Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 11
Gonga94 · Stories

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi nikajinyanyua na kumkiss kwenye shavu, akanivuta kisha akanipa French kiss moja matata kisha akasema “Mimi ni mume wako, hakuna mwanaume hata mmoja kwenye hii dunia ambae anaruhusiwa kukushika hata kucha, sasa jifanye mwenda wazimu, wewe na huyo nitakae kukuta nae mtanijua mimi ni nani, kisha akaondoka zake….

Nikaanza kujiambia kuwa, ukisikia mapenzi ya kibabe basi ndio haya, mwanaume mbabe kama kitu gani, nikajikokota pale kitandani taratibu na kuelekea bafuni, nikiwa bafuni nikaanza kupata wazo, maana kwenye harusi niliambiwa kuwa naolewa kwa niaba ya Eric, na huyu kaka mjeda ameniambia yeye ni Eric, na kuna muda ananiambia kuwa yeye ni mume wangu, nikawa najiuliuza, au mambo yote ambayo anayafanya ni kwa sababu ananipenda na ameniona nini, sasa kama ameniona anashindwa nini kunambia kuwa yeye ni mume wangu, kuliko kuniweka kwenye fumbo gumu kiasi hichi…

Na kama kweli yeye ni mume wangu, je Yule mzee ambae alinioa alikuwa ni nani, na nani ambae alimpa taarifa kuwa naolewa, maana sikuwah kuwa na ukaribu nae hata kidogo na sikuwah pia hakuwah hata kunambia kuwa ananipenda hata mara moja, kuanzia aliponirudishaga nyumban kwetu kibabe ule wakati ambapo nilikuwa natoka sokoni sikuwah hata mara moja kukutana nae, wala kuongea nae jambo lolote lile…

Nilikuwa najiuliza maswali ambayo hata mimi sikuwa na majibu yake sikuwa najua hata napaswa kujibu nini kwa maswali kama hayo, sikuwa najua pia natakiwa kufanya nini ili kuhakikisha kuwa najua hisia za kaka mjeda na siri zilizojificha ambazo sikuwa nazifahamu kabla…

Basi siku hio nikaanza kuangalia nguo ya mitego ila hata sikuipata hata moja, ikabidi nimtumie sms kuwa natoka naenda dukani, hakujibu, akaja kupiga nipo dukani, na kuniuliza “Upo duka gani?..

Ikabidi nimuambia ila akakata simu, sikuwa najua kama alikuja au alimtuma mtu aje kuniangalia maana sikuona mtu yoyote. Nikanunua cha kununua, hapo nikanunua vigauni vifupi vya mitego na mambo mengine yanayohusiana na kumtega mwanaume vizuri, na baada ya hapo nikanunua manukato mazuri na mafuta ya masaage, hapo hata massage yenyewe sijui namna ya kuifanya …….

Basi nikarudi nyumban nikapika hapo, nimemaliza nikatenga chakula mezani baada ya hapo nikaingia mtandaoni kujifunza namna ya kumfanyia mtu massage maana hakuna kitu hata kimoja nilichokuwa nakielewa wakati ule….

Baada ya hapo nikajiandaa na mimi vizuri, kaka mjeda alirudi kwenye saa tano kasoro, nikawa ukumbin namsubiri, kwanza sikusikia hata gari lilivyoingia nashangaa tu mlango unafunguliwa na mtu anaingia, nikasimama na kwenda kumpokea, sasa kwa namna nilivyovaa ni kama alikutwa na butwaa, kisha kwa sauti ya mideko nikasema
“Pole na kazi na karibu ndani mume wangu….

“Happinesss usiniambie kuwa kuna mwanaume wako ulikuwa umempanga aje hapa ndani saa hizi, yan aje nyumban kwangu, embu nambie ndio Yule mpuuzi wa kwa shangazi yako, au ulijua leo sitarudi ili ufanye mambo yako…

Nikaanza kumshangaa huyu vipi, kisha nikamsogelea na kumkiss kwenye lips zake kisha nikasema “Hakuna mwanaume ambae namsubiria mume wangu, nilikuwa nakusubiri wewe tu, naomba usiongee sana, nambie unakula kwanza au unaenda kuoga…

Ni kama kaka mjeda hakuwa amesikia ninachokisema, akaniangalia kwa mshangao kisha akaanza kuingia kwenye vyumba kana kwamba kuna kitu anatafuta, nikawa namshangaa huyu vipi, au ndio ameshachanganyikiwa saa hizi…

ITAENDELEA,……….
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 11

Basi nikajinyanyua na kumkiss kwenye shavu, akanivuta kisha akanipa French kiss moja matata kisha akasema “Mimi ni mume wako, hakuna mwanaume hata mmoja kwenye hii dunia ambae anaruhusiwa kukushika hata kucha, sasa jifanye mwenda wazimu, wewe na huyo nitakae kukuta nae mtanijua mimi ni nani, kisha akaondoka zake….

Nikaanza kujiambia kuwa, ukisikia mapenzi ya kibabe basi ndio haya, mwanaume mbabe kama kitu gani, nikajikokota pale kitandani taratibu na kuelekea bafuni, nikiwa bafuni nikaanza kupata wazo, maana kwenye harusi niliambiwa kuwa naolewa kwa niaba ya Eric, na huyu kaka mjeda ameniambia yeye ni Eric, na kuna muda ananiambia kuwa yeye ni mume...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 13
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 13
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 14
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 14
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 12
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 12
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  SEHEMU YA 16
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 16
 MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 10
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 10
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE    SEHEMU YA 9
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 9
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 8
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 8
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 7
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 7
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 6
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.87K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.18K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.63K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest