hapo akatuambia tukishatoka vacation tupite kwake tumsalimie🥰🥰
Rouhy alikubali na akamuahidi shangazi ndoa atailinda na kuitunza vile vile🥰🥰🥰basi bwana siku hiyo tena tulitoka kwenda kumtafutia shangazi zawadi za kwenda nazo majuu🥰🥰
Tulimfanyia shopping ya vitu vya kiafrica vitu asiliaaa kama mihogo...viazi vitamu😂😂😂nyanya chungu😂😂😂ni vingi sana tulinunua vikafungashwa na siku iliyofuata auntie aliondoka Tanzania rasmi...
Tulibaki wapweke sana🥹🥹 shangazi alikuwa changamsha kambi mtu fulani hivi very charming 🥰🥰💖💖💖💖..
Zilipita kama siku tatu hivi tukiwa tunajiandaa na safari yetu ya Paris kwa ajili ya kwenda kuenjoy zetu honeymoon 🥰🥰🥰..
Safari ilikamilika hatimaye mimi na Rouhy tuliondoka zetu Tanzania kuelekea Paris huko ufaransa🥰🥰ndiko nilikochagua kwenda kufurahia utamu wa ndoa...
Baada ya kufika Paris tulipokelewa kwenye hotel tulokuwa tumefanya Booking 👌🙌 tulikuta maandalizi ya kufa mtu...
Chumba kimepambwa maua ya kuvutia yani kinashawishi tu minyanduano😂pale chumbani tulikuta Wine za kutosha🍷🍷 🙈🙈
Rouhy for the fast time akanishawishi ninywe wine nyieeee kilichotokea baada ya kulewa ni aibu😂😂🙌
Itaendeleaaaa...
WhatsApp 0742133100.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments