NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πβ₯ β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ π©ππππ ππ πΊπππππππ ππππππππππ :: SEHEM YA 40 Joseph Akiwa Anatoa story Kuhusu yeye kujuana Na Alex Simu
"Hivyo ndo nilivyo juana Mie na Alex Mpaka Alipo nitafuta Yeye Nimsaidie kwa Ajili ya Huyu bint sikusita Naombaa Niende "
Joseph aliongea Huku anainuka Akiwa kama Mtu Mwenye Haraka Sana Na Jambo Fulani
Aizack aliwah Kuzuia "hatujamaliza Unataka Kuondoka Alex Yupo wapi?"
"Nitakuja Siku Ingine ya Kukupeleka Nilipo hifadhi mwili wake Trisha Please naomba Uniruhusu Niende nimuhimu sana Mimi kuwa Pale "
Joseph hakumjibu Aizack badala Yake Alimfata Trisha na Kumuambia kwa Ukaribu sana Huku kamkazia Macho
"SΓ wa"
Trisha alikubali Na Kumruhusu joseph aende
Joseph alitoka Haraka Na Kupiga Simu
"Unasema Kapotea ? ,,,Kuna Tatizo Kidogo lilitokea Nakuja Tutaongea Vizur Jitahid apatikane " Alikata Simu Haraka Alienda Kuchukua Usafir Kuwah Uwanja W Ndege
****
" Ilikuwaje Mpaka Akapotea"
"Kaamka Anasema anamtaka Trisha Amekumbuka Kila kitu sasa ameondoka Hapa "
"Shit Ita Wote Haraka Atafutwe"
Joseph baada Ya Kufika Morocco Taarifa alizopata Alex ametoroka Na Hajulikani Alipo
Zoezi la Kumtafuta Alex liliendelea Kila Mahala Lakini hawakufanikiwa Kumpata Alex
Siku ya Pili asubuh Alex Alirudi Katika Hospital ile Ile Aliyotibiwa Joseph Alipigiwa Simu
Akaenda Kumfata
"Alex mi nafkir Bora Ungetulia Kwanza Kule Bado Kumbu Kumbu zako Zipo "
"Naomba Niende kumuona Trisha Tafadhali "
Alex aliomba sana Joseph alijadiliana Na Carlos wakakubaliana Wampeleke Tu KWA Trisha
***
"Hivi Unajua Yule Demu anakupenda sana"
"Umeanza George Yupi Huyo camera zako zimemuona"
"Yule Ray Yule Unajua Yule Mtoto anakuzimia Oa Banaa"
"Hahahah George bana Acha Utoto Yaan Yule Ray yule Anipende mimi Aah"
Aizack Na George Walikua Wanapiga Story Za Hapa Na Pale
Aizack Swala la Kuambiwa Ray anampenda Alianza Kumuangalia KWA Macho Mengine Tofauti Kabisa
"Ray Naomba Uwe Mke wangu Please"
Aizack Siku Moja Alimwambia Ray
Ray Hakuamin Kabisa Alihisi Aizack anamuongopea
"Aizack"
"Yes"
"Unanitania"
"Hapana Hapana Ray Niko Serious Kabisa "
Ray hakujibu alimkumbatia Aizack na Kumkisi Aizack alimvisha Pete "Umekua Sasa Mchumba wangu"
"Ndo Kitu Ambacho nimekisubiri KWA Muda Sanaa"
Ray Alienda Moja KWA Moja Kwa Trisha Baada Ya Kutoka KWA Aizack alopovishwa Pete
"Hongera Shoga angu Umeweza Kuushinda Moyo wa Aizack "
"Hata Siamin Ujue"
"Ndo uamin SΓ sa Tena Fanya Haraka Ndoa Ifungwe Hiyo "
"Usijali Alley Kalala"
"Katoka Na DaT hapa Mda Sio Mrefu Subiri kwanza Nakuja Niende Hapo Dukani Sawa Ray"
Trisha Alitoka Na Kumuacha Ray Ndani
"We Nani"
Baada Ya Kufungua Geti Alikuta Mtu kasimama Kamgeuzia Mgongo
Taratibu Alisogea Na Kusimama Hatua Tatu Mbele Ya mtu huyo
"Nani"Aliuliza Tena Baada Ya Kuona Hajibiwi
Mtu huyo Aligeuka Taratibu na Kumtazama Macho ya Trisha Aliiona Sura Ya Alex Baada Ya Muda Mrefu Sanaa Kupita
Alijikuta anaangusha Simu yake Chini Hakua Na Nguvu hata Za Kushika Kitu
"Unaendelea Vizur T"
Alex Alimuuliza,,Trisha alihisi Ni Taswira Ya Alex Imejitokeza
"Sura Yako Inaonekana Vizur Bila Shaka Unaendelea Vizur" Alex Aliongezea
"Kwa_kwa kwan We_we Hauendelei Vizuri" Trisha Aliuliza Kwa Sauti ya Kubabaika Hakua Na Uhakika Ni Ndoto au Kweli Alex Yupo mbele Yake
"Aah Kiukwel mimi siendelei Vizuri Dunia Yote Ipo Kimya Sana T Bila Wewe sijiskii kabisa Kama Watu Wanaishi Karibu yangu"
Alex Alisogea Na Kushika Mikono ya Trisha
"Alex Ni Alex Yaan Wewe Kweli ni Alex Au Please Naomba Usiondoke hata Kama Ni Ndoto Alex Tafadhali mwanao Anatakiwa Kukuona Pia"
"Unamaanisha Trisha Ni Kweli Ulikua Mjamzito"
"Alex Wewe Hukufa"
"Tazama Hata makovu ya Risasi Tafadhali Ongozana Na mimi T "
"AHADI Yako Utaikamilisha Kweli Alex ulisema hata Baada ya Kifo Bado Tutakua Wote Kweli Umeniijia?"
"Najua Kwamba Nmechelewa sana kuja Trisha lakini Nmekuja Twende Tukafunge Ndoa Yetu ambayo Hatukuikakilisha "
Ray Alitoka Nje Na Kukuta Mazungumzo hayo Hakuamin Anaemuona Hapo
Alikimbia Haraka Mpaka KWA Alex
"Ni wewe Alex "
Ray hakushangaa Sana Na aaliamini Ndie Alex KWA Sababu Aizack Alimwambia Kuhisi Alex Yupo hai Bado
"Unamuona Wewe Pia " Trishaa ndio akili Ikakaa Sawa Kuwa Ile Si Ndoto Haraka Aliruka Na Kumkumbatia Alex KWA Nguvu "Kwanini Umechukua Mda Mrefu sana Kwanini Alex"
"Siku Zote Unaongea Sana T "
"Kwahy Ujapenda "
"Aah Sijachukia hata Hivyo
Waliingia Ndani. Alex Alimuelezea Trisha Kila Kilichotokea Ile Siku Na Kusaidiwa Na Joseph pamoja Na Carlos na wao ndio walimleta ILa walibak Nyuma Kabisa
Hakuna Mtu alieamini Ujio wa Alex na Walipanga ibaki Siri yao Kati ya Aizack Na Ray daT na George Tu Yasike Serikalin Kuwa Alex Yupo Hai Dunia itabaki inaamin Alex Alishakufa Zamani Wakati Alex mpya anaishi na Familia Yake
Trisha Na Alex, Aizack na Ray Walifunga Ndoa Siku moja Ndoa Takatifu Maisha Yao Yalikua zaidi Ya Familia na Ndg KILA Mtu Alisahau Yaliyotokea Miaka Mingi Iliyopita
MWISHO ...
All the best
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni