VYOTE NDANI GONGA94
Miaka 4 iliyopita mke wangu aligundua kuwa niliwahi kuchepuka na kwa bahati nikapata mtoto wa nnje ambaye ki umri alikua ni sawa na mtoto wangu wa kwanza
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, wakati huo alikua na miaka minne. Ingawa nilikua nimeshaachana na huyo mwanamke nalea tu mtoto kwani nilitambua kosa langu lakini mke wangu alikasirika sana.
Niliomba sana msamaha lakini hakutaka kunisikiliza, aliniambia moja kwa moja kuwa nichague kati ya mtoto niliyezaa na huyo mwanamke au ndoa yangu. Aliniambia kama nataka abaki basi nisiwasiliane na huyo mwanamke na hataki kusikia kitu chochote, hata matumizi alikua hataki nimtumie.
Kwakua nilikua nampenda sana mke wangu nilikubali kukata mawasiliano kablsa na Mama wa mtoto wangu lakini sikua tayari kumtelekeza mwanangu, nilimfungulia mtoto akaunti na kila mwisho wa mwezi nilikua namuwekea mtoto bila kuwasiliana naye, sikutaka hata kujua anaendeleaje, mwanamke nilimblock kwenye kila kitu.
Nilikua nafanya hivyo kimya kimya bila mke wangu kujua. Lakini miezi miwili iliyopita nilisahau kile kikaratasi cha kuwekea pesa kwenye gari yangu, mke wangua likiona, alinibana sana nikalazimika kumuambia ukweli kuwa nilikua namhudumia mwanangu kwakua hana hatia.
Mke wangu hakunijibu, alinyamaza kimya kw aisku mbili, siku ya tatu natoka kazini nikakuta mke wangu kachukua kila kitu chake kaondoka. Ananiambia nimechagua kumhudumia mwanangu hivyo nibaki naye, nilihisi utani lakini wiki ilipita, nikamaua kutafuta watu kuongea naye.
Tukaitishwa kikao na kila mtu ila mke wangu kaweka msimamo kuwa ili anisamehe na kubali kurudi nilazima niache kumhudumia mtoto wangu na tuandikishe mahakamani kuwa simtambui huyo mtoto na kama niki*fa basi asirithi kitu chochote, naomba ushauri wako nifanye nini?
Mke wangu nampenda tena sana lakini naona shida kumtelekeza mwanangu, makosa nilifanya mimi hivyo sioni kama ni sawa kumuadhibu mwanangu! Nimemuambia basi kama ishu ni mawaisliano maana siwasiliani na Mama wa mtoto basi pesa niwe napeleka ustawi wa jamii hata nisitume kwenye akaunti yake lakini hatak.
Anachotaka ni mimi nisimhudumie mwanangu, sasa hapo naona shida maana kama ni pesa ya kuhudumia ni nayo, yeye namhudumia nampe pesa zaidi ya mara kumi ya ninazotuma kule lakini ananiambia hataki tu nimhudumie, nishauri nifanye nini?

Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miaka
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe. SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO ENDELEA. . . BAADA YA MIAKA KUMI NA TANO
NAKUPENDA Sehemu ya : 1 By Miss Hamida Simulizi yetu inakwenda kuanzia Miaka ya nyuma kabisa kabla ya kila mtu hajaanza kumiliki simu, ambapo mtu akikupa...
"SITAKI MIEEE" (IMEBANAAA) MTUNZI ๐ซDr(Dkt) Kangaroo Nyumbu UMRI ๐ ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU ๐01
"SITAKI MIEEE" (IMEBANAAA) MTUNZI ๐ซDr(Dkt) Kangaroo Nyumbu UMRI ๐ ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU ๐02
๐ ONYO: Hii ni hadithi ya wakubwa tu. Usisome kama hujatimia miaka 18. ZUWENA NILIUZA BIKIRA YANGU KIPANDE CHA 1 ๐
๐ Onyo: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji waliotimiza umri wa miaka 18 Zawadi Sehemu ya 3
Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa uangalifu na kwa hiari yako. ZAWADI Sehemu ya 11
Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi
๐ ONYO: Hadithi hii inafaa kwa wasomaji waliokomaa (miaka 18+). Ina maudhui ya kihisia na kimapenzi. Tafadhali soma kwa uangalifu. ZUWENA NILIUZA BIKIRA YANGU M KIPANDE CHA...
โ ๏ธ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. โ ๏ธ Post hi inafaa kwa page...
FATE TO LOVE YOU ๐1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
MWISHO WA AI... Bill Gates: Hata baada ya miaka mia moja, kutabaki eneo moja lisiloshikika na akili bandia (AI), nalo ni kutengeneza programu(Programming).
๐ Tahadhari: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima na siyo rafiki kwa walio chini ya miaka 18. Hadithi ya Watu Wazima: Zawadi Sehemu ya 5
SARA ni Binti Mdogo mwenye miaka 17 kutokana na umbo lake kubwa basi akajiona tayali kawa mtu mzima asie hitaji uangalifu wa wazazi..
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani,...
Miaka ya 1930s wakati Urusi ikipigwa na lile janga la njaa kali kuwahi ikumba nchi hiyo. Inasemekana kuna baadhi ya watu walianza tabia za kula nyama za watu. Wapo walioenda...