Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
21 Aug 2025
702 views
VYOTE NDANI GONGA94
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘14
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"By Babie Love 0742133100"
Tulikula zetu ule usiku sijui saa saba sijui saa nane tulipomaliza tukarudi hotel kulala muda huo pombe ishakata 😂😂😂yani niniliwa mpaka pombe zikaniisha🤣🙌
Rouhy alinitembeza sehemu mbalimbali za Paris hadi pale kwenye mnara mrefu tukapiga na picha za ukumbusho honeymoon ilikuwa tamu sanaaa🤗🤗🤗..
Bibi alikuwa akinipigia video call kila siku asubuhi ananiambia pole na kazi hahahaaaa bibi Rouhy jamani ana vituko😂🙈
Ombi lake ilikuwa nimzalie Rouhy mtoto🥰🥰🥰Rouhy pia alitamani sana mtoto😰😰familia nzima walihitaji kitito cha kuwa kinaruka ruka pale ndani mara kimebembea kwenye TV 😂😂😂kijunior fulani hivi kisumbufu😂
Huenda mambo yakatiki let's wait and see🥰🥰🥰 bata la honeymoon lilikuwa la Week tatu tu baada ya hapo Rouhy alihitaji kurudi kazini...
Kumbuka alikuwa katika likizo fupi ya kuoa😂😂yani alipewa mwezi mmoja na wiki moja tu atafute jiko baada ya hapo alitakiwa kwenda kuapishwa kwenye kitengo fulani cha siri serikalini❤️❤️..
Tulimaliza honeymoon tukarejea nyumbani tulipokelewa kwa shangwe na familia ya ukweni kwangu...
Bibi baada tu ya kuniona akasema mambo tayari mmhh sikumuelewa maana kwa muda huo hata nilikuwa sihisi kitu chochote😴😴..
Nilimpotezea tu bibi hata sikumzingatia😂😂😂basi baada ya kurudi ilitakiwa niondoke na mme wangu kwenda Dodoma lakini bibi alikataa akamwambia Rouhy aniache kwanza Dar..
Rouhy ilibidi atangulie dodoma maana likizo yake ilishaisha alitakiwa kurudi kazini😰😰😰...
Hata siku anaapishwa tulitoka Dar na ndege tukaenda dodoma na baada ya maapisho tulirudi Dar mimi na bibi pamoja na mama😰😰😰
Nilijisikia vibaya kwanini wananiweka mbali na mme wangu🥹🥹🥹bibi ndo mtu aliniambia nikae kwanza Dar sijui kwa nini aliamua vile..
Ile hali ya upweke mme wangu yuko mbali sina raha nikajikuta naanza kuumwa hoi...that day niliamka naumwa sijielewi..
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just...
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact....
Tulikula zetu ule usiku sijui saa saba sijui saa nane tulipomaliza tukarudi hotel kulala muda huo pombe ishakata 😂😂😂yani niniliwa mpaka pombe zikaniisha🤣🙌
Rouhy alinitembeza sehemu mbalimbali za Paris hadi pale kwenye mnara mrefu tukapiga na picha za ukumbusho honeymoon ilikuwa tamu sanaaa🤗🤗🤗..
Bibi alikuwa akinipigia video call kila siku asubuhi ananiambia pole na kazi hahahaaaa bibi Rouhy jamani ana vituko😂🙈
Ombi lake ilikuwa nimzalie Rouhy mtoto🥰🥰🥰Rouhy pia alitamani sana mtoto😰😰familia nzima walihitaji kitito cha kuwa kinaruka ruka pale ndani mara kimebembea kwenye TV 😂😂😂kijunior fulani hivi kisumbufu😂
Huenda mambo yakatiki let's wait and see🥰🥰🥰 bata la honeymoon lilikuwa la Week...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/i-love-you-dady-14
Maoni