"By Babie Love 0742133100"
Nipokee au niache??... wakati naolewa nilisisitizwa sana kuiepuka simu ya mme🙁🙁🙁hata siku tunaondoka Dar kuja Dodoma bibi alisisitiza sana simu ya mme haishikwi..
Najua simu ya mme haishikwi ndiyo lakini kwa leo mtanisamehe lazima niishike na lazima npokee huyu lolo Dom nijue ni nani???..
Nilishika kile kidude cha kupokelea simu nikapiga tiki fyaaaa🫰🫰baada ya hapo nikaweka simu sikioni ikasikika ya sauti ya mtoto wa kike ikiita taratibu kwa mahaba Hello Dady..
Mapigo ya moyo yalinienda mbio kuliko kawaida nilihisi roho inataka kuacha mwili☹️☹️niliitoa ile simu sikioni nikataka kuitaka lakini hapana nilirudisha sikioni nikaendelea kusikiliza...
"Dady I miss youu.... have you returned from the trip???.vipi umesharudi kutoka safari nimekumiss et...
Dady why are you silent😣 kwanini uko kimya Dady?.... uvumilivu ulinishinda nikamwambia yule dada subilia kidogo nimpelekee simu yuko bafuni..
Nilihisi maumivu makali asikwambie mtu🥺🥺yule dada alishtuka alivosikia sauti yangu🥺🥺akauliza wewe ni nani??. Who are you..
Anaonekana yuko vizuri kwenye lugha ya kizungu🙁🙁nilimwambia mimi utanijua tu kwa sasa ongea na Dady..
Nilimgongea Rouhy mlango nikampatia ile simu alipoiona alishtuka mpaka akaidondosha...
Why are you dropping the phone?🤔🤔kwanini unadondosha simu???...
Akasema Maya I can explain 🥹🥹...about what ??... akasema kuhusu lolo...
Nilimwangalia sana Rouhy nilitamani nijikaze asijue vile nilivyoumia lakini nilishindwa machozi yalinisaliti💔💔...
Niliondoka haraka kule chumbani nikaenda sebleni🥹🥹🥹nilikuwa nalia kama nimefiwa vile..
Nilichukua simu yangu nikampigia mama mkwe wangu simu ilipokelewa ile tu naita mom 🥹🥹ghafla nikanyakuliwa simu😞😞.
Rouhy ndo alininyakuwa simu akaikata kisha akaniambia please sweetheart I can explain alipiga magoti chini akinililia nimsikilize🥺
Sikuwa tayari kumsikiliza nilihofia nitaumia zaidi...wakati Rouhy anaendelea kujaribu kuniomba nimsikilize ili ajielezee zaidi
ghafla nje getini tukasikia ni kama watu wanagombana🤔 ni kama kuna mtu alikuwa anapigizana kelele na mlinzi..
Nilifungua pazia dirishani nikachungulia nje getini nikamuona mlinzi akiwa anapambana na mdada mmoja hivi kidogo dogo tu kama mimi🥺🥺..
Yule mdada alikuwa anashout kwa sauti sana.. alikuwa anamuita Rouhy anamuuliza why unamwamuru mlinzi anizuie kuingia???
🗣🗣Huwezi ukampa mwanamke simu anipokelee na bado unanisimamisha getini kama mwizi huu ni upuuzi gani unanifanyia Rouhy🥹
🗣🗣niache niingie ndani uniweke wazi what's going on....
Rouhy muda huo alikuwa anatetemeka hana la kuongea🙄🙄🙄 nilimwamuru yule mlinzi amwache yule msichana aingie ndani tujuane...
Itaendeleaaaaaa
WhatsApp 0742133100.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments