VYOTE NDANI GONGA94
KAKA ME DADA YAKO 11
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SIMLIZI:
Baada ya kusoma huo ujumbe nika jua siyo kuzuri
Ndiyo maana milango imefungwa
Niliinuka ili nikimbie kumbe mle ndan walikuwemo watu tayari kwaajili ya kuniuwa
Mimi nimetumwa nimuuwe huyu Kiongozi
Na kumbe Kiongozi nae ametumwa kiungo vmcha kahaba na mganga ili ashinde uchaguzi huu
Songa nayoo๐๐๐๐
,, jenn nilihisi leo ndiyo siku yangu ya kufa
Maana sikuona tena tumaini
Moyo unaniambia giza limetawala
Nilijaribu kutafuta njia ya kutoka ndani
Sikuona
Nikawaza nini nifanye mbona mambo
Nimagumu
Jasho jembamba likinitoka
Nikaenda kujificha chooni
Nikawa nasikia ameenda wapi huyu
..hatujui boss
Hakikisheni mumemkamata
Maana hii ndiyo tageti ya mwisho
Tukosa hapa hatuwezi kupata ..
Huku mwenzenu choz linatoka
Kama la ng'ombe la kimya
Nikawaza leo nafanyaje au ndiyo nikajisal8mishe tu
Kama nakufa nife moyo mwingine unasema jikaze
Utashinda
Niliangalia juu weee nikaona kumbe kuna dilisha dogo kwenye singibodi wewe
Mbona mungu amekuja kuniponya
Nilijalibu kushika na mikono ili nipande juu ya kochi
Haikuwezekana
Maana nilikuwa mfupi nikasogeza diaba lililokuwa na maji huko chooni nikalifunika
Nikapanda juu ya kenchi huko mwenzangu
Ni giza tu
Utandu umetanda . Lakini nilichoshukulu nikwamba
Ningumu kuniona nilitafuta sehem nikakaa
Upande wa madam sasa walipoona mambo yamekuwa magumu walirudi nyumbani
Pili alimuuliza madam. Itakuwaje jenn ikiwa
Tunatoka
Wewe mbwa Kama vipi nenda mkafe wote huko
Pili alinyamaza lakini moyoni hakuafiki
Kumuacha jenn akiwa sehemu ya hatari Maana matatizo yao ni yaleyale
Richa ya hivo ni marafiki
Alichokifanya Pili baada ya kufika nyumbani
Alitoka kimya kimya
Nakukimbilia kutuon
Akawaita police
.. police walikuja kwa wingi sana
Jenn. Nikiwa juu najaribu kuangalia
Kama kuna pakutokea linikanyaga
Pabaya kumbe sigibodi imeoza niliteleza nikangukia kwenye chumba varandani
Wewe jamaa walipiga kelele boss amekuja
Mkamateni haraka ile wanataka kunikamata tu
Ikasikika sauti ya waliokuwa nje
Jaman kumenuka police hao
Aaaa kila mtu alitawanyika
Nikabaki mimi tu
Na wengine walikamatwa
Wewe nilikombolewa
Lakini nimekonda kwa hofu
..Pili aliniita jenn uko salama
Ndiyo rafiki yangu
Police alihakikisha niko salama
Akasema binti unaweza kwenda nyumbani au tukupeleke . Mmh nikasema naweza
Afande nikanyuka sasa
Kumbe ile sumbu ilionekana niliyopewa
Nimuulie yule mwanasiasa
Mmh . Wewe binti hebu tulia
Hiii nini police wakaitana jamani huyu binti anasumu kali sana hivo binti uko chini ya ulinzi
Kuanzia sasa
Itaendelea 12

Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kaka-me-dada-yako