VYOTE NDANI GONGA94
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 12
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
“Happiness embu nambie huyo mpuuzi yupo wapi mamaa, au unataka kuniona nakufa kwa pressure, embu nambie uliekuwa unamfanyia hivi ni nani, najua una mtu wako ulikuwa umempanga, huyo mwanaume nambie anaitwa nani na anakaa wapi, niambie akasema kwa ukali..…
Sio siri nilijisikia vibaya sana, kwa sababu sikuwa nategemea hata mara moja kama mwanaume ambae nampenda sana na kumuamin sana anaweza kupoteza uaminifu na mimi kwa kiasi hicho, nikamgeukia kisha nikamuangalia na kusema
“Naomba nikuambie tu, nataman tuishi maisha mazuri mimi na wewe, mimi nahisi kama nakupenda labda kama wewe hunipendi unambie leo mapema tu nijue nitafanya nini…
“Unataka kufanya nini kwa mfano? Akauliza..
“Siwez kuishi na mtu ambae hanipendi, hivyo moja kwa moja ni lazima nitaondoka tu…
“Ukishaondoka unaenda wapi? Akauliza tena..
“Naenda kuendelea na maisha yangu, huenda Mungu akaniwekea na mimi mtu ambae atanipenda na mimi pia, nikajibu nikiamin kuwa ni majibu ya kawaida tu, ila kaka mjeda akaniangalia kisha akasema
“Najua una mwanaume wako na unatafuta sababu za kuniacha, najua haujawah kunipenda lakin ujue kuwa hauwezi kuondoka hapa bila talaka na mimi sikuachi hata kama ukitaka…
Nikaona sasa hapa tutaendelea kubishana, nikamsogelea taratibu, kwa mapozi ya hali ya juu, kisha nikaanza kufungua vifungo vya shart lake kwa madaha, akawa anahema juu juu, kisha nikamvua na magwanda yake, na baada ya hapo nikamshika mkono kuelekea bafuni…
Alikuwa kimya ananiangalia huku anatabasamu, nikamuogesha pale na baada ya hapo nikajiambia kuwa anatakiwa kula, nikamvisha taulo, na wakati wote huo alikuwa kimya ananiangalia tu…
Nikamshika mkono mpaka mezani, na baada ya hapo nikamtengea chakula, wakati wote huo alikuwa kimya ananiangalia tu, tukala na mara baada ya kumaliza kula, akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akasema
“Leo umepanga kufanya nini?..
“Kukupa raha handsome wangu, sasa nikanyanyuka hapo ni kwa madoido nikijua namtega, kumbe mwamba ameshategeka kitambo hapo alipo ni kwamba anajikaza tu, na nikajipitisha karibu yake ilinichukue sahani yake, alininyang’anya ile sahani kisha akanikalisha juu ya meza, akaanza kazi, yaan ilikuwa ni tukio la ghafla hata mimi mwenyewe sikutegemea kabisa kama ghafla hivyo anaweza kufanya anayoyafanya…
Alizama chumvini, aisee sikuwah kuupata utamu kama ambao niliupata siku hii, nikabaki nagugumia tu kama sina akili nzuri, ametoka chumvini, akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akasema “Nakupenda sana mamaa, nakupenda mno sijiwezi …
Kwa raha nilizokuwa nazipata, si nikatoa mguno, aisee shughuli ilianzia pale pale, hakutaka hata kusubiri sijui mpaka twende chumban, nahisi hata alikuwa anaona kama chumban ni mbali hivi, kwa sababu alikuwa anaonekana kama ameshaishiwa uvumilivu…
Ingawa ilikuwa shoo ambayo sikuwa naitegemea ila nahisi ndio ilikuwa shoo tamu zaidi ambayo nilishawah kupewa kuanzia nazaliwa, tumemaliza hapo, akachukua vyombo akaenda kuosha yeye, kisha akanambia
“Nenda mamaa ukaoge nakuja, ila nakutaman wewe mtoto sio utani, nikatabasamu kisha nikaenda kuoga…
Nimemaliza nayeye akawa anataka kwenda kuoag, nikamuwahi, na kuanza kumfanyia masaage, aisee sijui wanajeshi na uhusiano gani na matusi, maana alikuwa anatukana balaa, nikitaka kuacha nashangaa natukanwa na mimi, yaan mimi na huduma zangu zote zinachanganywa na matusi, alafu anamalizia “Ole wako uache nitakukek**a mwenyewe bila kiwembe…
ITAENDELEA …
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya