Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚   SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜  Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
Gonga94 ยท Stories

NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜ Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
...... ni usiku sasa, najua mida hii utakuwa uko kitandani kwako unahangaika kuutafuta usingizi......naomba niichukue nafasi hii kukutakia usiku mwema utakao ambatana na njozi njema..... namshukuru Mungu nimefika nyumbani kwangu salama.....Asante kwa muda wako nimefurahi sana kupata Dinner na wewe..... Good night Pink๐Ÿฉท๐Ÿฉท๐Ÿฉท......mmmhhh anaonekana kujali hata hivyo msg yake haifanani naye kabisa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ muda wote yeye huwa yuko busy tu na mambo yake sijui hata ni kwanini anaonekana kunijali kiasi hiki huenda atakuwa anatafuta ukaribu na mimi ili niweze kumuunganisha na rafiki yangu soo_ha๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” au Maja hao marafiki zangu ni weupe na ni warembo sana wanaweza hata kuvikwa taji la miss word๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นsizani kama kuna kitu kingine anachokitaka Boss kutoka kwangu๐Ÿ™„๐Ÿ™„ au anataka kunichezea kisha aniache๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”..... nilijihoji maswali bila majibu hata hivyo baada ya kuusoma ule ujumbe wake sikujibu kitu chochote niliizima simu yangu nikaweka chaji baada ya hapo nilijiiegesha tu kitandani na usingizi ukawa umenipitia......asubuhi kabla hata sijaamka Boss Hance alinipigia simu alikuwa ananipatia maelekezo ya ofisini aliniambia kuwa yeye atachelewa kufika ofisini kwa sababu kuna sehemu anapitia mara moja so alitaka mimi niwahi ofisini kuna wageni aliwatarajia kule ofisini aliniomba nikawapokee hadi pale atakapofika......

Nilimuitikia ikabidi niamke nikajiandaa chapu kisha nikaondoka kuelekea ofisini......nilifanya kama alivyonielekeza Boss Hance niliwapokea wageni wake nikawaomba wamungoje ndani ya muda mfupi tu atakuwa kaishafika...... na kweli baada ya Dakika 45 Boss Hance aliingia ofisini akaniomba nimwandalie kikao na hao wawekezaji wawili waliokuwa wanamungoja pale ofisini niliandaa kikao haraka baada ya Hance kuingia kwenye kikao wafanyakazi wote pale ofisini tuliitwa na mama yake Hance kama nilivyokwisha waambia kwenye kampuni niliyoajiriwa ni kampuni ya kifamilia inayoongozwa na Boss Hance kama Mr C.E.O baba yake Hance ambaye ndo manager wa kampuni bila kumsahau mama yake ambaye yuko katika kitengo cha uhasibu......mimi nimeajiriwa pale ofisini kama secretary wa Boss Hance.......Madame Laura ambaye ni mama mzazi wa Boss Hance alikuwa akitutaarifu juu ya birthday ya kijana wake wa pekee ambaye ni Boss Hance.....
Madame laura alisema ya kwamba Weekend ijayo itakuwa ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mtoto wangu Hance natamani tuungane staff wote tufanye kitu kwa ajili ya Boss Hance na awamu hii natamani sherehe yake iwe ya tofauti na sherehe zingine...... naombeni mawazo yenu kipi kifanyike?!......staff members walianza kuchangia mawazo juu ya birthday ya Boss walipendekeza iwe ni birthday ya tofauti kidogo.....na kwa kuwa hiyo birthday iliangukia siku ya Weekend siku ambayo hatuendi kazini staff wote tulikubaliana tukutane katika eneo tulilolichagua tupike aina ya vyakula mbalimbali ikiwemo keki tulipanga kufanya wenyewe kwa mikono yetu kwa ajili tu ya kumfurahisha Boss aone ni kwa kiasi gani tunavyomjali madame Laura alifurahi sana alitushukuru na kutuambia kuwa sisi ni kama familia yake...... siku zote nimekuwa nikioda kila kitu kuanzia vyakula keki na kila kitu kwa ajili ya birthday ya mwanangu kiukweli hii itakuwa birthday ya tofauti sana kwake na nina imani ataifurahia sana aliongea madame Laura huku akiwa anatuhug kila mtu......

Sasa bwana pale ofisini kuna wafanyakazi kutokea nchi mbalimbali kila mfanyakazi alipendekeza kupika chakula cha kikwao kisha tuone Boss Hance atapendelea chakula cha nchi gani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhii tuliifanya kama challenge ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃlol mie mtoto wa kihaya niliwaza nipike nini au niagize senene kutoka Bukoba๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhahahaaaa tutajua bwana kumbuka zimebakia siku tatu tu kufika birthday ya Boss.....madame Laura alituomba staff members wote kila mmoja aandike jina lake katika kikaratasi pamoja na aina ya chakula atakachopika tulifanya hivyo kwa bahati mbaya chakula cha kiafrica nilichokichagua kukipika kilichaguliwa na staff members mwenzangu ambaye yeye anatokea nchini Kenya๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซilibidi nimuachie apike yeye kwa sababu hapakutakiwa kupikwa chakula cha aina moja na watu wawili basi mie niliombwa nipike keki nyieeeeeee๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ hiyo keki sijawahi hata kuipika lakini nilikubali tu sikutaka madame ajue kuwa mimi sijui kupika๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ

Jioni ya siku hiyo nilipokuwa njiani kurudi nyumbani Jordan alinitumia sms alikuwa akinijulia hali tu......aliniandikia hello Pink how are you Doing?! Nikamjibu I'm fine niko poa Jordan๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž.......but natamani kuongea na wewe kuhusiana na jana kushindwa kuja kuonana na wewe๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚ its okay Pink naelewa kuwa boy Friend wako ni wa muhimu kuliko kitu chochote usijal......mmmhhh Jordan what are you talking about๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ I don't have a boyfriend yule ni Boss wangu na hakuna chochote kati yetu๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ.... sorry Pink nilihisi huenda akawa boyfriend wako kwa sababu hata tembea yenu ni kama mtu na mtu wake vile mlivyokuwa mmeshikana mikono yenu ilionekana kama watu mnaopendana niambie ukweli kwa sababu sitaki kuwa msumbufu nikajaonekana kama vile ninataka kukuvunjia mahusiano yako....... hapana Jordan wala hata haiko hivyo......naomba tuonane leo....... ni sawa Pink lakini kwa leo naomba upange wewe maana mimi naweza nikapanga ukashindwa tena kutokea nitajisikia vibaya tena kama jana๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‘..... its okay ngoja nikifika nyumbani nitakwambia wapi tukutane.....tulikubaliana kukutana.....

Niliendesha gari kwa kasi huku nikiwa nimeachia tabasamu murua lol Jordan anaonekana mwenye wivu sana hahahaaaa hata hivyo mwanaume mwenye wivu ndo mwenye upendo wa kweli natamani Jordan angekuwa mzima ili tuweze kupendana mimi na yeye๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ nahisi ni kama moyo wangu unafeel kitu juu yake au namhurumia tu kutokana na ulemavu wake kiukweli hata sijielewi๐Ÿ˜จ๐Ÿ˜จ๐Ÿ˜จ nilipofika nyumbani nilimtafuta soo_ha nilitaka anisaidie kuchagua sehemu tamu na tulivu kwa ajili ya mimi kwenda kukutana hapo na Jordan hahahaaa we mbwa ushapenda hebu nitambulishe nimjue shemeji yangu nisije kumdangia๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น soo_ha ni mkorea lakini anaongea huyo kama mbongo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ soo_ha mimi ni wifi yako kwa Leeminho nataka tu kutoka na rafiki yangu kuna ishu tunaenda kupanga mara moja ok nipe dakika chache nikutafutie sehemu nzuri๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ alloh thank you my friend that's why I love mwaaaaaaa๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜ nilimkiss chaumbea wangu kisha nikakata simu baada ya kukata simu dakika chache ikaingia msg kutoka kwa soo_ha alinitumia jina la pub maridhawa iliyotulia akaniambia hiyo
itanifaa sana na mtu wangu ninayeenda kukutana naye......

Nilimtumia Jordan jina la sehemu tunakokutana na kweli usiku mida ya saa mbili tukakutana hapo nilikuta tayari kaishafika ananisubilia tu mimi nilipofika alinipokea nilimkumbatia mimi kwa sababu yeye kusimama hawezi......alikuja akiwa na ile zawadi aliyoninunulia alinipatia lakini akaniomba nisiifungulie pale pub alitaka niifungue nikiwa Peke yangu๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ tulipata vinywaji pamoja na dinner bila kusahau story za hapa na pale...... usiku huo Jordan aliniambia kuwa siku yake ya kuzaliwa imekaribia na anatamani siku yake hiyo aisheherekee akiwa pamoja na walemavu wote wa miguu walioko katika mazingira magumu alisema kuwa anatamani kuwanunulia baiskeli walemavu kadhaa wanaokosa uwezo wa kutembea kutokana na ulemavu wa miguu pamoja na miguu ya bandia kwa watoto wa kike baadhi wenye uhitaji wa miguu bandia..... lakini pia Jordan alitamani sana namimi niwepo katika sherehe yake hiyo ya birthday......wow Mungu akubariki sana Jordan kiukweli una moyo wa utoaji ubarikiwe sana lakini pia usijali kuhusu mimi nakuahidi nitahudhulia na nitachangia chochote kitu kwa ajili ya walemavu birthday yako ni lini kwani?!....... kiukweli nitaufurahia sana uwepo wako Pink birthday yangu siyo mbali zimebakia siku tatu tu...... haaa๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
Unamaanisha nawe birthday yako ni weekend ijayo?!..... ndiyo Pink birthday yangu ni jumamosi ijayo......duh birthday ya Boss Hance na Jordan zimegongana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Je kati ya birthday ya Hance na Jordan Pink atahudhulia birthday gani?! Kumbuka birthday zote zimeangukia siku ya jumamosi...... ni Jordan au Hance?!

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜ Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink

...... ni usiku sasa, najua mida hii utakuwa uko kitandani kwako unahangaika kuutafuta usingizi......naomba niichukue nafasi hii kukutakia usiku mwema utakao ambatana na njozi njema..... namshukuru Mungu nimefika nyumbani kwangu salama.....Asante kwa muda wako nimefurahi sana kupata Dinner na wewe..... Good night Pink๐Ÿฉท๐Ÿฉท๐Ÿฉท......mmmhhh anaonekana kujali hata hivyo msg yake haifanani naye kabisa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ muda wote yeye huwa yuko busy tu na mambo yake sijui hata ni kwanini anaonekana kunijali kiasi hiki huenda atakuwa anatafuta ukaribu na mimi ili niweze kumuunganisha na rafiki yangu soo_ha๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” au Maja hao marafiki zangu ni weupe na ni warembo sana wanaweza hata kuvikwa taji...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/naishiwa-pawa-sehemu-ya-4_5-ujumbe-ule-mfupi-wa-mandishi-niliotumiwa-na-boss-hance-ulisomeka-kama-if

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi naishiwa-pawa-sehemu-ya-4_5-ujumbe-ule-mfupi-wa-mandishi-niliotumiwa-na-boss-hance-ulisomeka-kama-if
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

781
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

648
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

525
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

519
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

431
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

416
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

392
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

180
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

179
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

118

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

โ€œThe CBF stands in solidarity with Vinรญcius Jรบnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest