Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MFANYAKAZI WETU    SEHEMU YA 1
Gonga94 · Stories

MFANYAKAZI WETU SEHEMU YA 1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MFANYAKAZI WETU

SEHEMU YA 1

Kwa majina naitwa happy adui yangu mkubwa kwenye maisha yangu ni mtu maskini mimi natoka katika familiya ya kitajili sana na nawachukia chukia sana maskini sababu sijuwi nawaonaje ila siwapendi tu nikiwaona naona kama nmeona kinyesi hivi... tena kibaya zaidi nilikuwa nawaona tu mitaani lakini mama akaamua amlete maskini nyumbani kabisa jina lake ni Rashid ametokea ndani ndani uko sijuwi ni mwisho wa upepo lakini nilitokea kumchukia sana haiwezekani nyumba ya matajiri anakuja maskini mmoja .....


HISTORIA YA RASHID
? ???????????????
?? ?
Maisha ya Rashidi hayakuwa rahisi hata kidogo. Alizaliwa katika familia maskini, kwenye kijiji ambacho kilisahaulika na dunia. Baba yake alifariki akiwa mdogo, na mama yake, mwanamke jasiri lakini aliyekandamizwa na umasikini, alijitahidi kuwalea yeye na wadogo zake.

Alikuwa na ndoto. Alitaka kusoma, kuwa mtu mkubwa maishani, lakini ndoto zake zilivunjwa vipande vipande pale alipomaliza darasa la saba na kukosa kabisa njia ya kuendelea mbele. Baba mdogo wake, aliyepaswa kumlea baada ya kifo cha baba yake, alimchukia na kudiriki hata kumfukuza kwa maneno ya kejeli .....
"Huna akili, hata kama ningekuwa na pesa,ningekukodia majambazi wakuue unatumalizia hewa ,hewa imekua nzito sababu ya uwepo masikini mbwa taka taka
," alimuambia siku moja kwa dharau.

Rashidi aliona ndoto zake zikififia. Alijua kuwa hakukuwa na msaada wowote. Hakuna aliyemjali. Kila siku alishuhudia mama yake akihangaika, akienda kwenye mashamba ya watu kulima kwa ujira wa chakula kidogo tu. Wadogo zake walimwangalia kwa macho ya tumaini, wakidhani labda angeweza kuwaokoa kutoka kwenye janga la umasikini.

Lakini angewezaje, wakati hata yeye alikuwa akihangaika?
Hatimaye, alichukua uamuzi mgumu. Aliamua kuondoka kijijini, kutafuta kazi mjini. Alianza kuuza maji kutembeza tembeza karanga

Bahati mbaya, mjini hakukuwa kama alivyotarajia. Alihangaika mitaani, akifanya vibarua vya hapa na pale kubeba mizigo sokoni, kufagia maduka, na wakati mwingine hata kulala njaa.

Tuanze sasa baada ya kumjua RASHID
? ??????????? ?

Siku moja, wakati akiwa amechoka na kukata tamaa, alikutana na mama yangu. Alikuwa akitoka sokoni, mikono yake ikiwa imebeba mifuko mizito ya vyakula. Rashidi, kwa uchovu wake wote lakini aliwaona vijana wakinyemelea mizgo ya yule mama .....
mara ghafla wale watu walikwapua na kuanza kukimbia
"msaaada jamaani " mama alipiga ukunga ..na kukaa chini huku kakishikilia kichwa chake .....

Rashid alitoka mbio mbip na kuanza kuwakimbiza walikatisha vichochoro vingi lakini Bado alikuwa yupo nao sambamba alizidi kuwakimbiza waliweza kusalimu amri na kusema chukua vitu vyako na uende tuache na maisha yetu

" kwanini mnaiba sasa?
" kaka ni maisha tu tunapambana"
" siku mtachomwa moto "
" tutabadilika tusamehe kaka"
"bahati yenu! Haya tokeni hapa"
Akawatishia walitoka mbio sana yeye akabeba vitu na kurudi navyo ....

Mama akiwa kakata tamaa maana hata pochi yake yenye kadi ya benki pamoja na vitu vingine kama simu na hela vilikuwa vishachukuliwa hivyo ilikuwa kajikatia tamaa tu ...mara akasikia sauti
" mama pole lakini shukuru mungu nimewakamata chukua vitu vyako "

Mama aligeuka haraka na kumkuta kijana Rashidi akiwa nyuma yake na anamkabidhi vitu vyake mama alifurahi sana ....
.
Mama yangu alimshukuru sana Rashid .
pia mama Aliona macho yake yalivyochoka, lakini yenye heshima na ujasiri.

"samahani mwanangu unafanya kazi gani"
"mama maisha ya kuuunga unga popote kambi . Tunapambana angalau mkono uende kinywani ". Mama alimuonea huruma na akakumbuka nyumbani kuna kazi nyingi ambazo mimi siwezi kufanya pekee yangu na kila siku nilikuwa nafanya kizembe zembe sasa akaona amchukue kama fadhila kwa wema alio mtendea ....


"Unatafuta kazi?" mama yangu aliuliza.

"Ndiyo, mama. Kazi yoyote, bora nipate mahali pa kulala na chakula," Rashidi alijibu kwa sauti ya unyenyekevu.

Mama yangu alimtazama kwa muda, kisha akatabasamu kwa huruma
"Njoo nyumbani kwangu," alisema.
"Tutakupa kazi."

Na hivyo ndivyo Rashidi alivyoingia kwenywe maisha yetu. Kazi aliyopata ilikuwa ya kuwa mfanyakazi wa ndani house boy. Alikuwa na sehemu ya kulala, chakula cha uhakika, na mazingira salama si unajua sisi matajiri hatuna dogo.

Lakini hakujua kuwa sehemu moja ya maisha yake ingekuwa jehanamu.
Nilikuja kuwa kama jinamizi lake.

Basi majira ya usiku mama aliingia na mlinzi alifungua geti baada ya kusikia honi. Na nilifurahi sana maana mama sijamuoana takribani siku nzima na navyompenda mama yangu huniambiii kitu

Nilimkimbilia na kumkumbatia mama yangu lakini Ghafla nikasikia mlango ukifunguliwa niligeuka kwa mashaka ghafla akatoka rashidi akiwa kabeba rambo yenye nguo zake alikuwa kapauka usoni kama anafanya kazi dampo ..

"kheeee mama huyu marambo ni nani tena mbona kapauka uso kama anafanya kazi dampooo"

" acha maneno ya hovyo bila huyu kaka sijuwi ningeweka wapi sura yangu.

Nilipolwa vitu vyote hyu ndo malaika mlinzi wangu wa leo "kisha akamwambia rashidi huyu anaitwa Happy ni mwanangu mpendwa akanigeukia

"huyu ni Rashid kuanzia leo atakuwa mfanyakazi wetu hapa . Mkaribishe na muonyeshe mazingira kesho asubuhi atalala kile chumba alichokuwa analala mjomba wako"
Nilichukia chumba kile ni kizuri jamani na kina tv leo maskini huyu alale kwenye hiki chumba kweli wakati katoka huko na ananuka majasho ya kimaskini leo alale nyumba ya kitajiri kweli .....

Tuliingia ndani lakini mimi sikupendezwa naye hata kidogo kutokana na alivyo ni vile tu damu zetu haziendani hata kidogo .......na kweli namchukia tu.
Tulipoingia ndani baada ya kumuonyesha chumba

" Rashidi hilo jasho lako la mtaani hutakiwi kuingia nalo kwenye familia hii ya kitajiri ,maana maskini kama nyinyi mnatakiwa mlale dampooooo".

Rashid hakunijibu chochote zaidi zaidi alishukuru na kuniuliza "bafu iko wapi?"
Nilimlekeza kwa hasira kisha nikaenda kumcheki mama na kuwa na mazungumzo naye ......

CHUMBANI KWA MAMA ......
? ???????????? ?
"Nina uhakika hata hana elimu ya maana," nilimwambia mama yangu

"Lakini, mwenzako amejituma, na ni kijana mwema na sioni kama ni mtu mbaya," alijibu kwa utulivu.

"sawa mama wewe unasema hivo lakini unaweza kufuga na kulea jambazi likaja kutuua maana wabaya wanajificha kwa watu wema "
."nenda ukalale tutaongea kesho sawa ,usiku mwema nenda kalale byeee nakupenda mwanangu "

" byeee mom uwe na usiku mwema"nilitoka na kurudi chumbani kwangu nilichukua mitooo na kutupa tupa huku na kule na kun'gata meno
" huyu maskini nitamkomesha sio sir

Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MFANYAKAZI WETU SEHEMU YA 1

MFANYAKAZI WETU

SEHEMU YA 1

Kwa majina naitwa happy adui yangu mkubwa kwenye maisha yangu ni mtu maskini mimi natoka katika familiya ya kitajili sana na nawachukia chukia sana maskini sababu sijuwi nawaonaje ila siwapendi tu nikiwaona naona kama nmeona kinyesi hivi... tena kibaya zaidi nilikuwa nawaona tu mitaani lakini mama akaamua amlete maskini nyumbani kabisa jina lake ni Rashid ametokea ndani ndani uko sijuwi ni mwisho wa upepo lakini nilitokea kumchukia sana haiwezekani nyumba ya matajiri anakuja maskini mmoja .....


HISTORIA YA RASHID ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mfanyakazi-wetu-sehemu-ya-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mfanyakazi-wetu-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

430
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

287
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

79

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest