Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
36 views
VYOTE NDANI GONGA94
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 23 -- 24
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 23
Wapenzi nataka kuimaliza hii story,, nitapunguza baadhi ya sehemu, nipo bize mnoo na nyinyi nazidi kuwachosha
Nikashangaa sana roby kujiachia kiasi kile tena mbele ya Mume wangu?? Mahamood hakusema chochote aliingia chumbani akalala,, nikamwambia Roby ulisema unashida na mm bc njoo tuongee, akanijibu mbona unaharaka Dada? Tutaongea tu ucjal, bc nikakaa zangu kimya sikutaka kuendelea kuongea,, usiku ulifika tukaingia kulala, Mahamood akaniambia Mamujee, unajua huyo mdogo wako alichofata hapa?? Nikawaambia bado hajaniambia ila amesema ana shida na mm,, akaniambia hana shida yeyote Zaid ya kunitaka mm na ametumwa na Mama yake,, na hajaja mikono mitupu yupo na dawa za kienyeji kwenye begi lake uwiiiii wee Mahamood umejuaje haya yote na Roby ndio kwanza amefika,,??? Au hutaki ndugu zangu waje hapa??? akaniambia Mamujee subiri kesho pakuche uende ukakague begi lake,, mhhhh haya, tukalala, ila akili yangu yote ilikuwa juu ya roby, na yale maneno aliyoniambia Mahamood,, nikajiuliza hivi Mahamood ni nani?? Ni mtu wa aina gn?? Mhhhh, nikasema ngoja pakuche nikaangalie hilo begi nijihakikishie ni kweli au,, bc palikucha vzr, Mahamood alitaka kutoka maana alikuwa kwenye maandalizi ya safari ya kwenda kwake
Nakumbuka hio cku ilikuwa cku ya kuwapeleka watoto kliniki, nikaongea na Mahamood akaniambia Dada awaandae watoto dereva atakuja kuwafata awapeleke, bc nikamwambia Dada tukawaandaa watoto fasta, Mahamood akaniambia nimwambie na Roby aende akasaidiane na Dada, then Dada mwingine abaki kwa kazi za nyumbani, bc roby hakuonyesha kukataa alijiandaa na yeye na nguo zake za uchi,, tumekaa tunamsubiri dereva afike, roby akanifata, Dada Amamu, mwambie shemeji twende wote na yeye kliniki huyo dereva asije, nikamwambia shemeji yako ana mambo mengi nyie nendeni tu, akaniambia bc sawa ila hatuchelewi, nikamwambia sawa, dereva akafika wakaondoka zao,, nikamwita Dada nikamwambia niletee begi la roby, hapo tupo na Mahamood,, tukaanza kulifungua, mhhhh sikuamini jmn, madawa kama yote tena yanamaelekezo yake,, dawa za mvuto,, matumizi,, nawia usoni asbh na jioni,, nyingine tafuna,, nyingine ya mfarakano, weka kwenye chakula na chumbani kwao yaan jmn dawa kibao, cjui shangazi ananichukia kwa nn?? Utasema sijazaliwa na Kaka yake jmn,, mbona mm siringi? Hata sikumbuki walio nifanyia? Wakipata shida nawasaidia tu?? Mahamood akaniambia c nilikwambia?? Umeamini sasa?? Nikawaambia sasa tutafanyaje na dawa ndo izo?? Akaniambia subiri,, akaingia chumbani akatoka na viunga unga navyo ni dawa,, akamwagia kwa kila dawa, kisha akamwambia Dada rudisha hilo begi na msimwambie chochote akirudi,, Mahamood akatoka zake, nikabaki na Dada, akaanza kuniambia walivyokuwa chumbani usiku Roby alikuwa anaongea sana na cm yaan kama anapokea maagizo iv,, mara ile nyingine nitafune mara ngp au kila wakati?? Yaan mambo kibao,, nikabaki mdomo wazi, shangazi, shangazi shangazi, kwann unanichukia kiasi hiko??
Waliporudi kliniki kitu cha kwanza,, shemeji yupo wapi?? Nikawaambia katoka na leo usiku anasafiri,,, hee anaenda wapi tena?? Nikawaambia Dubai,, nikamuona kapooza aliduwaa utadhani kamwagiwa maji akanyanyuka akaenda nje kuongea na cm,, alivyomaliza akaja kuniuliza tena, eti atarudi lini shemeji akiondoka leo?? Nikawaambia Roby kwan vp? Umenifuata mm hapa au shemeji yako?? Kwan akisafiri ww unapata tabu gn wakati mm nipo?? Akanijibu amna nampenda shemeji Sasa akiondoka hapa kutapooza nikamwambia ndio kutapooza sana tu kwa sababu harudi leo wala kesho,, akanyanyuka akaenda chumbani kwao akalala
Chakula kilipoiva akaamshwa aje ale alitoka kavaa dera vzr, wamekaa mezani wanakula,, Mara Mahamood anaingia tunasalimiana na Mahamood, yeye kanyanyuka kaenda chumbani kwao, ametoka kavaa kimini kifupii na kiblauz kitovu chote nje,, huku mdomoni anatafuna mzizi wake wa dawa,, akawa anamsogelea Mahamood kumpa mkono, eti shikamoo shemeji,, Mahamood akakataa mkono akamwambia nina uzu naingia kuswali akabaki hee jmn
Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
siku za dhahabu za Bollywood. Ilichukuliwa karibu 1964-65, ikiripotiwa huko Gulmarg,
Picha hii adimu na inayojulikana sana inahisi kama kibonge cha wakati tulivu kutoka siku za dhahabu za Bollywood. Ilichu...
😂 CHIZI MLA NDOGO WAKE ZA WATU🔥 SEHEMU YA TANO ( Onyo ukiwa mtoto au ujakomaa akili usisome simulizi hii) 👉 Uwiiiiiiiiiiiiiii usuingize kwa nguvu mdogo mdogo uko sijazoea Aaaaaaaaa chomoa kwanza inauma chomoa...👇
MJESHI WANGU ___01 05 ......"mwajuuuu!! We mwajuu...! Mwajuma....." nilikuwa nikimsikia dada yangu ananiiita kwa Fujo kwelii ,sikutaka kuitika nilikuwa kimyaaa kwa sababu nilijua nilicho kifanya huko ndani, nilikuwa nmejibana kimyaa nyuma ya mti mkubwa
ulio kuwa mbele kabisa na nyumba yetu Nilimsikia mama nae anamjibu kwa hasiraa "Bwana hayupo embu nitolee kelelee" "Ila...
HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 10 (Moshi mkubwa juu ya anga) wananchi wenzangu hali hii ni ngeni hapa kijiji kwetu toka kuzaliwa kwangu hadi umri huu sijawahi shuhudia janga kama hili sijui labda kwa baba zetu na babu zetu , wazee wote wa msindo
na vijiji jirani walikataa kwa pamoja hapana na sisi hatujawahi kuona kabisa janga kama hili ..endelea sio tu kukataa b...
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 20* Meneja aliomba nirudi tumalizane ndo niondoke☺️☺️ye ana kichumba chake kule hotelini kumbe ndo unyama anaufanyaga huko chumbani😞😞
Niliwaza sana hapa nachomokaje siwezi kuliwa kizembe hivo🤨🤨🤨niliwaza cha kumdanganya kikakosa🤨🤨 Meneja alinishika mkono...
Wapenzi nataka kuimaliza hii story,, nitapunguza baadhi ya sehemu, nipo bize mnoo na nyinyi nazidi kuwachosha
Nikashangaa sana roby kujiachia kiasi kile tena mbele ya Mume wangu?? Mahamood hakusema chochote aliingia chumbani akalala,, nikamwambia Roby ulisema unashida na mm bc njoo tuongee, akanijibu mbona unaharaka Dada? Tutaongea tu ucjal, bc nikakaa zangu kimya sikutaka kuendelea kuongea,, usiku ulifika tukaingia kulala, Mahamood akaniambia Mamujee, unajua huyo mdogo wako alichofata hapa?? Nikawaambia bado hajaniambia ila amesema ana shida na mm,, akaniambia hana shida yeyote Zaid ya kunitaka mm na ametumwa na Mama yake,, na hajaja mikono mitupu yupo...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mwarabu-huko-mi-sijazoea-23-24