Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
28 Sep 2025
70 views
VYOTE NDANI GONGA94
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 10 (Moshi mkubwa juu ya anga) wananchi wenzangu hali hii ni ngeni hapa kijiji kwetu toka kuzaliwa kwangu hadi umri huu sijawahi shuhudia janga kama hili sijui labda kwa baba zetu na babu zetu , wazee wote wa msindo
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
na vijiji jirani walikataa kwa pamoja hapana na sisi hatujawahi kuona kabisa janga kama hili ..endelea
sio tu kukataa bali ni kwa mshangao na sauti za hofu kubwa
mwenyekiti aliendelea kuongea kwa dakika kadhaa hivi ndipo kukawa na hali kama ya mvua si mvua kama giza furani hivi mwenyekiti aliomba vijana wachimbe mashimo na kuongeza maturubai kazi hiyo ilifanyika kwa dakika chache sana kulingana na uwingi wa watu hapa msibani leo
Hali ya hewa ikawa inabadilika kwa kasi sana baridi likawa linapuliza msimu huu ni wa baridi hapa msindo linachapa kweli kweli
Ulianza kuonekana moshi kwa mbali sana ukisogelea maeneo ya nyumbani tulio kaa ndani tuka jua labda vijana wanaandaa mazingila ya moto nnje mala tukasikia nnje jamani moshi jamani moshii ile ku cheki juu kuna kama wingu fulani hivi likiwa linatoa moshi mkali sana anga zima la msindo gafla likawa na moshi mkubwa angani hali hii ili muogopesha kila mtu na kuanza kusogeleana na kubanana kwa hofu kubwa moshi ule ukashuka kwa nguvu na kupelekea watu wengi sana kuzimia kwa hofu moshi ulishuka na kuingia kwenye nyumba ya bamkubwa aliyo jengewa na mdogo wake Shangazi mkubwa
Sehemu yote ya nyumba ya bamkubwa ilitawaliwa na moshi mkubwa na ikawa ukitazama huoni kitu kabisa kwa mbali kundi kubwa la nyuki wakiwa na kasi ya ajabu waliwasili kwa nguvu na kupita maeneo ya dirishani mvueeeeeh na kutua kwenye mti mkubwa mbele ya nyumba wakati huu wala hawagumkusa mtu yoyote yule nyuki waliongezeka na kujaa kwenye mti ule
Lilitandikwa turubai chini na kuanza kuwa inua wazee walio zimia kwa hofu na kuwalaza kwenye maturubai kila mtu anapumua kwa shida sana
Mwenyekiti aliomba wasimwagiwe maji ya baridi bali wapewe nafasi wapigwe na baridi wataamka taratibu wenyewe muda nao ukawa unaenda saa kumi na mbili hali ya hewa ilianza kuwa safi na jua la jioni likawa linawa kwa mbali wale nyuki walibaki pale pale ule moshi ulianza kupotea kidogo kidogo na hali ya usawa ikaanza kurejea taratibu
Mawazo mengi yakiwa kwa kipenzi changu Shangazi mkubwa wa Mtwara
nikawa najiuliza hivi.. itaendelea
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick al...
HAKU HUKO MI SIWEZI ππππ₯π₯π₯ Part 10 (Moshi mkubwa juu ya anga) wananchi wenzangu hali hii ni ngeni hapa kijiji kwetu toka kuzaliwa kwangu hadi umri huu sijawahi shuhudia janga kama hili sijui labda kwa baba zetu na babu zetu , wazee wote wa msindo
na vijiji jirani walikataa kwa pamoja hapana na sisi hatujawahi kuona kabisa janga kama hili ..endelea
sio tu kukataa bali ni kwa mshangao na sauti za hofu kubwa
mwenyekiti aliendelea kuongea kwa dakika kadhaa hivi ndipo kukawa na hali kama ya mvua si mvua kama giza furani hivi mwenyekiti aliomba vijana wachimbe mashimo na kuongeza maturubai kazi hiyo ilifanyika kwa dakika chache sana kulingana na uwingi wa watu hapa msibani leo
Hali ya hewa ikawa inabadilika kwa kasi sana baridi likawa linapuliza msimu huu ni wa baridi hapa msindo linachapa kweli kweli
Ulianza kuonekana moshi kwa mbali sana ukisogelea...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/haku-huko-mi-siwezi-part-10-moshi-mkubwa-juu-ya-anga-wananchi-wenzangu-hali-hii-ni-ngeni-hapa-kijiji
Maoni