Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  27
Gonga94 · Stories

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 27

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 27

Hayaaaaa mjeeeeeee tumalize

Tulifika Dubai salama salmini, tukapokelewa vzr, bonge la jumba jmn waarabu kibao humo ndani ila wafanyakazi wako wa ndani wapo wanne, wawili wa Tz, mmoja mkenya,, mwengine wa Msumbiji,, nikapewa chumba changu cha kukaa na watoto ila Dada akapelekwa kwa wenzie, mhhhh nilikuwa naogopa jmn, nikimtazama bi mkubwa alivyo na mm nilivyo vitu viwili tofauti bi mkubwa mashallah! Mzuri kaumbika haswa na rangi yake tamu,, yupo soft yaan ananukia balaa , nikajitazama mm na weusi wangu huu nikasema huyu Mahamood kipo alichofata kwangu sio bure,, nyumba imejaa watu, ukitambulishwa hadi unachoka,, mtoto wa shangazi, mara huyu mjukuu wa Dada yaan ndugu kibao wote weupe,, ila nashukuru walinipokea vzr kwa kuniheshimu sana mm na wanangu, tumekaa km cku tatu iv za kuondoa uchovu, cku ya nne nikaamka zangu asbh nikaenda kusaidiana na wadada kazi,, maana nishaoga kazi jmn, kukaa bure cwez tena kwa watu ndio kabisa, nikafika uani nikaanza kazi,, wale wadada wakawa hawataki niwasaidie, eti Dada acha hizo ni kazi zetu,, yule binti yngu akawa anawaambia huyu kazoea hata kwake tunafanya nae kazi , cjui ikawaje akaniona ndugu mmoja wa mule, mbio hadi kwa bi mkubwa,, wee bi mkubwa akashuka chini, a aniita Mke mdogo,, mbona?? Kwann unafanya kazi na watu wa kazi wapo?? Hayo sio majukumu yako,, unataka Mumeo akukute hapo atulaumu sisi huku sisi hatufanyagi kazi,, kumbe hawafanyi kazi yeyote jmn hata chupi wanafuliwa mhhhh mie cwez hivo vitu aka,, bc niliacha nikaingia ndani,, niliendelea kukaa pale huku najiona kama nipo kifungoni tu, cku hio nimekaa zangu chumbani kwangu nipo peke yngu maana asbh watoto wanatolewa wanakaa huko kama kulishwa, kuogeshwa kila kitu huko mm narudishiwa watoto usiku wakiwa wamelala,, bc nipo zangu chumbani, mara hodi bi mkubwa akaingia,, akaniuliza vp mbona huna raha? Nikawaambia amna Dada nipo sawa mbona? Akasema hamna bhana sifurahii ww kuwa ivo?? Niambie bi mdogo au umemmiss Mumeo?? Nikamjibu mbona kila cku namuona tu , akaniambia unakataa tu ila mm ni mtu mzima najua umemiss Mumeo mhhhh nikamwambia Dada hapana mm nipo vzr tu ondoa hofu,, bc tukawa tunapiga story ananiambia walivyokutana na Mahamood, kumbe alichumbiwa tu bila kuonana na Mahamood, wala walikuwa hawajuani ila wazazi wa Mahamood ndio walimpenda bi mkubwa, wakamuomba aolewe na mtoto wao,, akaniambia alikuwa bikra kabisa alivyoingia kwa ndoa, tuliongea mengi sana hadi alivyomruhusu Mumewe kuoa mke wa pili alipo jiona yeye uzazi umekuwa wa shida kwake,, akasema hata Yule bi mdogo wa Uingereza kumbe bi mkubwa ndio alimtafutia Mumewe ili amuoe Akaniambia nilivyojiona uzazi umekuwa wa shida kwangu nikawaambia Mume wangu AOE ila Mume wangu alikuwa hataki hata kusikia, nilimlazimisha sana hadi kushirikisha ndugu zake ndipo akakubali kuoa ila kwa sharti mm nimtafutie huyo mke, bc nilimuahidi kumtafutia, akasema cku moja alivoenda kwenye shughuri ya Mama ake mdogo alikuwa anaozesha mwanae ndipo akakutana na bi mdogo na yeye alikuja harusini upande wa Bwana harusi,, bc bi mkubwa akampenda yule Dada, akamuomba mawasiliano wakabadilishana vzr, bc wakaanza kuwasiliana taratibu ndipo kumuuliza kama kaolewa, akamwambia hajaolewa,, ndipo bi mkubwa kumuomba aolewe na mumewe Kama bi mdogo,, ndipo yule bibi kukubali akakutaniswa na Mahamood , wakaridhiana ndipo ndoa ikafungwa,, ndipo yeye kupelekwa kuishi huko Uingereza maana Mahamood anabiashara zake huko pia na nyumba zake mbili , nilimshangaa huyu mwanamke nikasema huyu mwanamke ana moyo wa dhahabu jmn,, mhhhh, bc tuliongea mengi mnoo,, akanitania leo nitakuachia Mumeo ulale nae ingawa ni zamu yngu ila acha nikupe mdogo wangu uondoe uchovu uchangamke nikaona aibu, nikamwambia Dada hapana bhana,, bc tukatoka kwenda kula,, ucku umefika nikaingia chumbani kwangu nikaletewa wanangu, nikawalaza kwenye kitanda chao, nikaingia bafuni ili nioge nilale,, natoka bafuni mlango wangu unagongwa, kufungua Mahamood, nikamwambia vp mbona ucku, akasema amekuja kulala,, nikawaambia kivp c upo kwako?? Akasema bi mkubwa amemuomba alale kwangu wiki nzima mhhhh,, nikamwambia c zamu yake?? Akasema ndio ni zamu yake ila amekuruhusu,, Mahamood akaniambia akiwa Dubai bc ni zamu ya bi mkubwa,, akiwa Tz ni zamu yngu,, na kwa bi mdogo ivo ivo,, bc tukaenjoy kwa penzi la ugenini,, Mahamood ananiambia nilivyokumiss nilikuwa najikaza tu nitafanyaje sasa ,, bc asbh Mahamood kaenda kazini kwake,, bi mkubwa akaanza kunitania,, Leo bi mdogo umechagamka,, kumbe kweli ulimmiss Mumeo , eti c ungeniambia Dada namuomba Mahamood anifanyie massage nitoe uchovu, mm wala nisinge kunyima nikacheka sana huyu Dada ana moyo wa tofauti

Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 27

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 27

Hayaaaaa mjeeeeeee tumalize

Tulifika Dubai salama salmini, tukapokelewa vzr, bonge la jumba jmn waarabu kibao humo ndani ila wafanyakazi wako wa ndani wapo wanne, wawili wa Tz, mmoja mkenya,, mwengine wa Msumbiji,, nikapewa chumba changu cha kukaa na watoto ila Dada akapelekwa kwa wenzie, mhhhh nilikuwa naogopa jmn, nikimtazama bi mkubwa alivyo na mm nilivyo vitu viwili tofauti bi mkubwa mashallah! Mzuri kaumbika haswa na rangi yake tamu,, yupo soft yaan ananukia balaa , nikajitazama mm na weusi wangu huu nikasema huyu Mahamood kipo alichofata kwangu sio bure,, nyumba imejaa watu, ukitambulishwa hadi unachoka,, mtoto wa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mwarabu-huko-mi-sijazoea-27

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mwarabu-huko-mi-sijazoea
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  12 --13
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 12 --13
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  36 -- 37 SEASON TWO,
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 36 -- 37 SEASON TWO,
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  38
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 38
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  7-- 8
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 7-- 8
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  15 -- 16
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 15 -- 16
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  11
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 11
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  23 -- 24
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 23 -- 24
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  39
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 39
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 1
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 1
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  14
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 14
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  17 -- 18
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 17 -- 18
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  9 -- 10
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 9 -- 10
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  28 -- 29
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 28 -- 29
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  4
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 4
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  19 -- 20
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 19 -- 20
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  21--22
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 21--22
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  30 -- 31
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 30 -- 31
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  2
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 2
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  25 -- 26
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 25 -- 26
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  33
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 33
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  35
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 35
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  34
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 34
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA  6
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

579
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

466
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

464
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

317
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

203
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

83
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

61

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest