Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
30 Nov -0001
15 views
VYOTE NDANI GONGA94
Jana ilikuwa mechi ya mwisho ya Ligi Kuu Misri kwa Ali Maaloul kama mchezaji wa Al Ahly kwa sababu
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Jana ilikuwa mechi ya mwisho ya Ligi Kuu Misri kwa Ali Maaloul kama mchezaji wa Al Ahly kwa sababu hatakuwa sehemu ya timu kuelekea msimu ujao.
Ali ni mtumishi tukuka kwenye jezi ya Al Ahly kwa misimu 9 tangu alipofika 2016 na sasa maisha yake yamefika ukomo na amewaaga mashabiki waliokuwepo uwanjani akitoa pasi moja ya bao kwa Wessam Abou Ali.
Ali mwenye miaka 36 sasa amehusika na assists 83 huku akifunga mabao 50+ kwa kipindi chote akiwa na Al Ahly
The LEGEND
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na...
Jana ilikuwa mechi ya mwisho ya Ligi Kuu Misri kwa Ali Maaloul kama mchezaji wa Al Ahly kwa sababu
Jana ilikuwa mechi ya mwisho ya Ligi Kuu Misri kwa Ali Maaloul kama mchezaji wa Al Ahly kwa sababu hatakuwa sehemu ya timu kuelekea msimu ujao.
Ali ni mtumishi tukuka kwenye jezi ya Al Ahly kwa misimu 9 tangu alipofika 2016 na sasa maisha yake yamefika ukomo na amewaaga mashabiki waliokuwepo uwanjani akitoa pasi moja ya bao kwa Wessam Abou Ali.
Ali mwenye miaka 36 sasa amehusika na assists 83 huku akifunga mabao 50+ kwa kipindi chote akiwa na Al Ahly
The LEGEND
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jana-ilikuwa-mechi-ya-mwisho-ya-ligi-kuu-misri-kwa-ali-maaloul-kama-mchezaji-wa-al-ahly-kwa-sababu
Maoni