Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MTOTO HUYU NI WA NANI?  Wanawake wawili mkubwa na mdogo walikuwa na watoto wawili wakiume!
Gonga94 ยท Stories

MTOTO HUYU NI WA NANI? Wanawake wawili mkubwa na mdogo walikuwa na watoto wawili wakiume!

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Walipowaacha kidogo mbwa mwitu akaja na akaondoka na mtoto mmoja!

Waliporudi kila mmoja akasema yule mtoto aliyebaki ni wake!

Wakaenda kwa Nabii Daudi Awahukumu, Akahukumu kuwa mtoto aliyebaki ni wa mwanamke mkubwa!

Mwanamke mdogo hakuridhia, wakaenda kwa Nabii Suleiman mwanawe Nabii Daudi!

Nabii Suleiman akaagiza kisu akasema kwa vile hamukuridhia hukumu ya Baba yangu na munataka hukumu yangu basi nitamkata mtoto huyu vipande viwili kila mmoja nitampa kipande chake!

Akawauliza munaridhia sasa hukumu hii? Mwanamke mkubwa akasema ndio na mwanamke mdogo akasema hapana nimeridhia hukumu ya Baba yako mtoto ni wake!

Mwanamke mkubwa akafurahi na Nabii Suleiman Akahukumu kuwa mtoto ni wa mwanamke mdogo!

MAFUNZO:

Mtu kama kitu ni chake na haki yake atakigombania kwa nguvu zake zote!

Isipokuwa akihisi atakipoteza basi atahakikisha kinakuwa katika mikono salama!

Wakati anakigombania hatokubali kabisa kukidhuru kwa sababu ni chake na yule asiyekimiliki hatojali kwa sababu yeye sio chake!

Atakisamehe tu kwa sababu kukisamehe ndio njia pekee ya kukibakisha salama kwa sababu anakipenda!

Mwanamke huyu mdogo aliridhia mwanawe achukuliwe na mtu mwengine ili tu abakie hai kwa sababu ni mwanawe na anampenda hawezi kuvumilia machungu ya kumpoteza mbele ya macho yake!

Mwanamke huyu mkubwa hakujali kama atakatwa vipande viwili kwa sababu sio wake na haumii/haathiriki kumpoteza kwa kuwa hana mapenzi nae!
Tangazo - General kumbe ulinipenda kweli eee
General kumbe ulinipenda kweli eee
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MTOTO HUYU NI WA NANI? Wanawake wawili mkubwa na mdogo walikuwa na watoto wawili wakiume!

Walipowaacha kidogo mbwa mwitu akaja na akaondoka na mtoto mmoja!

Waliporudi kila mmoja akasema yule mtoto aliyebaki ni wake!

Wakaenda kwa Nabii Daudi Awahukumu, Akahukumu kuwa mtoto aliyebaki ni wa mwanamke mkubwa!

Mwanamke mdogo hakuridhia, wakaenda kwa Nabii Suleiman mwanawe Nabii Daudi!

Nabii Suleiman akaagiza kisu akasema kwa vile hamukuridhia hukumu ya Baba yangu na munataka hukumu yangu basi nitamkata mtoto huyu vipande viwili kila mmoja nitampa kipande chake!

Akawauliza munaridhia sasa hukumu hii? Mwanamke mkubwa akasema ndio na mwanamke mdogo akasema hapana nimeridhia hukumu ya Baba yako mtoto ni wake!

Mwanamke mkubwa akafurahi na Nabii Suleiman Akahukumu kuwa mtoto ni wa mwanamke mdogo!

MAFUNZO:

Mtu kama...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtoto-huyu-ni-wa-nani-wanawake-wawili-mkubwa-na-mdogo-walikuwa-na-watoto-wawili-wakiume

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtoto-huyu-ni-wa-nani-wanawake-wawili-mkubwa-na-mdogo-walikuwa-na-watoto-wawili-wakiume
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest