Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA TANO 05*
Gonga94 · Stories

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA TANO 05*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
????SEHEMU YA TANO 05*
NASEMA KWA MAMA

*****
*****

"" "" "Dada mimi naogipa kulala mwenywe... Nimestuka usingizini alafu sikuoni. Bahati yako taa ilikuwa inawaka... Ningelia mimu leo... Aliongea Mariana mdogo wake dayana..

Nilishusha pumzi na kuvuta shuka upesi kujifunika....

" "" "Heeeeee... Jamani dada hamana haya mnafanya tabia mbaya jamani.
" "" "NASEMA KWA MAMA" "" ilikuwa kauli ya Mariana huku anarudishia mlango ili anende kwa mama yake...

Kwa haaraka nilimsukuma Dayana awahi kumzuia mdogo wake ili habari zile zisije kufika kwa mama yao, kwasababu ingekuwa ni balaa lingine tena..

Dayana aliwahi na kumshika mkono mdogo wake na kuingia nae ndani kwao...
Mimi nilifunga mlango wangu upesi na kulala huku naogopa sana.. Wakati huo mashine ilikuwa bado imesimama sana pamoja na wasiwasi nilionao...
"" "Kweli hii kitu haijali hata kwenye vita inaweza kusimama tu.. Niliwaza Mwenyewe na kucheka.. Sikuwa na hofu sana kwasababu nilijua mtu na dada yake wataelewana tu... ....

******
******
"" "" Hivi Mariana utakuwa lini My young.. Sasa ulikuwa unaenda kumwambia mama mambo gani hayo..??? Au unataka nifukuzwe hapa ili uanze kulala mwenyewe ndio utafurahi eti.

Aliongea Dayana kumsihi mdogo wake aache utoto kama ule..

"" "" Basi dadaangu nisamehe jamani siwezi kurudia.. Lakini usie unaondoka bila kuniaga sawa dada Dayana..
Aliongea Mariana na kumkumbatia mdogo wake...

"" "" "Ndomaana nakupenda mdogoangu.. Kesho namuomba mama hela tukatembee mjini ukitoka shule, sawa my...
Haya lala mdogoangu...

Walikumbatiana mabinti wale wawili na kulala..

*****
*****

Asubuhi niliamka mapema sana na kuoga kisha kukaa tayari kwa kwenda kazini kuripoti kwa mkuu wa shule kuwa mimi ni mwalim mgeni niliepangiwa shuleni kwake.

Niliketi sebuleni nikimsubiri mama mwenye nyumba atoke ili nimuage..

Lakini dakika kadhaa baaadae alitoka akiwa yupo tayari kwenda kazini kwake.. Nilifurahi kupata lift ya kwenda hadi mjini...

Tulipanda gari na Safari ya kwenda mjini ilianza..

"" "" " Pole mkaka mzuri... Nashukuru jamani jana umenikumbusha jambo ambalo nilikuwa na miaka sijafanya.. Nilisikia raha ya ajabu daaahhh...
Aliongea Mama yake Dayana huku ananitazama kwa kuibia huku anaendesha gari....

" "" usijali dear.. Mimi mwenyewe umenikosha sana.. Nimeenjoy sana.. Ujue ndio mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke..
Shuleni nilikuwaga muoga na mpole sana..
Zile mbwembwe zote nilikuwa nikisikia tu story kutoka kwa wenzangu..

Ilibidi siku ya Jana nijitahidi sana ili nisije kuaibika...
Niliongea na kumshika mkono mama mwenye nyumba...

"" "" Saa yako nzuri sana.. Niliongea na kuishika ile saa.. Alishika steling ya gari kwa mkono mmoja na ule mwingine aliniachia niendelee kuishangaa saa huku anatabasam sana..

"" "Bana.. Unavituko frenk. Haya nitakununulia na wewe ya kiume nzuuri ya gharama.. Unaonekana unapenda sana saa dear...
Aliongea yule mama na kunitazama...

Tuliendelea kupiga story mingi hadi tukafika shuleni.. Alinipatia noti tatu za Elfu kumi na kuniambia zitanisaidia kwa chakula cha mchna..
Nilishuka kwenye gari na bahasha zangu mkononi na kwenda moja kwa moja hadi kwenye ofisi ya Mwalimu mkuu wa ile shule...

Niliingia ofisini na kumkuta mdada wa usafi tu ndio anahangaika na kufuta meza na kupanga vitu.. Mwalimu alikuwa bado hajafika.
Alinielekeza tu sehemu nikae ili kumsubiri....

Hazikupita dakika mbili nikiwa bado naangalia simu, yangu nilisikia harufu ya Pafyum.. Alipita Mama mmoja wa umri wa makamo na kunisalimia..

"" "" Habari za Asubuhi kijana.. Karibu sana.. Aliongea yule mama..

"" "Asante.... Niliitika na kupiga hatua kumfuata yule Mama ndani ya ofisi...

Alinionyesha kiti nikakaa na kutoa barua yangu ya kupangiwa kazi kwenye ile shule......

******
******

Upande wa pili Mama Dayana alikuwa anafikia kazini kwake. Lakini huko kazini alikuwa akifahamika kwa jina la" "" Daktari Moureen..

Alikuwa na hospitali yake kubwa kiasi fulani yenye hadhi ya kuwa hata hospitali ya wilaya kwasababu ilikuwa ikifanya hadi upauji..

Yeye alikuwa ni Daktari mkuu wa ile Hospitali.... Akiwa anaipaki gari alishangaa kuona dereva bodaboda katoka ndani ya Ofisi yake...

Alishtuka kidogo ila baadae alihisi huenda kuna kitu aliagizwa na msichana wa usafi..

Dr Moureen alipiga hatua na kwenda hadi ofisi kwake na kumkuta dada wa kazi...

"" "" Shkamoo boss.. Kuna mzigo wako huu kaleta bodaboda fulani katoka sasaivi humu ndani..
Aliongea dada aliekuwa anafanya usafi wa ofisi....

"" "hivi unaakili.. Kwahiyo hii bahasha ulishindwa kuipokelea mlangoni hadi kumruhusu dereva bodaboda kuingia hunu ndani. Ukiniletea wezi hapa nitakunyonga..
Aliongea Dokta na kuishika ile bahasha...

Dada wa usafi alitulia kimya na kutoka na mandoo yake ya kudekia baada ya kukamilisha kazi..

Dokta Moureen aliifungua ile bahasha ili kuja kilichomo ndani..
Aliingiza mkono na kutoa picha kama saba hivi..

Alizigeuza na kuzitazama ila alibaki ametumbua tu Macho kwenye zile picha...

Pembeni yake kulikuwa na ujumbe Mfupi ulioandikwa...
"" "" "Nahitaji Milioni 30 ili kukutunzia hii siri ya kwamba Daktari Tajiri na mkubwa kama wewe unatoka na kijana mdogo..
Hii kashfa ni mbaya sana.. Hadi video mliyokuwa mkifanya mapenzi kwenye ile Lodge ninayo.. Nitakutumia Whatsapp..

Nakupa siku 3 hiyo pesa ipatikane na unipigie simu sehemu ya kuja kuichukua....

Dokta alibaki anafikicha tu Macho baada ya kuona baadhi ya picha zake za uchi akiwa na Frenk kwenye ile Lodge..

ITAENDELEA.....

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA TANO 05*

????SEHEMU YA TANO 05*
NASEMA KWA MAMA

*****
*****

"" "" "Dada mimi naogipa kulala mwenywe... Nimestuka usingizini alafu sikuoni. Bahati yako taa ilikuwa inawaka... Ningelia mimu leo... Aliongea Mariana mdogo wake dayana..

Nilishusha pumzi na kuvuta shuka upesi kujifunika....

" "" "Heeeeee... Jamani dada hamana haya mnafanya tabia mbaya jamani.
" "" "NASEMA KWA MAMA" "" ilikuwa kauli ya Mariana huku anarudishia mlango ili anende kwa mama yake...

Kwa haaraka nilimsukuma Dayana awahi kumzuia mdogo wake ili habari zile zisije kufika kwa mama yao, kwasababu ingekuwa ni balaa lingine tena..

Dayana aliwahi na kumshika mkono mdogo wake na kuingia nae ndani kwao...
Mimi nilifunga mlango wangu upesi na...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nasema-kwa-mama-sehemu-ya-tano-05

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nasema-kwa-mama-sehemu-ya-tano
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

959
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

217
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

200
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

199
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

192
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

190
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

154
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

142
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

122
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

95

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest