VYOTE NDANI GONGA94
NDEFU ILA INANIKUNA SEHEMU 02 SONGA NAYO
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Safari yangu iliishia kwenye glossary moja hivi ya hapa.mtaani kwetu...hivi niliwaambia ni wapi naishi?naishi manzese sio mbali sana ila ni hapo naishi....manzese shimoni huko ndo kwetu....kama mjuavyo maeneo ya huko..hakuja poa hata kidogo..pale nilipokaa tu kwenye glossary hawakuacha kunifata wale wadau wangu na kununua bia ...hawakuacha kuniagizia gongo pia..ndio kinywaji changu pambe nikielewacho😁.
"Huwenda si mwanamke wewe haiwezekani"nilisikia sauti ngeni ya kiume ikiniongelesha.
"Ni heri ukakaa kimya kujiepusha na vurunguti langu kuliko kuingilia mtu usiyenijua kabisa ni wazi unapenda matatizo ya kujitakia wewe mtu"nilizungumza.
"Ni ajabu hii hakika"sauti za washkaji zangu zilisikika zikizungumza pale baada ya yule mkaka kunisogelea karibu kisha akachukua kopo langu la gongo na kuanza kulifakamia kama hana akili nzuri kabisa...
"Ni heri ungeomba ununuliwe bia kama hamu ilikujaa kuliko kufakamia namna hio kama gisi mwenye njaa,ama kweli nguo humstiri masikini haya karibu masikini mwenzangu nitakupa imofa ya gongo kadhaa japo sina hela ila nitajitia kwaajili yako"
"Si kujitia bali kujitoa...nimekuepusha na bia siku ya leo.....kama unajiuza nahiyaji kula usiku wa leo na wewe nitakulipa vema sana"alizungumza.
Nikabaki nikimtazama kana kwamba naelewa anachokisema ama nimekasirishwa na akisemacho 😁ila kila nikikumbuka kuhusu sasampa aliyohitaja naishiwa pawa.
Yule kaka alipoona nipo kimya nikamuona akipiga hatua na kuanza kutoka nnje...washikaji zangu wakaanza kunitolea macho ya siamini amini😁 ni wazi walifahamu mdau wao siwezi kupitwa na dili hilo kwa namna napenda ngono kuliko kula.....
Nilipogeuka nyuma .......nikaita we
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ndefu-ila-inanikuna-sehemu