Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  2
Gonga94 · Stories

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 2

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 2

Shangazi kanifukuza bila hata kuniulumia hakujali kuwa nimebakwa na mumewe nilitoka pale huku nachechemea cjui pakwenda, giza lilikuwa limeingia tyr,, nikatoka hadi stendi ya basi tulikuwa tunaishi bunju, nikapanda gari hadi ubungo ili nilale stendi asbh nipande gari za kwetu,, nilifika ubungo vzr huku nalia, nikiwa natembea kuelekea geti la kuingilia nikamsukuma Mama mmoja iv nilikuwa sijamuona nilimsukuma kwa bahati mbaya, yule Mama alinirudishia alinisukuma kwa nguvu hadi nikadondoka chini nikamwambia Mama mbona umenisukuma kiasi hiki?? Akaniambia tena ukome unavyotembea uwe unaangalia mbele sio macho chini kama mwizi bc nikajiinua ili niondoke zangu wakati nanyanyuka pale kumbe nilipoteza hela niliyopewa na shangazi kama nauli ya kwetu sikujua kama sina hela niliingia stendi nikasogea hadi kwenye gari za Musoma, ile nataka kutoa hela nikate ticket nikajikuta sina hela, nikapekua kila sehemu lkn wapi nikaanza kulia pale tena kwa nguvu, watu waliniuliza nalia nn niliwabia nimepoteza nauli ila hakuna hata aliye nijari, nilitoka pale stendi hadi yale maeneo Niliondoka nikaanza kutafuta hela ila wapi,, nikatoka nikaanza kutembea hata sijui naenda wapi,, nilifika mahari nikakaa chini huku nalia, hapo sijakula chochote tangu asbh, nikatamani nimpigie shangazi wa Arusha anapokaa Kaka yangu ila sikuwa na namba zao, nilikaa pale hadi ucku mwingi ukaanza kuingia niliogopa nikasema hapa nitabakwa tena Mamujee mm alipita Dada mmoja amevaa vzr tu nikamfata nikamsalimia vzr nikaanza kumuomba msaada,, nikamfata naomba unisaidie japo pa kulala tu kwa cku iyo,, yule Dada aliniangalia juu mpaka chini, akaniambia nitafute mtu mwingine yeye hana msaada,, yule Dada alivyoondoka akaja Kaka akaniuliza binti vp? Mbona unaangaika ucku wote huu? Nikamwambia sina pa kwenda nimetoka mkoani nimekuja kufanya kazi za ndani Sasa mtu niliyeambiwa atakuja kunipokea simuoni, ilibidi nidanganye,, bc aliniangalia vzr akaniambia twende nikakutafutie pa kulala kesho nimtafute bosi wangu, bc nilimfata yule Kaka, tulipanda basi hadi kwake, tumefika kwake vzr tukaingia ndani alikuwa kapanga chumba na sebule,, akaniambia nenda kaoge mm naenda kukutafutia chakula,, akanionyesha choo kilipo nikavua nguo nikaenda kuoga nikavaa nguo zangu vzr huku nina wasiwasi sijui hatima yangu, Kaka akarudi kabeba chips mbili na soda akanipa nikala na yeye akaenda kuoga, akaniuliza jina langu nikamwambia naitwa Mamujee, basi akaniambia Sasa ingia chumbani ukalale, niliogopa nikasema hapana nitalala hapa hapa panatosha,, akaniambia Jee noo ingia chumbani ulale na mm nitalala hapa sebuleni,, bc nikanyanyuka japo kwa uoga nikaingia chumbani,, wakati nashusha neti nilale Kaka akagonga mlango, nikainuka kufungua huku natetemeka akaniomba achukue shuka, alivyotoka nikafunga mlango kwa ndani nikalala

Asbh palivyokucha nikaamka zangu nikatoka sebleni ila sikumkuta Kaka, nikaanza kufanya usafi ndani kuanzia chumbani hadi sebleni nikapanga kila kitu vzr, nikaoga nikachukua begi langu nikakaa kwenye sofa nimsubiri Kaka aje nimuage niondoke zangu,, bc Kaka alikuja akaniita Jee vp umeamka salama? Nikajibu ndio shikamoo Kaka, aliitika vzr, alibeba soda mbili na chapati, akaniambia Jee njoo tunywe chai, mm ni msera sina hata jiko,, tunaanza kula huku ananiuliza maswali kwetu ni Musoma sehemu gn nikawa namjibu, vp kuhusu wazazi wako nikamwambia mm ni yatima,, bc Kaka aliumia sana akaniambia Jee kaa hapa na mm nitakutafutia nauli urudi nyumbani maana hata ukirudi pale ubungo nina uhakika uwezi kumpata huyo bosi wako Zaid tu utafanyiwa vitu vibaya maana hii Dar es salaam sio kabisa, bc aliniuliza nauli ya kwenu sh ngapi nikamwambia akasema nisubiri apate mshahara,, tulikaa pale huku tukiangalia Tv ilikuwa sio siku ya kazi kaka hakwenda kazini,, mchana ilipofika alitoka alivyorudi akarudi kabeba jiko la gesi na sefuria tatu na hotpot mbili ila havikuwa vipya akaniambia amechukua kwa rafiki yake tuvitumie kwa muda hadi nikiondoka hatamrudishia maana sio vzr kula mgahawani,, bc niliinuka nikaviosha vzr akanielekeza magenge akanipa na hela nikaenda kununua vitu vya kupika

Nilinunua vitu vyangu nikarudi nikaanza kupika zangu, nakumbuka nilipika pilau nikaweka kwa hotpot ili tule hadi ucku,, Kaka alifurahi akaniambia Jee kumbe unajua kupika vzr iv?? Bc cku ikaisha kesho yake Kaka alikuwa anaenda kazini akamwita mpangaji mwenzie ni mdada, akamwambia huyu ni ndugu yangu anaitwa Mamujee naomba ushinde nae vzr,, Kaka akaondoka zake nikabaki na huyo jirani ,, ilivyofika jion nikaanza kupika chakula ili Kaka akija tule

Mjeeeeeee mnitie moyo kwa comments na like za kutosha

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 3 Bc nikaandaa zangu chakula ili Kaka akija tule, Kaka akarudi ila hakuwa na raha kabisa, akaniambia Jee hii Dunia ni ya ajabu sana, cjui watu wapoje? Wanapenda kuwaza Negative kwa kila jambo? Nikamuuliza kivip Kaka? Akaniambia watu wamempigia cm mpenzi wake kuwa yeye amereta mwanamke ndani na kesho anakuja kujua mbivu na mbichi,, akaniambia nisijali ataniombea kwa yule jirani ili nilale nae,, bc nikawa mpole nikakosa cha kusema, asbh Kaka aliongea na yule jirani akakubali mm kukaa kwake,, bc kama kawaida nikafanya usafi ndani nikatoa begi langu kupeleka kwa jirani ili akija mwenyewe asinikute mule, bc tulikaa na yule Dada jirani huku tukipiga story mbali mbali, mara yule mpenzi wa Kaka akaja alikuwa na funguo zake akaingia hadi ndani, mie nilikuwa kimya na yule Dada jirani aliniambia nisiende kule maana yule Dada anajisikia sana asije akanionyesha ovyo,, Kaka akarudi akaja huku kwa jirani akanipa hela ya kula yeye akaenda ndani kwake,, nilikaa pale kwa jirani wa Kaka hadi wiki iliisha sikuingia ndani kwa Kaka ila Kaka alikuwa ananipa hela ya matumizi kama kawaida,, nakumbuka siku moja Kaka arirudi kazini akaja huku kwa jirani, akaniuliza Jee unapajua Kariakoo?? Nikamwambia hapana maana niliona kama mtego ananipa,, akanipa hela elfu 50 akaniambia nenda ununue vitu vyako muhimu kesho kutwa nakuletea ticket ya kwenda nyumbani,, bc yule Dada jirani akaniambia kunisindikiza kkoo,, bc nirifurahi sana kwa wema wa Kaka ila nilipata mawazo sana kuwa narudi Musoma naenda kukaa kwa nani? Nikasema bc kama shangazi yangu wa damu kanifukuza bc acha nirudi nyumbani

Asbh tulijiandaa na Dada jirani kwenda kkoo, tulifika vzr nikanunua chupi na sidiria na losheni tu nikabakisha hela kidogo ili nikifika Musoma niuze hata maandazi, bc tukawa tunarudi njiani tukielekea stendi gafra Dada jirani akapigiwa cm na mpenzi wake, akaniambia Jee ww nenda nyumbani mm nitakuja baadae, akanielekeza vzr na funguo alipo iweka, bc akaondoka na mm nikaenda stendi, nimesimama zangu stendi gafra ikaja gari mbele yangu nashangaa anaanza kuniita, nikawa sijamuelewa ni nani? Niliosimama nao stendi wakaniambia Dada unaitwa ww,, nikaenda yule Baba akaanza kutabasamu akaniambia panda twende nikupeleke hapo utakesha usafiri ni shida,, bc na ushamba wangu hata bila kuuliza unanipeleka wp nikapanda gari, nikamuelekeza ninapo enda akasema sawa,, Mara tukafika sehemu akapaki gari akashuka akaingia ndani, akanifata akaniambia haya njoo mara moja,, alikuwa mbaba mrefu kama muarabu IV, nikashuka akanipeleka hadi chumbani ilikuwa hotel, tukaingia ndani akaenda kuchukua vinywaji akaleta,, alinipa soda ila yeye alikuwa anakunywa pombe, niliogopa nikamwambia naomba niondoke, akasema subiri nitakupeleka, akaniuliza una CM? Nikamwambia hapana, akaniambia yeye kesho anasafiri kwenda Dubai ila anataka niwe mpenzi wake maana ameona Nyota yangu ni kali sana na itamfaa sana kwenye biashara zake kwa hiyo tuwe wapenzi,,, sikumuelewa chochote nilikaa kimya tu, nilienda chooni kukojoa nikaacha soda yangu ikiwa wazi, nilivyorudi akanilazimisha ninywe soda yngu, bc nikainywa mara nikaanza kupata kizungu zungu, na sikujua kinacho endelea, nilikuja kushtuka nipo uchi wa mnyama na nguo zangu zimekunjwa vzr zipo kwenye meza,, nikanyanyuka nikaanza kupata maumivu sehemu ya haja kubwa, nikasogea mezani ili nivae nikakuta vipimo vya ukimwi viwili vimegandamizwa na karatasi yenye maandishi"NIMEKUPENDA SANA MTOTO MZURI, HAYO HAPO NI MAJIBU YA UKIMWI YANGU NA YAKO TUPO VZR KUANZIA SASA MM NA WW NI WAPENZI,, HAPO CHINI YA NGUO ZAKO NIMEKUWEKEA CM PAMOJA NA HELA MILIONI TATU ZITAKUSAIDIA HADI NIRUDI SAFARI,, NIMEKUWEKEA LAIN KWENYE CM PLEASE USIBADILISHE,,,," niliogopa sana nikajikagua nikakuta nimeingiliwa kinyume na maumbile nikavaa nikachukua zile hela kweli zilikuwa milion tatu na CM ya smartphone pamoja na chaji cm ilikuwa mpyaa

Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 2

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 2

Shangazi kanifukuza bila hata kuniulumia hakujali kuwa nimebakwa na mumewe nilitoka pale huku nachechemea cjui pakwenda, giza lilikuwa limeingia tyr,, nikatoka hadi stendi ya basi tulikuwa tunaishi bunju, nikapanda gari hadi ubungo ili nilale stendi asbh nipande gari za kwetu,, nilifika ubungo vzr huku nalia, nikiwa natembea kuelekea geti la kuingilia nikamsukuma Mama mmoja iv nilikuwa sijamuona nilimsukuma kwa bahati mbaya, yule Mama alinirudishia alinisukuma kwa nguvu hadi nikadondoka chini nikamwambia Mama mbona umenisukuma kiasi hiki?? Akaniambia tena ukome unavyotembea uwe unaangalia mbele sio macho chini kama mwizi bc nikajiinua ili niondoke zangu wakati nanyanyuka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mwarabu-huko-mi-sijazoea-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mwarabu-huko-mi-sijazoea
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  12 --13
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 12 --13
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  36 -- 37 SEASON TWO,
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 36 -- 37 SEASON TWO,
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  38
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 38
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  7-- 8
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 7-- 8
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  15 -- 16
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 15 -- 16
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  11
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 11
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  23 -- 24
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 23 -- 24
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 1
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 1
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  17 -- 18
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 17 -- 18
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  39
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 39
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  14
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 14
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  9 -- 10
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 9 -- 10
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  28 -- 29
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 28 -- 29
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  4
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 4
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  19 -- 20
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 19 -- 20
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  21--22
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 21--22
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  30 -- 31
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 30 -- 31
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  25 -- 26
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 25 -- 26
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  33
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 33
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  35
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 35
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  27
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 27
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  34
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 34
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  6
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

595
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

500
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

475
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

323
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

229
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

75

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest