Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

KICHAA NA MIMBA YA BOSS ________________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  Shahidi alikaa vizuri na kuangalia kwa makini huku akisikiliza
Gonga94 ยท Stories

KICHAA NA MIMBA YA BOSS ________________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Shahidi alikaa vizuri na kuangalia kwa makini huku akisikiliza

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

Nini kilitokea mpaka ikawa vile? Mama Farida alishusha pumzi ndefu kisha. akaanza kusimulia ilivyokuwa.

"Shania ni binti ambae amepitia kwenye maisha magumu sana na ameshuhudia mambo makubwa tangia akiwa mdogo.

Kwanza ameshuhudia vifo vya wazazi wake.

Baba yake alimpiga mama yake sababu ya wivu wa kimapenzi na kumsababishia kifo. Baada ya kuona amekuwa nae alikunywa sumu akafa. Nimemleta Shania tangia akiwa na umri wa miaka kumi alikuwa ni mtoto mnyonge sana lakini baada ya kumtafutia mwana saikolojia alianza kusahau yaliyopita akaendelea na masomo yake na alikuwa anafanya vizuri sana mpaka alipofika elimu ya chuo alipata mchumba na mwaka wa mwisho waliamua kufunga ndoa. Aliishi kwa furaha na amani pamoja na mume wake. Wallishi maisha mazuri sana hakuna alichokuwa anakosa kwa mume wake.

Baada ya siku kwenda Shania akibeba ujauzito furaha iliongezeka kwa mume wake mpaka alimpa zawadi ya gari. Maisha yaliendelea mpaka ujauzito wake ikafikishwa miezi tisa Shania akajifungua mtoto mzuri mwenye afya tele. Yule mtoto alikuwa mtoto wa kike na Shania alimpa jina la mama. yake ilham.

Hapo ndipo Shahid alipoanza kupata mwanga, akimkumbuka yule mdoli aliekuwa anapendwa sana na Shania kumbe alikuwa akimchukulia kama mtoto wake ndio maana alikuwa mkali sana pindi mtu alimshika vibaya au kumuweka. chini.

Mama Farida aliendelea kuongea. *Shania alimpenda sana yule mtoto, alikuwa ni kila kitu kwake, alikuwa ni faraja yake Alihisi amepata ndugu na mwenzake wa karibu. Ilham alikuwa mdogo sana lakini ulikuwa ukimkuta anaongea nae utafikiri anaongea na mtu mwenye akili timamu au mtu mzima mwenzie Siku moja shania alikuja hapa nyumbani kwangu akiwa na mume wake pamoja na mtoto wao. Tulikaa hapa mpaka Shania alienda jikoni wakaungana na ndugu yake Farida wakapika chakula cha usiku, tukala pamoja Walipokuwa wanataka kuondoka waliniaga. Shania alisema. "Shangazi mume wangu kachukia likizo kazini hivyo kesho tunasafiri tunaenda tunaenda mapumzikoni, kutalii huko mbuga za wanyama. Niliwaambia sawa tukiachana nikawa taka safari njema wakaondoka wakarudi kwao na sisi zikalala ule usiku. Kesho yake walianza safari kuelekea huko walikokuwa wanaenda. Lakini ile safari haikuwa imepangwa, hawakufika huko walikokuwa wanaenda walipata ajali mbaya sana Ilham na baba yake walifika palepale na Shania alikuwa

kwenye hali mbaya sana. Shania alikimbizwa hospitali na Ilham na baba yake waliohifadhiwa chumba cha maiti..

Mama Farida alishindwa kujizuia akaanza kulia kwa uchungu. Shahidi nae aliguswa sana na hizo taarifa ila alijikaza kiume. "Basi shangazi usilie.

Ilikuwa ni siku nzito sana kwangu nilihisi kuchanganyikiwa moyo wangu ulivuka damu, wasi wasi na hofu vilitawala. Kwanza msiba pili sikuwa na matumaini kama Shania atapima maana hali yake ilikuwa ni mbaya sana yani mbaya mno hakuwa alijitambua wala kutingisha. kidole kwenye wodi zilikuwa ni sauti za mashine tu.

Baada ya siku mbili ziwazika Ilham na baba yake na historia ya maisha yao iliishia hapo tukaanza kupambana na Shania.

Uwezo wa familia yetu ulikuwa mdogo sana na hospitali zilihitajika pesa Ndugu wa mume walitususia hawakuja hata kumuona yani uhusiano wetu uliishia pale. Hatukuwa na jinsi ilibidi tuuze nyumba mbili za Ilham na vitu vyake vyote vya urithi kwaajili ya matibabu lakini haikutosha ikabidi tuuze mashamba ya urithi tuliyoachiwa sisi na baba yetu tukamtibu Shania. MUNGU alisaidia Shania alipoona lakini kitu cha kwanza alitaka kumuona mume na mtoto wake. Tulijaribu kumdanganya danganya lakini uongo una mwisho na dunia haina siri alikuja kujua na hatukuja amejuaje.

Siku hiyo alipiga kelele na kuzimia zaidi ya mara tano hali ilikuwa mbaya sana kwake. Baada ya hapo alikuwa mtu wa kujifungia ndani na kulia huku akiwa na picha ya mume na mtoto wake. Nguo za mtoto wake zilikuwa pembeni yake mdoli wa Ilham alikuwa pembeni yake. Mwisho wa siku Shania alishituka kabisa akawa wa kuzurura na ule mdoli na kuupa jina la Ilham. Tulijitahidi sana kumzuia asitike lakini hatukuweza tulimuacha tu uzuri alikuwa anatupa. kuanzia asubuhi usiku anarudi na kama hajarudi tulikuwa tunaingia mitaani kumtafuta na uzuri alikuwa anafahamika hivyo tulikuwa zinapigiwa simu kuambiwa yupo sehemu fulani.

Kwakuwa tuliishi wa, hatukuwa na pesa hatukuweza kumzibia Shania ndio hivyo akawa kichaa mazima.

Shahidi alishusha pumzi huku akikubali kichwa

chake.

"Poleni sana shangazi. "Tumeshapoa baba yote ni mipango ya Mungu.

Shangazi nakuahidi nitapambana na Shania kwa hali yoyote mpaka awe sawa. Sio kwa pesa tu bali hata kwa dua na maombi nitakesha nikiomba kwaajili yake. "Asante baba wewe ni mtu mwema sana Mungu akubariki.

*Alibariki sote. Shangazi acha niende niende. nikamuangalie.

Shahidi alinyanyuka na kuondoka.

Offer offer offer
Soma yote kwa sh 800

WhatsApp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

KICHAA NA MIMBA YA BOSS ________________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Shahidi alikaa vizuri na kuangalia kwa makini huku akisikiliza

.

Nini kilitokea mpaka ikawa vile? Mama Farida alishusha pumzi ndefu kisha. akaanza kusimulia ilivyokuwa.

"Shania ni binti ambae amepitia kwenye maisha magumu sana na ameshuhudia mambo makubwa tangia akiwa mdogo.

Kwanza ameshuhudia vifo vya wazazi wake.

Baba yake alimpiga mama yake sababu ya wivu wa kimapenzi na kumsababishia kifo. Baada ya kuona amekuwa nae alikunywa sumu akafa. Nimemleta Shania tangia akiwa na umri wa miaka kumi alikuwa ni mtoto mnyonge sana lakini baada ya kumtafutia mwana saikolojia alianza kusahau yaliyopita akaendelea na masomo yake na alikuwa anafanya vizuri sana mpaka alipofika elimu ya chuo alipata mchumba na mwaka wa mwisho waliamua kufunga ndoa....

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kichaa-na-mimba-ya-boss-________________________________________-sehemu-ya-kumi-na-sita-shahidi-alik

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kichaa-na-mimba-ya-boss-________________________________________-sehemu-ya-kumi-na-sita-shahidi-alik
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

499
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

227
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

224
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

220
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

136
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.05K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.55K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.35K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
PENZI LA OMBA OMBA๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ Sehemu ya 11
@majario LIVE

โ€œhivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamikaโ€ฆ โ€œ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

โ€œ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema โ€œ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ˜โค๏ธ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hiviโ€ฆ. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, ๐Ÿฅฐ nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest