KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA KUMI NA NANE* Shahidi bado alikuwa upande wa Shania hakusukiliza la mtu
Sawa shahidi kuona utafika wapi na huyo kichaa wako.
*Yani mama sijui wewe ni mama wa aina gani kwangu, badala uangalie furaha yangu na faraja yangu ilipo na kunisapoti mwanao lakini wewe ndio unakuwa mtu wa kwanza kunikatisha
tamaa na kuvunja moyo.
*Yani kuhusu swala la kichaa nitauvunja moyo wako vipande vipande na kamwe sitakuwa upande wako.
Siku zilienda Shania alimaliza uzazi wake na alikuwa anampenda sana mtoto wake na kumuita Ilham na yule mdoli hakuwa na nafasi
tena kwake.
Shida moja aliyokuwa nayo Shania alikuwa hajui jinsi ya kumbembeleza mtoto wake alipokuwa analia na ikitokea mtu aende kumsaidia Shania alikuwa mkali sana hakutaka mtoto wake aguswe na mtu.
Kuna siku mtoto alikuwa analia Tessy akaenda kumchukua kwa nguvu ili ampe maziwa, katika purukushani za kunyang'anyana mtoto shsnua akimng'ata Tessy mkononi ikabidi Tessy amuachie mtoto.
Ilipofika jioni Tessy alikaa na Shahid.
Boss hili swala linaenda kuwa zito sana na kumbuka hakuna kichaa anaemuachia kirahisi mtoto wake.
Sasa wafanyaje na mtoto bado mdogo na doctor aliniambia mpaka mtoto aache kunyonya. Sijaona unyonyaji wa mtoto zile mtoto
ananyonya mara chache sana anaweza akaachishwa na Shania akaanza matibabu. "Ni wazo zuri nitakufanyia kazi.
Kesho yake Shahid akiwasiliana na Daktari
akamuelezea kila kinachoendelea. Sasa ni muda muafaka kwa yeye kupata
matibabu.
*Sawa doctor nipo tayari kwa hilo. "Unatakiwa kumleta.
*Leo hii?
"Ndio sasa hivi. Tukutane Mizo mental hospital. "Sawa
Shania alianza matibabu lakini alikuwa mkorofi sana alikuwa akimtaka mtoto wake. Kila
alipoanza kufanya fujo alichomwa sindano па kupitiwa na usingizi mzito. Shahidi alipambana sana na Tessy ndio alikuwa
mlezi wa mtoto alihakikisha anampa huduma zote anayostahili kupewa mtoto.
Siku zilienda hali ya shsnua ilizidi kubadilika taratibu hali yake ilianza kukaa sawa na hatimae
akili zake zilianza kurudi lakini hakuwa na kumbukumbu kuna baadhi ya mambo alikuwa
hakumbuki kabisa. Siku moja akiwa amekaa na shangazi yake
akaingia doctor na Shahid huku Shahid akiwa kambeba mtoto wao.
*Shania unamfahamu huyu? Doctor alimuuliza na Shania alimuangalia vizuri Shahid kisha akatingisha kichwa kwamba hamjui.
*Hebu niangalie vizuri. *Hapana simfahamu. Alijibu kwa upole.
Huyu ni mume wako Shahid na huyu ni mtoto wako.
Shania alinyoosha mikono akapewa mtoto wake. Alimpakata yule mtoto akamuangalia sana kisha
akatoa tabasamu la mbali na kusema. "Mtoto wangu Ilham.
"Ndio na huyu ni mume wako.
*Hapana sijawahi kuolewa, sina mume. Shahidi alijikuta anakata tamaa kukataliwa na Shania lakini doctor akamshika begani.
"Shania huyu ni baba wa Ilham. Alisema mama Farida.
Hapana shangazi.
Mama isitumie nguvu kubwa kumkumbusha atakumbuka taratibu kama alivyokukukumbuka wewe na vitu vingine. Shahidi nifuate.
Shahidi na doctor walitoka nje.
Shahidi mkeo kapona ila hawezi kurudisha
kumbukumbu kwa mara moja itafika wakati atakumbuka tu.
"Sawa doctor nimekuelewa.
Siku ya kurudi nyumbani Shahid alimchukua na
kurudi nae nyumbani kwake Mama Farida
*SEHEMU YA KUMI NA TISA*
Shahidi bado alikuwa upande wa Shania hakusukiliza la mtu.

Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni