Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MJESHI WANGU ___01  05   ......"mwajuuuu!! We mwajuu...! Mwajuma....." nilikuwa nikimsikia dada yangu ananiiita kwa Fujo kwelii ,sikutaka kuitika nilikuwa kimyaaa kwa sababu nilijua nilicho kifanya huko ndani, nilikuwa nmejibana kimyaa nyuma ya mti mkubwa
Gonga94 ยท Stories

MJESHI WANGU ___01 05 ......"mwajuuuu!! We mwajuu...! Mwajuma....." nilikuwa nikimsikia dada yangu ananiiita kwa Fujo kwelii ,sikutaka kuitika nilikuwa kimyaaa kwa sababu nilijua nilicho kifanya huko ndani, nilikuwa nmejibana kimyaa nyuma ya mti mkubwa

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ulio kuwa mbele kabisa na nyumba yetu
Nilimsikia mama nae anamjibu kwa hasiraa

"Bwana hayupo embu nitolee kelelee"
"Ila mama unamuona mwajuu!! Nguo zangu nmenunua mpya hata sijaziva yeye tayari amevaa,mamaaa "
"Mtajuana wenyewe bwana"
"Tutajuana wenyewe eeh sawa ngoja nimkute huko huko kwenye ma bar yake"

Nilisikia da Lucy sauti yake ilikuwa inatoka imejawa chuki na hasira juu yangu ,niliposikia anasema kunifata nilikimbia mpaka kwenye bar moja hivi IPO mbele ya nyumba yetu, nikaingia kujificha nyuma ya mlango wa kaunta maana da Lucy namjua vizur angenidhalilisha nguo zake nimechukua bila hata kumuomba,

Da Lucy alipita kunitafuta bar zote pale mtaani kwetu lakini hakuniona na hasira zake alirudi nyumbani na kuvaa nguo zingine ,akuu!! Mi nshavaa zangu upya sina habari naee nikatoka mule nikaenda zangu bar ingine ambayo ndo haswaa chimbo langu kubwaa, na nilivyokuwa nimependeza hiyo siku nilijua tu nitawakimbiza barmed wote siku hiyo nilikuwa nimewaka kwelii mitupio niliyokuwa nmemuibia Da Lucy ilikuwa ya kijanja hata sijui alinunua wapi na shingp lakini ilionekana ni very expensive wazungu wanasema

Siku hiyo nilibadili mpaka mtembeo nikawa natembea kwa madaha, Kuna shoga angu mmoja alipo niona kwa mbali tu alinikimbilia Kabla hata sijafika
"Hee mwajuu ,umepata Danga jipya nini sio kwa kuwaka hukooo"
"Hahah kawaida shoga angu, mi sio wa mchezo mchezo" nilimtambia hapo kwa mapana yotee ,alinitazama kwa macho ya kunitamani nami nikaongeza mbwembwe
"Vipi kwanza madanga yapo" nilimuuliza na Kuachana na mada zile za mwanzo
"Wee yakumwaga Leo na ulivyopendeza hivyoo unayaokotaje mbona hela yako inarudi ,umechelewa kweli kwanza afu unajua leo w/end pesa Ipo" tulianza kutembea taratibu kuingia bar moja kati ya zile zilizopo pale mtaani kwetu

Embu kwanza.... mimi naitwa mwajuma hamisi ni mtoto wa tatu na wa mwisho kuzaliwa kwetu, wa kwanza ni kaka yangu mkubwa ambae tayari anamji wake mbali kidogo na nyumbani kwetu, wa pili ni dada yangu Lucy huku mimi nikiwa ndo wa mwisho kabisa kuzaliwa ,baba yetu alifariki muda mrefu na jukumu la malezi ya familia alibeba kaka yetu

Mimi na da Lucy Tumeachana mwaka tu kuzaliwa yaani yeye ana miaka 20 huku mimi miaka yangu ni 18 hata shule pia tuliachana darasa moja wakati huu mimi nilikuwa kidato cha tatu afu yeye yupo kidato cha nne ...

Mimi na Lucy hatujawahi kuelewana kabisaaa ,Sisi kugombana kwetu ni kila siku, dada yangu ni mkali sanaaa mimi nae hatuwezani kabisaa

Mtaa wetu una bar nyingii sana ambao umekusanya wadada kutoka sehemu mbali mbali ,kwakuwa mi nimezaliwa hapo na nmekulia hapo wote walikuwa wananiita ni dada wa mtaa hiyo ndo ilikuwa nickname yangu ..

Kaka yangu alikuwa anampenda sana Da Lucy kwa kisingizio et yeye ni mwema mpole na anapenda sana Shule na hajawahi kujichanganya na watu wa mtaa huu hata siku moja ,ukweli mimi sikuwa napenda shule hata kidogo yaan swala la shule niliona kama ujinga tu hiyo ndo ilisababisha kaka yangu azidi kunichukia na kuonesha wazi wazi mapenzi yake kwa dada yangu,mama ndo mtu pekee alikuwa akinipenda na kunitetea mara kwa mara ,kaka alikuwa ananisema Sanaa kwa Tabia yangu ya kuzurula hivyo wakati mwingine mpaka usiku na hiyo ilianza gafla baada tu ya mimi kuanzia form-one ndio nilijichanganya rasmi na watu wa huu mtaa nikiwa 4m2 niliianza kunywa pombe na kudanga yote hayo nilijifunza kwa shoga angu Tatu Tulikuwa tukisoma nae shule ya msingi
Tatu yeye alifeli darasa la Saba, alikuwa akipenda mnoo kwenda clabu taratibu nami nilizoea kwenda club na huo ndo mwanzo wa uchachu wangu nilikuwa naenda tu shule kuogopa kaka atanipiga basi ila nikiwa shule akili yangu yote inawaza bar na club niwahi kutoka shule nikajiachie na Masela mtaani nilianza kwendaa na simu shule ili niweze kuwasiliana na madanga vichwa visinipite , kaka angu alikuwa akinichukia wazi wazi lakini sijali hilo kwa sababu mama yangu alikuwa akinipenda wazi wazi..

Nilikuwa nikiwakimbiza maraya wote wa hapo mtaan kutokana na umbo langu matata uzuri wangu ulikuwa tishio mtaani , nikitembea natikisa tako hiyo ilikuwa kawaida yangu kama una mumeo basi utamziba macho Nilijizolea machawa kibao tena watu wazima huku na maaadui nikiwa nao kibao, sikuwa naogopa mtu Bali watu walikuwa wakiniogopa mnoo ..
*****
Basii nilienda na shoga angu mpaka kaunta kwa ajili ya kutega madanga , nikaagiza savanna yangu taratibu nikaanza kujishushia na shoga angu tatu tukipiga Story zetu na kujichekesha kama kote ,

Hazikupita hata dakika 5 muhudumu alikuja na kutupatia savanna zingine huku akinambia ni ofa yangu kutoka kwa limbaba moja lilikuwa likiniangalia muda wote tangu niingie pale
"Mwaju unaitwa na yule mbaba pale" muhudumu alikuja kuniita huku akinioneshea huyo baba aliekuwa ameka kwenye kiti na baadhi ya wakaka, nilipo mtazama alinikonyeza basi bila wasi wasi nilijiiinua Na kumuacha tatu, niliketi pembeni ya huyo mtu kuna mkaka alikuwa pembeni ananitazama kweli kweli wala sikujali mi niliendelea kunywa huku nikibebishana na danga langu

Hazikupita dakika nyingi yule kaka aliniomba nimuite shoga angu Tujumuike wote pale nilimuita tatu kwahiyo wote tukawa tumepata Madaga , tulikunywa Sanaa mpaka ikifikaa jioni , yule mzee ambae ndie danga langu akatuambia Tuhame eneo, Tukaondoka mimi nikiwa na yule mzee tatu alikuwa na mkaka tu na kuna wakaka wawili wenyewe hawakuwa na wanawake hivyo Tulikuwa wanawake wawili tu , tulienda mpaka club huko tulikunywa kulaa na kucheza mziki mpaka sa 6 tukaondoka waalituambiaa twende tukalale nyumbani kwao na wote walikuwa wakiishi sehemu mojaa,Muda wote yule mwanaume aliekuwa na tatu alikuwa akiniangalia sana mara moja moja tukikutana macho alikuwa akinikonyeza,alikuwa ni mdogo mdogo tu afu handsome balaa ukweli nilimpenda mnoo basi tu kwa vile nilikuwa na yule mzee ndie alionekana anapesa kuliko wotee maana kila sehemu na kila kitu alikuwa akilipia yeye

Tulifika kwao nyumba ilikuwa mbali mnoo hapo Tulikuwa tayari tumeongezeka yaan wanawake wa nne na wanaume wanne , tulifika jumba lilikuwa kubwa kweli ghorofa moja, kila mtu alikuwa ameketi kwenye makochi pale sebleni na mtu wake, kubebishana kulikuwa kama kote,, nakumbuka yule mwanaume wa tatu alikua akinitazama bado hata mimi nilivutiwa kumtazama alidondosha kijikaratas chini akanipa ishara kuwa niokote , Bila wasi wasi nilipoona kila mtu yupo bize huku wengine uvumilivu ukiwashida wanaishia kukimbilia vyumbani ,tatu nae aliinuka na mwanaume wake wakaelekea chumbani ndipo nikajivuta mpaka lile eneo nilijifanya nimeangusha simu yangu wakati naokota niliokota pamoja na ile karatasi nikatulia kimyaaa
Watu wote walituacha pale sebleni mimi na yule mzee baadhi ya vyumba nilikuwa nikisikia kelele za mahaba
"Njoo unipe hapa" aliongea huku akivua nguo zake , nilishtuka
"Hapa hapa sebleni " nilimuuliza huku nmetoa macho kama vile sikuelewa
"Nyumna yangu hii bwanaa hakuna wa kunipangia embu njoo" alikuwa tayari kashatoa suruali lake na kubaki na pensi
"Ngoja basi nakujoa naja" nilimwambia huku nambusu na kuinuka nilikuwa sijiamin yaan nifanye mapenzi hapo watu wakitoka je jaman mmh niliingia Chooni na kutoa kile kikaratasi kilipo kujuka kilikuwa na ujumbe alafu kuna vitu vyeupe kwa juu kama unga hivii sikuelewa ni nini ndipo nilipata wazo kwanini nisisome?

(Mwekee hiyo mzee wako alale hana maajabu acha Mlango wazi baada ya Nusu saa nitakuja ) nilikunja kile kikaratasi haraka haraka ule unga nikauweka mkononi bila hata kujua ni unga wa nini

Itaendelea......



MJESHI WANGU ___02



Niliweka ule unga kwenye mkono wangu nikakunja ile karatasi na kuiweka kwenye chupi yangu yaan nilivua nguo zoteee na kubaki kama alivyozaliwa , nikatoka kwa madaha nikiwa mtupu, macho yake alikuwa yameganda eneo la kifua changu kwa tamaa nami nikajivuta mpaka alipokuwa ameketi nikampa mdomo wangu huku kwa umakini kweli niliweka ule unga kwenye grass yake iliyokuwa na kinywaji pembeni
"Kunywa basi" nilimwambia huku nainua ile grass na kumpatia aendelee
Alipokea akainywa kwa mkupuo mimi nikiwa namchezea tupu zake zilizokuwa zimefichwa kabisa na tumbo lake
Hazikupita hata Nusu saa nilisikia kimyaaa kumtazama kalala usingizi wa nguvu,nilishusha pumzi nikasimama haraka kwenda chooni cha kwanza nilichukua ile karatasi na kuweka kwenye pochi wakati navaaa nilihisi kushikwa kiuno , nikageuka haraka sikuwa nawazo hilo

"pole nmekushtua eeh" alikuwa ni yule yule kaka alienipa ile karatasi , nilijichekesha tu huku ninamtizama kwa aibu , hakuongeza neno lingine aliinamia midomo yangu na kuanza kunipa denda tulibadilishana mate mule huku akipapasa mwili wangu apendavyo mwisho tulimalizana mule mule chooni , nikashangaa ananivuta mkono mpaka chumbani kwa yule mzee yaan tulimpita akiwa kwenye kochi Kalala kama furushi, tukaingia chumbani kwake
Tulizagamuana vya fasta fasta bila kuongea kitu mpaka alipo lidhika ndio akaanza kunisalmia Na kujitambulisha kwangu
" mimi naitwa Ithan najua unaitwa mwajuma, unajua mwaju mimi nlikuwa wa kwanza kukuona nikakupenda Tangu pale ulipo ingia tu sema boss ndo akasema anakutaka wewe unajua tena huwezi bishana na mkuu ila roho ilikuwa inaniuma kishenzi yaan" alikuwa anaongea huku akinitazama usoni mimi nilikuwa nacheka cheka tu yaan
"Unajua we mwaju ni mzuri mnoo ,, nmekupenda mnooo kwa jinsi tu uliyo"'
"Asante"
"Achana na huyo mzee Amos mwaju mimi nitakupa maisha ,huyo mzee atakupa tu ukimwi we bado mdogo ujuee"
"Aaah we si shemeji yangu??"

"Aaah achana na yule bwana mi nakupenda wewe , yule mzee alilazimisha tu nimchukue baada ya kukuelewa wewe lakini kiukweli mi rafiki yako hata simuelewi kwanza amemyata kweli kweli ah we mwaju unatakiwa uwe ndani sio kuhangika kwenye ma bar hovyo"

"Mmh"

"Mwaju nikubalie naahidi nitakutunza mnooo"

Nilikosa hata cha kumjibu kweli ni mzuri mno anakisura cha kuuza nae ndo mana tatu alijishaua mmh

Palianza kukucha bado nipo tu kifuani tunapiga Story, akanambia
"Watu wanaamka sasa hivi twende tukamtoe yule mzee pale aje ndani kipenzi changu afu nipe kabisa namba yako nitakucheck mchana tukale bata vizuri " aliongea huku anatizama kwa macho ya uchu kweli kweli ,wakati natembea kutoka alikuwa nyuma yangu ananipiga piga makalio yangu, nami ndo nilizidi kumtikisia .

Tukamburuza yule mzee mpaka chumbani uzuri chumba chake kilikuwa pale pale chini, tukafika chumbani akamuweka kitandani na kuniambia nilale nikiwa nmemkumbatia kama vile tumetumianaa mi nkakubaali akawa anatoka nikashangaa huyu kaka vipi??

"Hee we kaka hela yangu??" Nilijikuta nimeropoka yaan anatokaje bila kunipa pesa yangu jamani mmh na wakat kanitumia usiku kucha

"Aaaah mwaju kwani boss si atakupa akiamka hapo"

"Haa!!!!ya boss ya boss yako ni yako nipe pesa yanguu"

"Sikia mwaju nikwambie mi sijakutamani mpaka nikununue mwaju noo!!! Mi nmekupenda kweli ujue najitaji kukuoa nikutoe kwenye haya maisha Okay mamy"

Wakati huu alikuwa amenisogelea na kunikumbati,
"Khaa yaan huyu kaka ananionaaje mimi kwa mfano hehe" nilijiwazia moyoni huku nikianza kumuona kama kituko tena mbele yangu

"Sikia ithaan nipe pesa yangu" nilimsukuma kumtoa kifuani kwangu huku sura yangu ikiwa tayari imebadilika
"Mmmh usije bure kunipiga hayaaa chukua hii basii,, kwahiyo nikutafute sa ngap"alipatia pesa nikaweka kwenye Pochi yangu
"Muda wowote" nilimjibu huku navaa zangu nguo, akatoka bila kusema neno
"Mfyuuu liende hukoo. ..." nilimtazamaa alivyoishia nikasonya , wakati huo huo simu yangu iliita tatu ndo alikuwa anapiga, nilishtuka moyo ukienda mbio je kama kajua nimelala na bwana ake mmh , nikapotekaa nikiwa naogopa
"We mwaju bado tu umelala jaman mi natoka zangu"
Tatu Alikuwa kachangamka kweli nikabaki nawaza niondoke bila hata kupewa pesa yangu na huyu mzee jaman Mmmh hapana nitamsubir aamke anipe changu mwenzangu
"We nenda tu mi bado nipo shogaa angu "

"Hee unataka na kufanya usafi shoga"

"Bwanaa tutakutana huko huko nitakuadithia "

"Poa poa" tatu alikaata simu mi nikajikalia zangu juu ya kochi huku namtazama huyu mzee atamka sa ngapi

Ilipita nusu saa nikiwa bize nacheza game kwa simu yangu nilisikia mlango unagongwa nikatoka kwenda kufungua
"Oooh vipi mtoto mzuri" alikuwa mkaka mwingine ambae ni mmoja kati ya wale tulio Kuwa nao Jana yake , alikuwa anasalimia kwa tabasam huku macho yake yapo kwenye kifua changu
"Poa "

"Mzee bado kalala nina shida nae"

"Ndio bado hajaaamka"

"Sikia binti naomba shika hii namba nicheck utakapo toka tu hapa nmekuelewa sana nataka tukajiachie kama vijana eeeh nitakulipa pesa nyingi" alinisogelea akawa anaongea kwa sauti ya chini huku akishika shika chuchu zangu ,nilichukua namba nakurudi ndani fasta nishapata vichwa Leo vya kumwagaa yaan

Wakat narudi ndani nilimkuta yule mzee ndio anaaamka nayeye
"Nipe pesa yangu mi nitoke bwana" nilimwambia huku nimekunja Uso wangu

"Ooh sorry naomba nimelala sana" aliinuka akiwa kashika kichwa chake akavuta droh na kutoa pesa akanipa , Alinipa pesa nyingi kuliko zile alinipa ithani
"Vipi naweza kupata kampani yako usiku wa Leo "
"Utanipigia mi nipo kwa ajili yako".

Nilitoka nachekelea kweli kweli yaan kati ya watu milioni mimi ni wa kwanza mwenye bahati kuliko mdada yeyote yule

Itaendelea......

MJESHI WANGU 03

Nilitoka nikiwa nachekelea yaan siku
hiyo nilikuwa na maokoto kama yotee
hee kachukua boda mpaka mjini,
nikaingia kununua viatu na nguo mpya
yaan mi pesa zangu nilikuwa nakimbilia
viwalo tu vya kutambia mtaani
Baaada ya kununua nikaona ngoja tu
nitembee zangu kwa mguu kwenda
nyumbani taratibu nilitembea huku nina
chati na shoga angu tatu akinihadithia
tukio la Jana na danga lake
Nilikuwa nakaribia nyumbani kuna gari
ilipita karibu yangu yaan nimekuja
kushtuka nimelowa maji mauchafu
baada ya ile gari kuyakanyaga maji
yaliyokuwa yametuama kwenye dimbwi
baada ya mvua kukata
"Khaaaa mungu wangu mwili ulisha
nguvu maana nguo yenyewe ya Dal
nilimuibia Jana afu imechafuliwa na
tope daah nilimmaindi huyo mtuWe
"Khaaaa mungu wangu mwili uliisha
nguvu maana nguo yenyewe ya Da Lucy
nilimuibia Jana afu imechafuliwa na
tope daah nilimmaindi huyo mtu wa
kwenye gari, nlikuwa nalitazama lile
gari natamani hata kurusha mawe aisee
Gari lisimama mbele kidogo akashuka
mkaka tu hivi yaan nilikuwa na hasira
"Soy dada naomba unisamehe
tafadhar nisamehe dada' aliongea huku
anasogea nilipo watu wote barabarani
walikuwa wakituangalia sie tu
"We mwehu nini sa ndo unaendeshaje
hivyo gari et Mfyuuu embu nipishe
hapa" nilimpita nikiwa na hasira kweli
yaan alinichefua mjinga tu
"Naomba uje ubadili humu kwenye gari
mdogo wangu kuna nguo hii nilikuwa
nimetoka kuinunua" alikuwa ananifata
mimi hata
nyuma huku anaongea , mimi hata
sikumjali nilikuwa nina hasira zangu
tayari nikaita boda na kuondoka zangu
kwenda om japo palikuwa karibu
sikutaka kutembea nikiwa hivyo
tenaaa..
Nilifika nyumbani nje ya geti wakati
nampa Boda hela yake ndo nikaona ile
karatasi ambayo nilipewa na ithaan,
nilichukua na kuiweka mdomoni
nikaitafuna ili kuuwa ushahidi tatu asije
akaona mwenzangu,
Nafungua tu geti kuingia ndani
napokelewa na Da Lucy
"Enheeee nilikuwa nakusubir we
mjinga' Nilirudi nyuma mana da Lucy
namjua huyo
"Da Lucy nisamehe'
"Heeeee embu check nguo yangu ulivyo
ifanya mwajuma, unanitafuta Nini mimi
mwajuuuu aaaah' Da Lucy aliangea kwa
sauti ya kutia huruma kweli, nikiwa
najitetea kwa da Lucy nilimuona kaka
anatoka Ndani moyo wangu ulifanya
paaaal! Kaka vile hapendi ujinga
nillanza kuogopa kwasababu sikulala
nyumbani na kaka hana utani kabisa
"We mjinga ulikuwa wapi usiku wote,
njoo hapa " kaka aliniita huku yeye
anakuja nilipo, ilibidi sasa niachane na
da Lucy nianze kujitetea kwa kaka
"Kaka nisamehe hakiamungu sirudi
tenaaa
"Hurudii tena ninii??? Mimi huyu mtoto
kashanishida jamanii tyuuu"
Mama nae alitoka ndani huku
akipangusa mikono yake kama
ananawa mikono
Nilipo mtazama mama nilishangaa
naona watu wawill wawili wakija
upande wangu
Lucy embu leta ile fimbo' kaka
alimwambia da Lucy 'mmh "nillguna
yaan sikushangaa da Lucy kutumwa
fimbo,kilichonishangaza ni ile sauti ya
kaka nilisikia kama inatokea mbalii afu
inajirudia rudia nikaanza kuona watu
wawili wawili mara kundi yaan kizungu
Zungu mama alikuwa anakuja huku
anaongea lakini nilikuwa sielewi
anaongea naskia masauti mengi mengi
yakijirudia
Mwisho nkawa naona tu midomo
inacheza lakini sisiki lolote kwa mbali
nilimuona da Lucy anakujaa kashika
sikia kizungy
Zzunguuu mnooo mbele niliona giza
nikajikuta naangulka lalkini chini silkufilka
nilihisi kuna mtu amenidalca laldni
sikujua ni nani hapo ndo lililkuwa tuldo la
mwisho kabisa kulihiei silkujua tena nini
kiliendelea.....
Nilikuja kuamlka ilikuwn joni lkablsa
pembeni yangu alilkuwa mama analia
"Mama kuna nini??. 'nilimuuliza huku
nina inuka, mama alishtuka alipo
nitazama wala halkunijibu alianza
kumuita kaka niligeuka upande
aliokuwa anatizama mama
Alikuwepo kaka na mwanaume tu
mwingine simjui
"Mwaju mwanangu mwajuuu unataka
kwel kuniua mimi mwajuuu aaaah
mama alikuwa analia huku ananilaumu
mi hata sikua namuelewa nikabaki
kushangaa namuuwa kwa lipij mani
"Mwajuma yaan umeona pombe
haitoshi umeanza kutumia na madawa
hivi we mtoto una laana ya wapi mbwa
wewe mjinga mikubwe" kaka allanza
Iuntfokea kwa haora
Sasa mimi nlkabald nejiullza madawa
yepi tena yoan mimi nitumle madawa ya
lulevya mlmi huyu mmh hapana
"Kalka mi ijatumia mbona hata
kuyajua alyeu nillanza kujitetea baada
ya kuona anazidi kupandwa hasira
Utasacha lni mwajuuu 7m Utaacha
linili au hadi umuuwe mama eeeh
"Kakaaal!!"
"Ungejua kama mimi ni kaka yako si
ungenisikiliza hata kidogo mjinga
wewe umeona hai... "
Yule mwanaume alikuwa na kaka
alimzuia kuendelea kunifokea
"Basili Dev tulia lwanza hall yake bado
haijakaa sawa, mpeni supu"
Kaka alimwambia Lucy alete supu
nikaletewa
Labda tumpeleke SOBA kabla
hayajamwathili san' nilimsikia aldserma
hivyo nilishtuka
"Kaka mimi situmii madawaa
hakiamungull,mamaa nieleweni"
Wote walinitazama tu kwa Uso wa
huruma kweli kweli
Yule kaka alinisogela akanitazama
usoni alikuwa kauzu kweli kweli
"Sikia mwaju unajua kwanini
umepoteza fahamu?7 Aliniuliza akiwa
ananitaazama usoni,ndipo
nikakumbuka jinsi nilivyokuwa
najisikiaa ule muda pale sikujua kwanini
imekuwa vile
"Hapana" nilimjubu huku macho yangu
yakitizama chini
"Mwli wako haujazoea aina hiyo ya
madawa sijui ni mara ya kwanza au
zamani ulikuwa ukitumia kidogo kidogo
na Leo umezidisha sijajua , ngoja
nijitambulishe kwako kwanza"
Alisita kidogo huku akiendelea
kunitazama alafu akaendelea
"Mi naitwa Yusuf ni rafiki yake kaka ako
lakini pia ni doctor , mimi ndie nilie
kupima namimi ndie niliegundua kuwa
umetumia aina fulani za Madawa
kwenye mwili wako tena kupitia mdomo
wako, unajua kuwa hii ni kesi kubwa
mnoo endapo police watajua eeh, sasa
kuwa muwazi dawa hizo umetoa
wapii?? |li tuweze kukusaidia we bado
mdogo sanaa, dawa hizo umetumia
muda mfupi sana kabla ya kupoteza
fahamu na hata tulipotazama pochi
yako kuna mabakl ya vumbl yalyobaki
Nilishusha pumzi huku nina tafakari
maneno yake kama kuna upepo tu wa
gafla ulinipltia nikakumhuka kweli usiku
ithaan allnipa unga unga mweupe
nimuweke0e yule mzee Neam
nillkumbulca ile lkarataei lyokuwa na
nlldwa ule unga nlitafuta nilkwa getini
kulingla ndenl, yee kumbu kumbu zangu
zilkua vizuri leldn bedo sllkuwa
nimeeminl, nilkwa bado najaribu kuvuta
kumbulumbu zangu kurudisha ma file
yakae sawa yule doctor alinisemesha
"Basi kama huwezi kuongea na Sisi
wacha niite police " alongea huku
anatoa simu yake Heee nillsukuma ile
simu mpaka ikaaanguka chini
"Hapana jamani hapanaaa nilipewa tu
namtu nimuwekee mtu sijawahi hata
kuonal" Nilijikuta naropoka kwa
kujitetea kazi ilikuwa ni nani na kwanini
nimuwekee 7 Nilishindwa kujibu hayo
maswali kabisa yaani et niwaambie ni
danga langu Mmmh nillikuwa
"Hayaaa wewe ulipewa umuwekee mtu
nakwanini utumie wewe" mama
aliniuliza akiwa na hasira kwelil
"Mama hakiamungu mimi situmii hayo
mama hata slyajul kabisa kuna mtu
Jana club alinipa akanambia
nimuwekee tatu kwenye kinywaji mi
sikumuwekea nillamwaga chini le
karatasi ilikuwa na ujumbe nikatunza ili
Nije kumpa tatu asome sa Leo nikaona
utakuwa uchonganishi nikalitafuna hilo
karatasi nikiwa hapo getini lakini kaka
nilikuwa sijui kabisa kama ni madawa
nilijitetea na kila mtu aliniamini kabisa
kwa huo uwongo wenye kiukweli cha
mbali
"Mwajuma mwanangu umeona hiyo
dunia huko nje ilivyo haribika ?? Leo
wewe umeambiwa umuwekee shoga
ako, kesho shoga ako ataambiwa
akuwekee wewe mmh akikuwekea?
Nini lengo la huyo.mtu mpaka
madawa unajua kazi yake?? Umejiuliza
hayo madawa ameyapata vipi?77 Embu
tulia bint yangu hizo starehe utafanya tu
muda ukifikaa mama anguuu!! Mama
alikuwa anaongea kwa uchungu huku
machozi yanamtoka mwa huruma,
nilijskia vibaya nikamuomba mama
yangu msamaha huku namuahidi
sintarudia tenaa
Itaendelea.....

MJESHI WANGU 04

Nilimuomba mama angu samahani
sintarudia tenaa Jala alanipa onyo kali
aldija lauelia au luniona nmetolka
nyumbani nimeende bar au club
atanivunjaa vunja miguu na launipelela
police lauwa natumia madawa ya
kulevya.
Nilitulia zangu nyumbani mpalca w/end
ilkaisha alka aliluwepo tu nyumbani
hata lkusimama tu getini nililkuwa
naogopa kalka atanipiga, ikafikaj3 siku
ya shule y yaan naogopa hata kuuliza
simu yangu iko wapi na kila nikimuuliza
da Lucy anambia niende kwa kaka yeye
sio mtunza taarifa zangu, daah
nilikausha tu lakini kiukweli kabisa
nilipungua uzito kwa siku mbili tu nilihisi
kama nipo gelezani kabisa tena geleza
lenye giza mnoo nikitoka shule nakut-
makazi kibao nyumbani na lazima
niyafanye tena kwa kusimamiwa na
kaka mmh nilikuwa namuona kama li
mkosi hapo na hata sikujua kwanini
yupo tu kwetu hata handoli, alikuwa
ananikera mimi basi tu ..
Siku moja nilikuwa natoka zangu shule
mtaa kama wa pili kutoka nyumbani
nilikutana na tatu mmh zimepita tayari
siku nne tangu mara ya mwisho
kuonana
"Hehhehe nacheka kama mazuri shoga
anguu sio kwa kukumisi hukuuu jaman
mwajuuu afu umepunguaa' tatu
alinipokea kwa bashasha kweliti
Weee achaaa shogu, nimewamisi
jaman
"Kila siku nasimama nje ya mtu wenu
labda nitakuona wapi!! Namuuliza
Lucy mbona mwaju kapotea gafla dada
ako nae vile anamajibu ya karaha yulee
mmmh ,simu Kila nikipiga hupatikani
jamani madanga yako yanavyo sumbua
huku Mnmh hatari naogopa hata kuja
kukuulizia kwenu'
"We tatu Bora tu hujaja kaka dev
siruhusiwi hata kupitia geti la huku
mbele napita kule nyuma si unamjua
dev Alivyo atanikata kichwa'
"Huyu kaka ako minga kweli sa
anakuchunga kowani we mtoto mdogo
au bikra shoga anguu
"Hahah bilra bongoo
Labda tajuaje hahah, shoga unepitwa
huku yaan medanga kama yotee Afu
kuna wanajeshi wamekuja Kozi Deda
hee yaan siku nzima we unabedili
vyumba tu..
"Weee tatu wewe
"Eeeh shauri yakoo hela za kuokota kina
ithaan sasa walivyonigandaaa afu yule
mzee wako kashapata demu jipya la
club,enheeeee nimekumbukaa bwana
ako sasaaa..."
"Bwana angu gani"
"Si huyo unaejifanya unampenda kuliko
wote unamuona kama wa dhahabu
"Aly
"Huyo huyo tangu Jeana shoga angu
yupo tu anajifungla gest na mariam
upo hata kazi hafanyi ubuyu ubuyu
ulikuwa unaniwasha lowel
Maneno ya tatu yallzidi lkunichanganya
kabisa niljikuta nina chulua hata kuwa
mtoto wa mama yangu nilitamani nami
nngezaliwa kama alivyozaliwa tatu
nikawa huru na maisha yangu
niliachana na tatu nikatudi nyumbani
nikiwa na hasira mnoo haswa nikifikiria
kuhusu Ally ndo nilizidi kupaniki moyoni
Naapa nikimshika huyo Miriam
atanieleza vizri kama alikosa sehemu ya
kudangia mpka kwenda kujchomeka
kwa mpenzi wangu.
Ally na mimi ni wapenzi sasa karibu nl
mwaka mmoja na milezi kadhaa, ally ni
mwanaume ninaempenda kulko
wanaume yeyote hapa dunianl,
mahusiano yetu Siel ni ya ajabu Sana
karibu kila siku nina mfumania na
maraya wa pale bar na hajawahi kuacha
huwa ananipiga mnoo nusu ya kunluwa
lakini mimi ninampenda sanaaa ally
wangu
Nilifika nyumbani nikiwa na mawazo
mengi kweliil,da Lucy nilimkuta tayar
amefika lakini wala hajakosha vyombo
yaan nafika tu kaka ananiambia
natakiwa kuosha vyombo duh nilimkata
hilo jicho la hasira kwelil yaan nilisika
hasira mpaka nikatamani afe bwanaaa
Nilitoa mavyombo nikiwa na hasira
kweli nayatupia tu chini kulikuwa na
maji machafu nikayainua ili nikamwage
nje nilifungua li geti nikayamwaga yale
maji kwa kuyarusha nje bila hata
kutazama gafla nilisikia mtu
akilalamika
"Haaaaa! Haaa !!ldaaa!!"
"Mungu wangul!samahani kaka anguu
samahani naomba unisamehe"
nilimuhahi bila hata kumtazama nikawa
minamfuta maji kwa mikono yangu
"Hivi we dada unaakili huoni kama
unazidi kunipaka uchafur Alifoka kwa
sauti ndipo nikayainua macho yangu
kumtazama kumbe nae alikuwa
ananitazama yaan macho yetu
yalikutana
"Heee!!!"
"Weweeee!!!
Tuljikuta wote tumeongea kwa pamoja,
japo kuwa sura yake niliwahi kumuona
mara moja lakini nilimjua vizuri huyu
kaka kwanza nilijikuta nasogea mbali
nae kidogo alafu ule woga nilikuwa nao
wote uliisha kabisa
Huyu kaka aliwahi kunimwagia tope
akiwa na gari vake siku 72 DVuma na
akiwa na gari yake siku za nyuma na
tena yeye ndo nillmuona sababu ya
mimi kufungiwa ndani kama asinge
chafua nguo ya Da Lucy basi nisinge
panda boda boda na nisinge toa hela
kwenye pochi kumlipa boda na baada
ya kutoa ndio nillona ile karatasi na
kuitafuna kwahiyo nilliona huyu ndio
mkosi wangu mie niljikuta tu nina
Sonya
yanai we dada huna akili kweli kwahiyo
huwezi hata kusema samahani et'
Kabla sijamjibu alitoka kaka baada ya
kuona nmechelewa kurudi ndani
"Kuna nini we mwaju"
Nilimtazama tu kaka angejua hata
asingekuwa analitaja jina langu
alivyoona mimi simjibu alimtazama yule
kaka na kumuuliza
Huyu mwanamke mjinga ni nani yako
hana adabu mi napita kanimwagia maji
basi hata aombe samahani tu anasonya
sivjinga huoo"
Kala alinigeukia mimi na luanza
ounllokea bila hata lounipa nafesi
lezon u louninildlza upende wangu
iwemweja utalwa lIini na
heshima wowooe Jowehlyo wewe
Umechindana labiaa e
Nllona huyu nae lal enataka tu
lanichangya nlkainga ndani bila hata
lajbu nlamucha lowe yuma niloilda
namuomba samahani yule kala
endeleoa zangu luosha vyombo lkaka
divyolauja diniserma tenana mihata
llumjibu nilluwa tu kimyaaa mawwazo
yanafutuka bva Aly huku nina mfikilila
ithaan alisema hampendi tatu baada ya
kuniharibia mimi amemganda tatu sasa
nililkuwa nasonya tu peke yangu kila
muda.
Nilikaa chumbani kwangu roho ikiwa
juu juu tena hata simu sina , nngeku
na simu nngempigia Ally wangu jam.
maaana namba yake mimi ninayo
Kichwaninikapata wazo kwanini
nisiende kwa mama nikajpendekeze
afu nichukue simu yake mama
ananipenda mno lazima tu atanipa
ngoja nimfate kwa siri
Nilinuka nikamuangaza kaka sikumona
wala da Lucy huyo nikanyoosha
kwenda chumbani kwa mama nikiwa
mlangoni nilisikia maongezi yaliyofanya
nijibane mlangoni alikuwa mama na
kaka sikujua wameanzia wapi
.mi nimekuelewa mama lakini
wahenga walisema asiefunzwa na
mamae atafunzwa na ulimwengu kama
Sisi tutakuwa tumemshindwa kabisa
tutamuaachia mungu mwajuma bado
mdogo sana tusimkatie tamaaa'
nilisikia vizuri maneno ya kaka mmmh
nilijigunia tu moyoni
Nikamsikia mama anamjibu
"Sawa nimekuelewa lakini kidogo we
ulivyowepo hapa kabadilika si unaona
yaan kawa wa maan"
"Ndo hivyo mama safari yenyew hii ya
gafla usimwambie tu kama nimesafiri,
ingekuwa hii nyumba sio yetu
tungehama huu mtaa ndo umesabisha
mbona mwaju alikuwa ni bint mzuri
Sanaa"
Tumkabidhi tu mungu dev mi naona
siwezi tenaaa'
"Wacha basi mi niwahi mama"
Itaendelea...

MJESHI WANGU 05

Sikuelewa chochote walichooongea
lalkini swala la kaka lkuondoka mungu
wangu niljikuta napata nguvu,furaha
nilyokuwa nayo hakuna mtu anaeweza
kufikiria jamaninilihisi kaka anatoka
nakikimbia mpaka chumbani kwangu
kimyaa yaan humo nilikuwa nilkizunguka
chumba chote nijitupe litandani niruke
ruke ndaani nikawa nashangila uhuru
wangu, nilibaki nikihesabu tu dakika
nilisikia geti la nyuma linafunguliwa
nikasema yesss hatimae paka wangu
kajjondokea ,nilivaa fasta fasta nguo
yangu mpya ambayo nilinunua ile siku
nikajipiga na unyu unyu wangu fresh,
nikasikilizia kama Dakika 10 tu,nikaona
mazingira yapo kimya sana ,nikajiwazia
sasa nitoke hapa hakuna wa kunizingua
sio mamaa walaa da Lucy nikapiga
hatua zangu kwa kujiachia mwenyewe
kufata mlango lakini kila nikiuvuta
mlango haufunguki mhh nikaguna Kuna
nini?
Nilikuwa navuta taratibu nilianza
kuuvuta kwa nguvu huku nina muita
mama lakini ilikuwa kimya na
nilichogundua ule mlango ulikuwa
umefungwa kwa nje, khaal! Nilihisi
kuchanganyikiwa nikaanza kumuita
dada Lucy nilita nae kimyaaa nilianza
sasa kuwaitwa kwa kuchanganya kwa
sauti huku nikilipiga li mlango kwa
nguvuuu hasira zilikuwa zimenipanda
Natamani hata kuvunja mlango
"Mamaaaaaaal!mamaaa we Lucy
aaaaah!!! We mamaaa da Lucy mxeeuw
" nilikuwa napiga mateke na mangumi
mladi hasira tu
"Heeee we mpumbavu wewe usije
kutuvunjia mlango haya unataka
kwenda wapi" nilisikia sauti ya mama
akija upande wangu huku anafoka
"Jamani mama kwahiyo hata sebleni
sitakiwi kukaa mbona mnanifanyia
hivyo mamaa! Au mi sio mwanao mama
niambie basii niambie kama mi sio
mtoto wako basi niuwe tu aaah'
"Mjinga mkubwa wewe fedhuri ningejua
nngekuuwaa tangu upo tumboni,mi
tumbo langu nila kubeba fedhuri
maraya kama wewe mjinga wewee, na
utakaa huko huko ndani, unafikiri mimi
natamani uishi wewe mjinga Ufeeee!!"
Mama alifoka na kuongea maneno ya
ajabu hata nikawa nashangaa mbona
gafla tenaa kunipa laana
"Najua hamnipendi tu mama najua
hamnipendiisasa mimi nimefanya nini
etiii aah Bora tu nijiuwe niwapunguzie
mizigo"
"We Lucy embu mletee kisu Huyu
mshenzi ajluwe! Unafikiri sijakuona
ulikuwa unatusikiliza tullyokuwa
tunaongea na Dev haya niambie hiyo
perfume ya nini baada tu ya Dev kutoka,
Sasa utakaa humo humo ndani mjinga
wewe mxeeuw na ukitaka kujiua jiue
yaaan jiue nipunguze moto wa duniani"
Duuuh nilichokaaa yaan nilikaa chini
nikiwa hoii hamu sina tenaa nilisikia tu
hatua za mama akiondoka huku
akiacha maagizo kwa Da Lucy nisile
mpaka kesho wala kufunguliwa mlango,
Uuuhwilii nilishika kichwa yaan daaah
nilimlaani mama kwa viapo vyotee
Nilitulia tu kitandani mpaka usiku
ulingia njaa kweli kweli yaan ukisia
mtu kula jeuli yake ndo mimi Leo
nilitamani kuila jeuli yangu lakini nayo
haikuwa na mimi ilinikimbia mbali
kabisa yaan nilijlkuta nejuta kukurupuka
Bora hata ningewaigizia tu daah,
nililalamika mwenyewe mpaka usingizi
ulinipltia kabisa nlikuta kushtuka bada
ya kuhisi kuna mtu ananitikisa miguu
yangu niliamka na kumkuta da Lucy
kasimama pembeni yangu akaweka
kidole mdomoni kuwa nislongee
akaniinua akanipatia chakula kwa sauti
ya chini kweli akawa ananiambia
"Kula haraka haraka sawa' daah
nilimshukuru kweli da Lucy maana
nilikuwa nahisi nakufa na njaa aisee
"Mwaju embu msikilize mama hizo
starehe zipo tu embu tulia hata kidogo
utamuuwa mama"
"Da Lucy lakini mi si nimeacha tayari,
niazime basi simu yako mara moja'
"Unataka kuongea na nani usiku hivi
mwaju, mama atasikia bwana
"Hamna Dada naomba naongea kidogo
hawezi sikia"
"Mmm mpaka Leo umeniita dadaa mhu
haya shika hil
Nilijshtukia kweli mi simuitagi dada
zaidi ya da Lucy niliona aibu huku
napokea simu , nilijaza namba ya Ally
na kumpigia ilita kidogo tu
nakupokelewa, nilijitambulisha kuwa
mimi ni mwaju akaniuliza hiyo namba
ya nani nikamwambia ya da Lucy
akaanza kujikaza maneno ya karaha
yaani hata mood ya kumpigia nilijikuta
inaisha kabisa
"Ally jamani mbona skuelewi"
"Sikda mwaju embu endelea tu na ujana
wako sawa ulikuwa na mabwana zako
ulizima simu Leo umerudishwa et
unajitilsha huruma Oyaa eeeh embu
achana na mimi
"Lakini A...
Simu ilikatwa na kubaki mdomo wazi
mh yaan kazi kweli kweli niliona hapa
naweza mkosa Ally wangu hivi hivi, Ally
yeye alikuwa anajishuhurisha na kuuza
chips nje ya bar moja hapo hapo mtaani
kwetu alikuwa kaajiliwa na alipangiwa
na boss wake kwenye Gest hapo
hapo..
Da Lucy aliondoa na kufunga mlango
vile vile ,sikulala yaani niliona kabisa
dunia yangu inaenda kuharibiwa hivi
punde , asubuhi na mapema nilijandaa
kwenda shule mama alikuja
kunifungulia mlango akaanipa chai
hataa sikuwa na mood ya kunywa chai
yaan, alichukua begi langu et kunikagua
nisije kuwa nimebeba nguo za
nyumbani lakini alikuta madaftari tu
ndani ya begi akanipa huku
akininembeleza kunywa chai nilikataa
akanipa hela ya kula akijua nimelala
njaa...
Nilitoka nje ya geti nachekelea "Heheh
yaani mama mjinga kwelii hivi anafikiri
mimi naweza kuwa mjinga kiasi hicho
Heheh' nilimcheka kwa sababu nguo
alizokuwa anakagua kwenye begi mi
nilikuwa nazo mwilini mwangu lluwa
hata na mpango wa kurudi nyumbeni
baada ya lkutolka shule lowa Sebebu
nilljua kama niterudi besl nitafungwe
ndani tu mpaka j3 meene silu hl
likuwa ni jumaa..
Nillende shule nikasoma mpeka MDA
wa kutoka shule beada ya wanafunzi
wote kuondoka mi nlingla chooni
nikabadilil nguo nilkatoa za shule
nikabakd na nguo za nyumbani tu
nikaweka kwenye begi safari ya kwanza
kwa Ally mpaka aseme
Kwakuwa mama huwa hatoki nje sio
rahisi kabisa kujua kuwa mie nipo
mtaani hapo
Nilifika kijiweni kwa Ally hakuwepo
yaan mtaani walikuwa wananishangaa
mpaka kero nilimtafut tatu kwanza
"Hehee weweeee piga keleleeeee kwa
dadaaa akeeeee! " tatu alipiga kelele
huku kanyo0sha vidole vitatu juuu
"Heee mwaju mpaka tulikumis shoga
anguu
Weweeee mwaju akeee huyoooo'
Jamani yaan mtaa ulichangamka gafla
baada tu ya kuniona kila mtu alikuwaa
anaongea lake
"Heheeee mwenye Mali kafika vimburu
woteee kazi wanayoo huyu ndo Mrs Ally
Og* gile mdada tu huwa muhudumu
wa bar alitoka na hayo maneno ndo
nikakumbuka nilikuja hapo kumtafuta
Ally
Itaendelea.....

Full 1000
๐‘ต๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’๐’Š๐’‘๐’ ๐‘ฝ๐’๐’…๐’‚๐’„๐’๐’Ž ๐‘ด ๐’‘๐’†๐’”๐’‚ 0743433005 ๐’‹๐’Š๐’๐’‚ ๐‘จ๐‘ฎ๐‘ถ๐‘บ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ต๐‘ถ
๐‘ผ๐’Œ๐’Š๐’๐’Š๐’‘๐’‚ ๐’๐’Š๐’„๐’‰๐’†๐’Œ๐’Š ๐‘พ๐’‰๐’‚๐’•๐’”๐‘จ๐’‘๐’‘ ๐’Œ๐’–๐’‘๐’Š๐’•๐’Š๐’‚ ๐’๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’‚ +255743433005 ๐’๐’Š๐’Œ๐’–๐’‰๐’–๐’…๐’–๐’Ž๐’Š๐’†

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MJESHI WANGU ___01 05 ......"mwajuuuu!! We mwajuu...! Mwajuma....." nilikuwa nikimsikia dada yangu ananiiita kwa Fujo kwelii ,sikutaka kuitika nilikuwa kimyaaa kwa sababu nilijua nilicho kifanya huko ndani, nilikuwa nmejibana kimyaa nyuma ya mti mkubwa

ulio kuwa mbele kabisa na nyumba yetu
Nilimsikia mama nae anamjibu kwa hasiraa

"Bwana hayupo embu nitolee kelelee"
"Ila mama unamuona mwajuu!! Nguo zangu nmenunua mpya hata sijaziva yeye tayari amevaa,mamaaa "
"Mtajuana wenyewe bwana"
"Tutajuana wenyewe eeh sawa ngoja nimkute huko huko kwenye ma bar yake"

Nilisikia da Lucy sauti yake ilikuwa inatoka imejawa chuki na hasira juu yangu ,niliposikia anasema kunifata nilikimbia mpaka kwenye bar moja hivi IPO mbele ya nyumba yetu, nikaingia kujificha nyuma ya mlango wa kaunta maana da Lucy namjua vizur angenidhalilisha nguo zake nimechukua...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeshi-wangu-___01-05-mwajuuuu-we-mwajuu-mwajuma-nilikuwa-nikimsikia-dada-yangu-ananiiita-kwa-fujo-k

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mjeshi-wangu-___01
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

859
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

733
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

696
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

593
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

541
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

444
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 56...57

254
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

228
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

210
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

157

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didnโ€™t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didnโ€™t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing societyโ€”it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity ๐Ÿ’”  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity ๐Ÿ’” Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on ๐ŸŽฌโœจ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani๐ŸŒš๐ŸŒš yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

โ€œThe CBF stands in solidarity with Vinรญcius Jรบnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest