Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA KUMI NA SABA* Siku hiyo shahidi aliondoka akiwa hana furaha kabisa alimuonea sana
Gonga94 · Stories

KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA KUMI NA SABA* Siku hiyo shahidi aliondoka akiwa hana furaha kabisa alimuonea sana

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
huruma Shania. Ni haki achsnganyikiwe ameanza kupitia

makubwa tangia alipokuwa mdogo sita kuacha pekee yake nitapambana nae mpaka mwisho.

Alifika nyumbani akamkuta Shania akiwa anatembea tembea pale ndani huku ameshikilia mdoli wake huku akiimba

Happy birth day to you x 2

Happy birth dear Ilham wangu. Mwaaa Mwaaa.

Nakupenda Ilham baba anakuja na keki leo tunakata keki tuna kula ammmmm tunatafuta tunamezaEE Ilham wangu huyo

nakupenda pendaaa.....

Shania alionekana kuwa na furaha sana na mdoli wake wakati huo Shahid alikuwa amesimama mlangoni akimuangalia, Shania alikuwa hajamиопа.

Shahidi alijikuta machozi yalimtoka, mara Tessy alitokea.

Boss upo sawa? Shahidi alifuta machozi haraka kishaakamwangalia Tessy. *Vipi?

*Safi, leo hali ndio kama unavyoiona ni birth day ya mdoli na alikuwa anataka Keki nimekupigia

Siku ya leo imekuwa nzito sana kwangu.

simu hapokei na messege pia hujibu.

"Inaonekana boss wangu pole sana jamani.

Mmmm acha nikatafute keki kwanza.

"Usisahau na maenbe, apple.

"Nilinunua jana tu.

"Amekula yote.

Sawa nitaleta. Tessy naomba umuangalie sana

Shania mtunzi vizuri.

"Usijali boss wangu.

Shahidi aliondoka na kwenda kutafuta vitu alivyotaka Shania.

Baada ya kufanya manunuzi alirudi nyumbani alipofika tu Shania alianza kumdai keki.

Baba Ilham nataka keki leo birth yangu na Ilham.

*Keki hii hapa imewaletea.

Shahidi alifungua keki, Shania alipoiona aliruka kwa furaha mpaka Shahid akapata hofu na ile

hali yake ya ujauzito.

Shania usiruke bwana utamuumiza mtoto.

Shania alitulia kidogo huku akiwa anamuangalia

Shahid usoni, kisha akamuangalia Tessy

aliekuwa kasimama pembeni alafu kwa sauti ya chini akauliza. "Mtoto yuko wapi?

Yupo huku Kalala. Shahidi alimwambia huku akimuonyesha tumboni kwake.

Shhhhh.... Nipige kelele mtoto wa watu ataamka.

Muda huo huo Shania akaanza kuimba kwa sauti ya juu.

"Kata keki tule, kata keki tule... Tessy alishindwa

kujizuia akajikuta anacheka. "Wewe usicheke imba muimbie mtoto Ilham.

Shania akiwalazimisha wakaanza kuimba huku wanapiga makofi baada ya hapo walikata keki

wakala.

"Shania leo umerukaruka sana sasa ni muda wa kupumzika njoo ulale. Nataka kuomba...

*Tutaimba tena kesho. Shahidi alimbembeleza sana mpaka Shania akakubali kulala. Walienda

chumbani wakipanda kitandani Shahid akamfunika vizuri na kuanza kumbembeleza mpaka akapigwa na usingizi.

Baada ya Shania kurudi Shahid alirudi sebleni alikaa kwenye kochi huku akiwa mbali kimawazo

alikuwa anafikiria sana Shania na jinsi ya kumaliza tatizo lake maana aliamini hakuna msaada hakuna wakisaidiana nae anatakiwa.

kupambana mwenyewe. Akiwa kwenye dimbwi la Tessy alifika na

kumuita mara tatu lakini hakusikia mpaka alipomgusa begani ndipo Shahid alishituka na kumuangalia.

"Boss una matatizo gani?

Aaaaah Tessy nina mengi sana nafikiria kwenye hiki kichwa changu.

Mawazo mengi yatakuurniza boss kumbuka kuna majukumu yanakuja mbele sasa wewe

ukiwa hujitambui na Shania nae hajielewi mtoto wenu atapelekwa na nani?

Ni kweli unachokisema ila kwenye hili swala

najiona kabisa nipo mwenyewe hakuna alikubaliana na mimi kuhusu kuwa na Shania. Familia yangu haitaki kabisa sababu ya huo ugonjwa wake.

"Najua sio rahisi watu kukubali hili ila wewe ndio

umesha penda mpambanie iwezavyo pengine kesho watajiita shujaa na kumuona Shania anathamani. Mimi nimekupenda bure boss. wangu huku kimbia majukumu, hukuona aibu kutangaza hisia zako kwa Shania, kumuacha

mpaka mpenzi wako kwasababu yake. Nakwambia kwa hicho ulichokifanya Mungu

atakupa ushindi na mimi Tessy nipo na nitakuwa bega kwa bega na wewe boss wangu sababu

naziona jitihada zako na hisia zako kwa huyu Shania.

Asante sana Tessy wewe ni mtu wa kwanza kunitia moyo.

Kuwa na amani, tupo pamoja mpaka mwisho wa hili.

Asante sana Tessy, nashukuru kwa kunipa moja na kuwa pamoja na mimi.

*SEHEMU YA SABA*

Siku zilizidi kusonga mbele Tessy na Shahid walimuangalia vizuri na kumpa matunzo mazuri

Shania.

Siku moja majira ya jioni Shania hakuwa kwenye utulivu alikuwa akizunguka pale ndani kama anafanya ukaguzi. Tessy alimfuata na sahani ya matunda.

Shania rafiki yangu tangia asubuhi haujala. hebu njoo ule maembe na badae nitakupa juice

tamu.

Shania alikunja sura na kusukuma sahani ya matunda, sahani ilianguka na kuvunjika.

Una nini wewe mbona leo sikuelewi?

Shania aliinama huku akiwa kashika kiuno

alionekana kuingilia maumivu ya kimnya kimnya.

Tessy aligundua alikuwa anaumwa uchungu.

Alichukua simu yake haraka akampigia Shahid.

Wakati huo Shahid alikuwa amekaa sehemu na wenzake walikuwa wakiogelea maswala ya biashara.

*Samahani. Shahidi alisogea pembeni kidogo na kupokea simu.

*Niambie Tessy.

Shania anaumwa uchungu.

Shahidi alishituka

Naomba umuandae kila kitu kipo pale

chumbani kabatini, namtumaa mtu aje kuwachukua awawahishe hospitali kwa sasa mimi nipo mbali kidogo naweza kuchelewa

kufika hapo.

Sasa nampelekea hospitali gani?

St Thomas ukifika pale utapokelewa kuna

doctor mawasiliano nae.

Sawa boss jitahidi ufike mapema boss.

Nitajitahidi, tukutane hospitali.

Sawa.

Shahidi alikata simu na kurudi kwa wenzake.

Jamani nimepata tatizo natakiwa kuondoka mtanijukisha kinachoendelea.

Shahidi aliondoka haraka na kwenda kupanda kwenye gari lake safari ya hospitali ikaanza.

Huko nyuma wenzake walianza kumuongelea. Kwani kuna tatizo gani?

Umesikia hospitali itakuwa kichaa wake anataka kujifungua. Alisema mmoja na wengine walicheka ila kuna mmoja hakupendezwa.

*Acheni mambo ya kipumbavu nyie ni wanaume

wenye kujiheshimu umbea hauwapendezi hata kidogo. Yale ni maisha ya mtu binafsi na huyo kichaa mnaemzungumzia ni chaguo lake. Kuheshimu na muwe na aibu. Alimaliza kuongea

kisha akanyanyuka na kuondoka. Sasa unaondoka vipi na hatujamaliza? Siwezi kukaa na watu wambea.

Upande wa Tessy akiniandama Shania na

kubeba kila kifaa kinachotakiwa, na wakati huo kuna mtu alifika na gari akawa chukua na kuwapeleka hospitali.

Shania alipokelewa na doctor Alex pamoja na manesi wakamuwahisha leba kwaajili ya kupika njia. Walimaliza Shania kitandani.

Basi kama nilivyokwambia mnatakiwa kutoa misaada huyu ni mgonjwa wa akili.

Sawa doctor.

*Kuweni makini sana.

Sawa.

Manesi walipima njia.

Njia imeshaanza kufunguka.

Shahid alifika na kumkuta Tessy akiwa

kasimama nje..

*Vipi?

*Kuingizwa ndani.

Mungu wangu naomba unisaidie kwa hili,

Shania atoke salama

Mungu ni mwema boss. Shahidi alitoa simu yake na kumpigia dr Alex.

*Hallow doctor nini kinaendelea huko?

Mke wako tumempokea na yupo kwenye usimamizi wa manesi.

Sawa.

Shahid aliendelea kuzunguka pale hospitali huku

akiomba dua kwa Mungu wake.

Boss hivi umewaambia ndugu zake?

Aaaaaaa siku fikiria hilo kabisa ngoja nimpigue shangazi

Shahidi alimpigia mama Farida na kumpa taarifa za kuumwa kwa Shania.

Baada ya muda mama Farida alifika wakaungana pamoja kusubiria matokeo.

Baada ya saa moja na nusu kupita Shania. alijifungua salama mtoto mzuri wa kike.

Walienda wodini wakamkuta Shania kapakata mtoto wake huku akimuangalia. Shani hakuruhusu mtu amguse mtoto wake alikuwa mkali sana kwahiyo watu walimuangalia kwa mbali. Lakini kwa upande wa shahidi ilikuwa ni furaha tu kuwaona vipenzi wake wakiwa salama.

Siku ya pili yake walirudi nyumbani na huduma za kumlisha uzazi ziliendelea huku mama Farida akiwa pale kwaajili ya kumuangalia Shania.

Kwa upande wa ndugu wa Shahid maneno yalianza.

*Yani wewe mwanangu huna akili kabisa badala ya kuchukua maamuzi ya kuachana na yule kichaa ndio kwanza unazidi kujaza ndugu wa

yule kichaa wako, hivi upo sawa kweli wewe?

Mama Shahid aliongea na mwanae kwa ukali. Mama ulisema mtaniacha na maisha yangu basi niachieni na kamwe maneno yenu hayata badilisha chochote kwangu Shania atabaki kuwa mke wangu na mtu wa thamani kwangu

Offer offer
Soma yote kwa sh 500
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA KUMI NA SABA* Siku hiyo shahidi aliondoka akiwa hana furaha kabisa alimuonea sana

huruma Shania. Ni haki achsnganyikiwe ameanza kupitia

makubwa tangia alipokuwa mdogo sita kuacha pekee yake nitapambana nae mpaka mwisho.

Alifika nyumbani akamkuta Shania akiwa anatembea tembea pale ndani huku ameshikilia mdoli wake huku akiimba

Happy birth day to you x 2

Happy birth dear Ilham wangu. Mwaaa Mwaaa.

Nakupenda Ilham baba anakuja na keki leo tunakata keki tuna kula ammmmm tunatafuta tunamezaEE Ilham wangu huyo

nakupenda pendaaa.....

Shania alionekana kuwa na furaha sana na mdoli wake wakati huo Shahid alikuwa amesimama mlangoni akimuangalia, Shania alikuwa hajamиопа.

Shahidi alijikuta machozi yalimtoka, mara Tessy alitokea.

Boss upo sawa? Shahidi alifuta machozi haraka kishaakamwangalia Tessy. *Vipi?

*Safi, leo hali ndio kama unavyoiona...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kichaa-na-mimba-ya-boss-sehemu-ya-kumi-na-saba-siku-hiyo-shahidi-aliondoka-akiwa-hana-furaha-kabisa-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kichaa-na-mimba-ya-boss-sehemu-ya-kumi-na-saba-siku-hiyo-shahidi-aliondoka-akiwa-hana-furaha-kabisa-
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

499
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

227
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

224
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

220
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

136
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.05K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.35K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… “ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest