Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"
Gonga94 · Stories

I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilitoka kule chumbani nikashuka chini floor ya chini sebleni nikamkuta Rouhy bado yuko pale sebleni na amesinziaaa🙄 asa huo mzigo umetoka wapi???..

Nilitamani kumwamsha Rouhy nikasema hapana acha tu niende mwenyewe nikauangalie huo mzigo ni mzigo gani???

Nilifungua mlango nikatoka nje nikatembea mdogo mdogo mpaka getini nimefika getini mlinzi akaniambia madame kuna mgeni wako..

Nikasema okay mruhusu aingie... mlinzi alifungua geti tena geti kubwa mmhhh mbona anafungua geti kubwa inamaana huyo mtu ni mnene sana???

Baada ya geti kufunguliwa nikashangaa range nyieeeeeee😴😴😴niliikimbilia gari nikaenda kuiwow💃🏼💃🏼💃🏼

kumbe kweli zile funguo ni za hii gari🥰🥰🥰nilifurahi mnoooo yule mtu wa Derivery alinikabidhi funguo moja akaniambia funguo zingine zilichukuliwa na mme wangu..

Niliingia ndani ya gari nikatest mitambo sijui kuendesha nilikuwa naweka mapozi tu yule Derivery man ananipiga picha😂💃🏼

Nilipomaliza kuphotoa picha nikamwambia aje aliingize ndani likakae parking 🥰🥰🥰💃🏼

Basi bwana gari ya ndoto zangu iliingizwa ndani parking🥰🥰🥰nilipatiwa card ya gari aweeee💃🏼💃🏼 rahaaaaaa🙈🙈🙈

Hapa hata kama nimenunia Mr lazima nimuongelesheeeeee💃🏼 hapana chezea ranjiiiiiiiiii hizi ni za wachache wewe🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈..

Niliingia ndani nikakuta bado Rouhy amelala pale kwenye kochi🙈🙈🙈nilikwenda nikamkiss taratibu shavuni😝😝ile naondoka akanivuta mkono hahahaaaa🙈🙈

Alinilaza kifuani kwake akaomba nimkiss tena🙈nilimkiss mdomoni nikamwambia thank you babe🙈🙈🙈

Aliniromancee💋💋💋hahahaaa mpaka nyege zikanishika🙈🙈🙈aliniuliza kama nimemsamehe nikamwambia yes but promise me hutorudia kufanya makosa😰😰

Alinikumbatia kwa nguvu akaniambia nakuahidi mke wangu😰😰😰 basi bwana Mungu anasamehe mimi ni nani💃🏼🤣🤣

Tena nilimpa kabisa na kitumbua ajilie kwani kuna shido😝😝😝tulikulana pale pale sebleni afu ilikuwa tamu asikwambie mtu..

Baada ya kukulana tukaenda kuoga tumemaliza kuoga tukaenda kuhamisha vitu vyangu tukarudisha chumbani 😂😂😂

Hakukuwepo na mnuno tena ni raha raha🥰🥰🥰 nilipelekwa Veta kumbuka Rouhy aliwahi kunipeleka veta Dar es salaam nikachukua form ya kujiunga na course ya Driving..

Kumbe that time ndo aliniagizia gari nje🥰🥰🥰 niliambiwa kwa vile now tuko Dodoma ni vyema nisomee pale pale dodoma...

Nilienda nikachukua form nikajaza nikapewa taratibu week iliyofuata nikaanza course yangu ya Driving🥰

Ni raha sana kusomea Driving huku unasubiliwa na gari la ndoto zako ukaliendeshe😂😂🙈

Rouhy alizidi kuonesha upendo wake kwangu kwa vitendo wakati naendelea na masomo yangu ya udereva wazazi wangu waliniambia na wao kule nyumbani ujenzi umeshaanza..

Mama mkwe wangu aliwatuma mafundi huko kwa ajili ya kuwajengea wazazi wangu😰😰❤️nilimpigia mama nikamshukuru❤️❤️

Mama aliniambia hapo mbona bado Maya🤗🤗vitu nilivyojiandaa kukufanyia ni vikubwa sana kipenzi changu 🥰🥰

Naomba tu uendelee kuwa mke mwema kwa mtoto wangu❤️❤️❤️nilimwambia mama hilo halina shaka Rouhy niachieni mimi tu🥰

Maisha yaliendelea ujauzito wangu ulipofika miezi saba shangazi alinitaka niende America nikajifungulie ukooo🤗🤗🤗...

Rouhy alichukua likizo kazini kwa ajili ya kunisindikiza💃🏼💃🏼💃🏼tulifanya maandalizi baada ya hapo tukasafiri kutoka dodoma mpaka Dar..

Tulikaa week moja Dar es salaam then tukaondoka zetu kuelekea America...

Itaendeleaaaaaa...

Maoni

You're not logged in


profile
mjukuu 26 Aug 2025 17:47
I LOVE YOU DADY💘❤️💘19
"By Babie Love 0742133100"
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"



Nilitoka kule chumbani nikashuka chini floor ya chini sebleni nikamkuta Rouhy bado yuko pale sebleni na amesinziaaa🙄 asa huo mzigo umetoka wapi???..

Nilitamani kumwamsha Rouhy nikasema hapana acha tu niende mwenyewe nikauangalie huo mzigo ni mzigo gani???

Nilifungua mlango nikatoka nje nikatembea mdogo mdogo mpaka getini nimefika getini mlinzi akaniambia madame kuna mgeni wako..

Nikasema okay mruhusu aingie... mlinzi alifungua geti tena geti kubwa mmhhh mbona anafungua geti kubwa inamaana huyo mtu ni mnene sana???

Baada ya geti kufunguliwa nikashangaa range nyieeeeeee😴😴😴niliikimbilia gari nikaenda kuiwow💃🏼💃🏼💃🏼

kumbe kweli zile funguo ni za hii gari🥰🥰🥰nilifurahi mnoooo yule mtu wa Derivery alinikabidhi funguo moja akaniambia funguo zingine...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/i-love-you-dady-19-by-babie-love-0742133100

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi i-love-you-dady
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10
 I LOVE YOU DADY💘❤️💘17 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘17 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘11 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘11 "By Babie Love
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘09
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘09
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘20 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘20 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY💘❤️💘15
I LOVE YOU DADY💘❤️💘15
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘18 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘18 "By Babie Love 0742133100"
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘12
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘12
I LOVE YOU DADY💘❤️💘16
I LOVE YOU DADY💘❤️💘16
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘07
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘07
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘13
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘13
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘08
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘08
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘14
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘14
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘06
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘06
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘04
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘04
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘05
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘05
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

914
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

524
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

448
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

432
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

357
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

319
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

308
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

214
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

185
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.75K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.37K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest