Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NAISHIWA PAWA ๐Ÿซ‚   SEHEMU YA "6"๐Ÿ’˜ ๐Ÿ’˜  Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance
Gonga94 ยท Stories

NAISHIWA PAWA ๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "6"๐Ÿ’˜ ๐Ÿ’˜ Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
niliombwa nipike keki na si kupika tu na kuhudhulia ni muhimu kwa sababu sherehe ilikuwa inasimamiwa na staff members wote nawote tuliombwa kuhudhulia...... nitafanya nini๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ Jordan naye kaniomba na kanisisitiza sana nisiache kufika kwenye birthday yake niende birthday ya nani๐Ÿซข๐Ÿซขndo swali lililokuwa likiniumiza akili usiku huo kabla hatujaagana na Jordan nilianza kuiangaza baiskeli yake ili niweze kumsaidia kusogea kwenye gari yake cha ajabu ni kwamba mahali pale hapakuwepo kabisa na ile baiskeli yake๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ nilianza kujiuliza Jordan katumia nini kutembelea kutoka kule parking hadi hapa ndani?!...... au ananichezea akili huyu?! Inawezekana hata haumwi miguu๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”...... kwanza hii miguu inaumwa nini mbona kila tukionana nakuta Jordan kavaa vizuri viatu vyake na soksi juu tena ni mtu anayevaa kifasheni anajua kupangilia mavazi hadi raha..... anawezaje kuvaa viatu kwenye miguu migonjwa?!......baada ya kuiangaza baiskeli nikaikosa ilibidi nimuulize Jordan.... baiskeli yako iko wapi?! Alishtuka sana baada ya mimi kumuuliza hilo swali.....baada ya muda kidogo alinijibu akaniambia baiskeli nahisi itakuwepo kwenye gari.....

Unahisi?! Ndiyo pink samahani nilisahau kukwambia kuwa kwa sasa nimetafuta dereva ambaye atakuwa ananiendesha kwenye mizunguko yangu kuna muda huwa nachoka kujisukuma kwenye baiskeli...... na kwa sababu nina gari basi nimeona ni vyema niajili dereva wa kuniendesha yeye ndo alonileta hapa nazani baada ya kunifikisha hapa alirudisha baiskeli kwenye gari...... okay ni sawa Jordan niliuliza tu kwa sababu nilitaka kukupa msaada wa kukusukuma hadi pale parking....... niliamini maneno ya Jordan kwa sababu yeye ndo alinitangulia kufika pale pub mimi nilipofika nilimkuta tayari kaishafika ananisubilia tu mimi......dereva wako yuko wapi sasa?! Oops usiwe na shaka Pink we unaweza tu kuondoka mi niache hapa kwa sababu dereva wangu atakuja kunichukua muda si mrefu....... alikwenda kujaza mafuta kwenye gari atafika hapa muda si mrefu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š....... mmmhhh lakini ni usiku sasa na siwezi kuondoka nikakuacha hapa peke yako mpigie huyo dereva wako umwambie aje kukuchukua mimi nitasubilia hadi aje...... baada ya kumwambia hivyo Jordan kweli aliichukua simu yake akaandika ujumbe mfupi kisha akaniambia nimemtumia msg atakuja soon tu..... tuliendelea kumsubilia dereva kweli baada ya dakika kadhaa alikuja mkaka smart sana akiwa na kile kibaiskeli cha walemavu nilipomtizama kwa umakini yule kaka hakuwa anaonekana kama dereva๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” na hata kile kibaiskeli alichokuja nacho ni cha tofauti siyo kama kile cha mara ya kwanza nilichomuona nacho Jordan.......

Hata hivyo sikutaka kujaji sana..... Jordan alinitambulisha kwa huyo dereva wake akaniambia anaitwa Tony...... Nice to meet you Tony๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿค wow you are welcome miss๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿค......Jordan alimwambia Tony ya kwamba mimi ni rafiki yake alimsimulia kidogo vile nilivyomsaidia siku ile kule barabarani basi tukafahamiana na Tony baada ya hapo Tony akamshusha Jordan kwenye kiti akampandisha kwenye baiskeli tukatoka kuelekea parking niliagana nao nikamrudishia Jordan ule mkoti wake nikawa nimeondoka kuelekea nyumbani.......mawazo kichwani kwangu yalikuwa mengi kuhusiana na Jordan nilianza kuwa na wasiwasi juu ya ulemavu wake hata yule aliyenitambulisha kama dereva wake nilianza kuwa na wasiwasi naye...... dereva ukimuona tu lazima umjue๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ haiwezekani Tony akawa dereva ila siwezi kubisha kwa sababu tangu siku ya kwanza namuona Jordan alikuwa yuko kwenye kiti cha walemavu huenda kweli akawa ni mlemavu๐Ÿค”๐Ÿค” na hii zawadi sijui hata ni zawadi gani ila nitaifungua tu nikishafika nyumbani....... Niliendesha gari taratibu hadi nyumbani kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kuifungua ile gift niliyopewa na Jordan lol๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ huko ndani nilikuta kuna saa ya rangi ya pink nzuri hatari๐Ÿ˜˜ pamoja na mi dollars ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ต kama yote๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณmi napenda pesa ila kuomba ndo kasheshe ukijiongeza ukanihonga mi sikatai๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ niliipenta zawadi ya mr Jordan taratibu taratibu
tu akaanza kunishawishi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mi na pesa ni damudamu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ nilimtumia msg ya shukurani akaniuliza kama nimeipenda zawadi yake nikamwambia yani umelenga mulemele๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ

Siku ya Ijumaa kuamkia jumamosi ambayo ndo siku ya birthday ya Jordan na Boss Hance...... madame Laura ambaye ni mama yake Hance aliniomba niende nikalale nyumbani kwake ili niweze kumsaidia kuandaa mahitaji ya birthday ya mtoto wake niweze pia kuiandalia cake kulekule nyumbani kwake......madame Laura aliniambia kwamba anatamani kuniona vile nitakavyoiandaa keki iliyokuwa inatarajiwa kulika hapo kesho kwenye birthday ya mwanaye lol angejua๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ jamani niliwaza kumkatalia nikashindwa nilikwenda nyumbani nikachukua vitu kadhaa kama nguo...... ni nguo moja tu ya kubadiri na vipodozi vyangu kisha nikaelekea nyumbani kwao na Hance......jioni tulikwenda shopping mimi na wazazi wa Hance tukanunua mahitaji yote yaliyohitajika......ulipofika usiku mimi na madame Laura tulikwenda jikoni kwa ajili ya mimi kuanza kuiandaa keki๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kusema kuwa sijawahi kupika keki my wenu nikashindwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kwa bahati nzuri pale jikoni kulikuwepo na kitabu kinachoelekeza namna ya kupika mapishi ya vyakula mbalimbali...... nilikichukua nikaanza kutafuta pishi la keki๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉbahati nzuri nikayapata maelekezo yaliyokuwa yanaelekeza namna ya kuandaa keki nilisoma haraka haraka kwa muda huo madame Laura alikuwa busy kupakia vitu kwenye Fridge wakati yeye akiwa bize kupaki vitu kwa fridge nami nikawa busy kupitia yale maelekezo ya namna ya kupika keki...... nilichanganya mahitaji yangu yote vizuri kisha nikafuata njia zote kama ilivyoandikwa kwenye kitabu baada ya hapo nilitia kwenye oven nikaiacha keki yangu iive๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nilikuwa na wasiwasi sana nilijiuliza itakuwaje keki isipochambuka๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ..?!

Baada ya dakika kadhaa si ndo nikaenda kuitoa keki yangu kwenye oven ili nione kama imeiva๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ madame Laura hakuwa mbali lol nilitamani kumwambia anipishe kwanza niichungulie hiyo keki nione ina hali gani huko ndani๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น nilijikaza nikafungua oven ghafla simu yangu ikaita nikairudishia ile keki kwenye oven nikaenda kuzuga kwenye simu๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ aliyepiga ni Jordan alikuwa ananikumbusha kuhusu birthday yake hapo kesho na alinisisitiza sana nijitahidi kufika๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ nilipomaliza kuongea na Jordan ikaingia simu ya Boss Hance nikapokea Boss Hance alitaka kujua kama ni kweli nipo nyumbani kwao...... Pink mama ameniambia kuwa upo naye nyumbani je ni kweli?!..... ndiyo Boss madame Laura kuna kazi aliniomba nije kumsaidia hapa nyumbani kwenu๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ.....kazi gani?! Kupika๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜wow nahisi njaa sana ni vyema leo nije nile chakula ulichokipika kwa mikono yako nitunzieni nami nakuja kula๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ...... alikata simu Hance yeye haishi na wazazi wake anaishi peke yake kwenye mjengo wake......

Baada ya Hance kukata simu ikabidi niende haraka nikaichungulie keki yangu nyieeeeeeeeee๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† sema kimeumana๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿ’”๐Ÿ’” niliikuta keki imeweka bonde la ufa katikati alafu ni nyeupe pee haikubadirika hata rangi kibaya zaidi keki ilikuwa nzito kama ugali wa dona๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mara kidogo nikamsikia madame Laura anakuja jikoni haraka nikaisukumizia keki kwenye oven nikafunika sikutaka aione lol aibu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜..... Hey Pink Hance ameniambia kuwa anasikia njaa amenipigia kuuliza kama kuna chochote aje kula nikamwambia aje tu ngoja niandae kitu kwa ajili yake......muda kidogo ikaingia msg kutoka kwa Hance alikuwa anauliza napika nini nikamwambia ni keki mara simu ya madame Laura ikaita alipiga Hance akamwambia mama yake et anajisikia kula keki hataki chakula kizito ikipatikana keki itamfaa sana๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ madame akamwambia kama ni keki ipo kitambo ufike itakuwa imeshakuwa tayari Hance akamwambia sawa mom nazani pia nitalala hukohuko niandalieni chumba changu mom...... ondoa shaka my son nitafanya hivyo kwa ajili yako.....๐Ÿซข๐Ÿซข๐Ÿซข๐Ÿซข Hance anapendwa sana na wazazi wake wanamlea kama yai anadekezwa kama mtoto mdogo......
madame Laura aliniachia maelekezo kuwa keki ikishakauka vizuri nikate kidogo kwa ajili ya Hance kabla sijaanza kuipamba nikaitikia tu sawa huku kichwani nikiwa najiambia tu madame ungejua nilichokipika๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ ningali bado niko huko jikoni nawaza cha kufanya ni nini mara nikamsikia Hance sebleni akiwa anasalimiana na wazazi wake nyieeeeee nyieeรจeeeeee๐Ÿ™ˆ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAISHIWA PAWA ๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "6"๐Ÿ’˜ ๐Ÿ’˜ Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance

niliombwa nipike keki na si kupika tu na kuhudhulia ni muhimu kwa sababu sherehe ilikuwa inasimamiwa na staff members wote nawote tuliombwa kuhudhulia...... nitafanya nini๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ Jordan naye kaniomba na kanisisitiza sana nisiache kufika kwenye birthday yake niende birthday ya nani๐Ÿซข๐Ÿซขndo swali lililokuwa likiniumiza akili usiku huo kabla hatujaagana na Jordan nilianza kuiangaza baiskeli yake ili niweze kumsaidia kusogea kwenye gari yake cha ajabu ni kwamba mahali pale hapakuwepo kabisa na ile baiskeli yake๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ nilianza kujiuliza Jordan katumia nini kutembelea kutoka kule parking hadi hapa ndani?!...... au ananichezea akili huyu?! Inawezekana hata haumwi miguu๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”...... kwanza hii miguu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/naishiwa-pawa-sehemu-ya-6-tarehe-ya-birthday-ya-jordan-na-ya-hance-zinafanana-kwa-hance

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi naishiwa-pawa-sehemu-ya
NAISHIWA PAWA  SEHEMU YA "2"๐Ÿ’˜ nilimpa Jordan mkono wangu  kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu
NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "2"๐Ÿ’˜ nilimpa Jordan mkono wangu kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu
  NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"๐Ÿ’˜ Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini
NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"๐Ÿ’˜ Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini
NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚   SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜  Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜ Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
NAISHIWA PAWA๐Ÿ’—  SEHEMU YA "1"๐Ÿ’ž  Ni majira ya jioni  mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani
NAISHIWA PAWA๐Ÿ’— SEHEMU YA "1"๐Ÿ’ž Ni majira ya jioni mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

757
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

668
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

585
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

488
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

429
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

411
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

382
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

174
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

147
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

113

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

โ€œThe CBF stands in solidarity with Vinรญcius Jรบnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...

REALLY LOVE* Chapter 17 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 17
@majario LIVE

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest