Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........20
Whatsapp..............0613083801

"Diana!!",Angelina aliuliza kwa mshangao na alishindwa kumuelewa mama yake anamuongelea Diana yupi na ata Stewart nae alishituka baada ya kusikia jina la Diana......

ENDELEA NAYO.......
Mwanamama Beatrice aliamua kumchukua mwanae Angelina na kwenda nae mpaka chumbani Ili wakafanye maongezi,
"Mwanangu najua unamjua vizuri sana Diana uliyekuwa ukishindana nae kwenye mashindano ya kumtafuta Miss Tanzania,naomba uamini maneno yangu yule ni dada yako na wote nyinyi ni ndugu",Mwanamama Beatrice aliongea na kumfanya Angelina asiamini kile alichoweza kukisikia.
"Mama utakuwa umekosea yule hawezi kuwa ndugu yangu mana mimi na yeye damu zetu haziendani ata kidogo",Angelina hakukubaliana na maneno ya mama yake.

Mwanamama Beatrice alimweleza kiundani zaidi mwanae hali iliyofanya aanze kuyaamini maneno yake na kutamani kwenda kuonana na ndugu yake huyo.

Stewart pamoja na mwanadada Manka baada ya wao kubaki peke yao,
"Diana gani aliyekuwa anamzungumzia?",Stewart aliamua kuvunja ukimya kwa kumuuliza Manka.
"Heeeeeh!!,wewe kaka umbea umezidi kwani lazima ujue ni mtu yupi waliokuwa wakimzungumzia mpaka uniulize mimi",maneno ya Manka yalimfanya Stewart anyamaze na kutulia kabisa mana Manka alionekana ni moja ya wanaoongea sana.

Angelina alitoka akiwa na mama yake mda huohuo na kumfata Manka aliyekuwa amekaa na Stewart,
"Manka kuna sehemu naenda nitakuja mda sio mrefu",alimuaga na kuondoka na alisahau kama Stewart alikuwa maeneo hayo ila akili zote za Anjelina kwa wakati huo zilikuwa ni kule alikokuwa akielekea yeye pamoja na mama yake.

"Kama mtu ambae nilikuja kwa ajili yake kaondoka na kuniacha hapa na mimi sioni haja ya kuendelea kubaki hapa acha niondoke",Stewart nae alinyenyuka na kuondoka  akimuacha Manka peke yake.
             
Msanii maarufu aitwae Big Don alikuwa anapongezana na mtu aliyempa zile picha za manager wa kampuni aliyokuwa anafanya kazi Angelina na kwenda kumtishia Ili aweze kumwachia mwanadada Angelina aje katika mikono yake,
"Huyu mwanamke alijifanya mjanja sana kukataa million 50 nilizompa ili afanye kazi yangu sasa temu hii kazi yangu atafanya na malipo hatopata",Big Don aliongea.
"Lakini ni mwanamke mrembo yule ndiyo mana Kawa Miss Tanzania, kama inawezekana boss niachie mimi awe wangu",kijana aliongea mbela ya Big Don neno lilomkera,
"Yani nikuachie wewe alafu mimi nibaki na nani? unakichaa wewe?, kipi ambacho huelewi kazi lazima afanye na mapenzi nitafanya nae mimi ndiyo Big Don kwakuwa ni Miss Tanzania jina langu litazidi kuwa kubwa zaidi na watu kuniongelea kama tu nikiingia nae kwenye mahusiano",Big Don nae alikuwa na mpango wa kuingia kwenye mahusiano na mwanadada Angelina.

Big Don alichukua simu yake na kumpigia mwanadada Angelina ila iliita bira kupokelewa,
"Boss mbona hapokei simu au manager wa ile kampuni kakupa namba za mtu mwingine?",
"Hawezi kufanya kitu kama hicho yani huyu Miss Tanzania lazima awe mikononi mwangu, temu hii sitakubali kumuacha kama wa mwaka jana nilivyowaachia wao",Big Don aliongea.

Mwanadada Angelina sasa alikuwa kwenye vita ya kugombaniwa pasipo yeye kufahamu na temu hii ata masanii maarufu nae aliingia kwenye kinyanganyilo hicho cha kumtaka Miss Tanzania.

Angelina akiwa na mama yake walifanyikiwa kufika kwa Mr. James na unakuwa ni ugeni mwingine tena kwa mwanadada Diana aliyekuwa amekea kwenye kochi na hii ni baada ya kijana Albert kumtoa kwenye kiti cha wagonjwa na kumuweka kwenye kochi.

Angelina alisogea mpaka alipo Diana ili kujihakikishia kwa  macho yake mwenyewe kama kweli yeye na Diana ni ndugu,
Wakati wote huo Mr.James na Mwanamama Beatrice walikuwa wakiwatazama tu mabinti zao na kijana Albert aliyekuwa amekaa pembeni,
"Angelina kwanini ndugu yangu asiwe mtu mwingine mpaka uwe wewe tena mtu niliyekuwa nakuchukia na sikutaka ata kukuona",Diana aliongea na alitoa ya moyoni pasipo ata kuficha kitu.

Angelina hakuwa na cha kuongea zaidi ya kumsikiliza ndugu yake aliyekiwa akilalamika.

"Kwanini Anjelina huu ulemavu nilioupata ni wivu niliokuwa nao baada ya wewe kunishinda kwenye mashindano  ya Miss Tanzania na sijui lini nitapona, nimeharibu maisha yangu mwenyewe kwa kuwa na chuki na mtu ambae ni ndugu yangu",Diana alizidi kuongea na kumfanya Angelina amsogele karibu na kumkubatia.
"Wewe ni dada yangu kuanzia sasa nitafanya kile unachokitaka ata kujivua taji hili la uMiss Tanzania nipo tayali Diana ilimradi uwe na furaha, kwenye hii dunia nilijihisi nipo peke yangu na nilijua pia sina ndugu mwingine zaidi ya mama yangu na baba yangu mzazi, Diana wewe ni dada yangu na mimi ni mdogo wako",Angelina aliongea.

Mwanamama Beatrice alifurahi kuona watoto wake wamepatana na kumaliza tofauti zao na ata Albert nae alifurahi kuona ndugu wawili wamekuwa kitu kimoja.

Mr.James hakuwa na cha kusema lakini akiwa anaangalia tukio la binti yake Diana akiwa na ndugu yake gafra simu yake iliita na kukutana na namba ngeni iliyomlazimu kuipokea,
"Nimekutumia zile milion 4 ulizoniambia za taa ya gari lako  niliyoiharibu",sauti ya upande wa pili ilisikika na hakuwa mwingine bali ni Mr.John au baba mzazi wa Stewart.

Mr.James alitaka kumjibu Mr.John ila mazingira hayakuruhusu akaamua kukata simu tu, kwanza alikuwa bado anamawazo kuhusu binti yake alafu Mr.John amechelewa kutuma ela tofauti na alivyomwambia alikuwa bado anakisasi na Mr.John cha kumchukulia Mwanamama katalina kipindi cha ujana wao kwa mawazo yake yalivyokuwa yakimtuma.

"Baba",Angelina alimwita Mr.James baba kitendo ambacho karibu kila mtu kilimfurahisha kuona binti huyo anamwita Mr.James baba  kwa mara ya kwanza.
"Namu binti yangu",Mr.James nae aliitikia kuonyesha kufurahishwa na jinsi alivyoitwa.
"Baba mimi naona dada anaweza kupona kwanini tusimpeleke nchi za nje akatibiwe huko ni bora tuingie garama za kutosha ila apone na arudi kwenye hali yake", Angelina aliongea.

Albert nae aliona ni wazo zuri aliloongea Angelina,
"Kwanini hatukufikilia hili toka mwanzo",Albert aliongea.

Kila mmoja wao walikubaliana na wazo la Angelina na taratibu zilianza kufanyika za kumpeleka Diana nchi za nje ili kuangalia kama anaweza kupatiwa matibabu,na Mr.James aliamua kumpeleka Canada binti yake kwa ajili ya matibabu.

Siku iliyopangwa ya kumpeleka Diana kwa ajili ya matibabu ilifika na siku hiyo Angelina akiwa na mama yake mzazi walimsindikiza Diana aliyekuwa akiongozana na baba yake mzazi Mr.James kwenda Canada,
"Diana binti yangu mungu akutangulie huko uendako naamini utarudi Tanzania ukiwa tayali umeshatibiwa na umepona, nakupenda sana mwanangu",Mwanamama Beatrice aliongea akiwa amemkumbatia Diana.

"Niambie neno moja tu dada angu kabra hujaondoka", Angelina aliongea.
"Naomba uniangalizie Albert hakikisha haingii kwenye mahusiano na mwanamke yoyote yule mpaka pale nitakaporudi",Ndio neno alilotamka Diana kwa mdogo wake Angelina.

Waliekea kwenye ndege Diana akiwa na Mr.James na ata nyumba yao iliachwa chini ya uangalizi wa Angelina na Mwanamama Beatrice.....ITAENDELEA.

Diana anaenda kutibiwa nje ya nchi je? atafanyikiwa kupona karibu katika sehemu inayofata.

NB: Story hii  NIYAKUTUNGA na haina ukweli wowote ule unaoendana na taratibu za nchi yetu????????????????.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k???????????????????????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........20
Whatsapp..............0613083801

"Diana!!",Angelina aliuliza kwa mshangao na alishindwa kumuelewa mama yake anamuongelea Diana yupi na ata Stewart nae alishituka baada ya kusikia jina la Diana......

ENDELEA NAYO.......
Mwanamama Beatrice aliamua kumchukua mwanae Angelina na kwenda nae mpaka chumbani Ili wakafanye maongezi,
"Mwanangu najua unamjua vizuri sana Diana uliyekuwa ukishindana nae kwenye mashindano ya kumtafuta Miss Tanzania,naomba uamini maneno yangu yule ni dada yako na wote nyinyi ni ndugu",Mwanamama Beatrice aliongea na kumfanya Angelina asiamini kile alichoweza kukisikia.
"Mama utakuwa umekosea yule hawezi kuwa ndugu yangu mana mimi na yeye damu zetu haziendani ata kidogo",Angelina hakukubaliana na maneno ya mama yake.

Mwanamama Beatrice alimweleza kiundani zaidi mwanae...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

597
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

502
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

475
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

324
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

234
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

77

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest