Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

PENZI LA MHALIFU 29
Gonga94 ยท Stories

PENZI LA MHALIFU 29

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
PENZI LA MHALIFU 29

Cyborg hakutaka kuona aibu kwani alimsogelea mganga nakuanza kufanya nae mapenzi huku mnala wake ukiwa umelala ila baada ya mda mnala ulianza kusisima na baadae ulikuwa imara kama unavyokuwa siku zote.

Mimi mda huo nilikuwa nikiwatazama na baadae baada ya kuona ameshasimamisha nilisogea karibu yao nakumvuta Cyborg ili asiendelea kufanya mapenzi na bibi mganga.
"Wewe binti mwache amalizie lasivyo nitamrudisha alivyokuwa" Bibi aliongea.
"Ni kweli Malaika niache tu nimalizie, bibi yupo sawa" Cyborg aliongea huku akijirudisha kwenye kifua cha mganga kwa ajili ya kuendelea na mtanange.

Nahisi ata yeye alinogewa hivyo nilikasilika nakuamua kutoka nje nakuwaacha wenyewe wakiendelea kufanya mapenzi.
Nikiwa nje nilikuwa nikisikia sauti za mganga akipiga kelele na ilionekana amenogewa na utamu aliokuwa akipatiwa na Cyborg.

Cyborg na mganga walimaliza kufanya mapenzi na baadae Cyborg alimlipa na kutoka nje.

Alinikuta nikiwa nimenuna balaa.
"Malaika ina maana umekasirika au!?" aliniuliza ila mimi sikutaka kumjibu zaidi ya kuongoza njia kuelekea nyumbani.

Tulifika nyumbani na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba chetu, Cyborg alianza kunifanyia utundu wake wa kunipapasa ili aweze Kunizagamua ila niliamua kumkataza sababu nilikuwa bado na hasira za yeye kufanya mapenzi na mganga.
"Huwezi ukanichanganya mimi na yule mzee kwanza nahisi ana magonjwa" niliongea ila Cyborg hakutaka kunielewa kabisa.
"Nilikumisi sana Malaika wangu, niache basi nikuonje mke wangu ata kidogo tu nione kama kweli dawa imefanya kazi" Cyborg aliongea huku akiendelea kufanya yake ya kunitekenya na kunipapasa kila sehemu za mwili wangu.

Nilijikuta na mimi nikianza kumpa ushirikiano na sikujali kama ametoka kufanya mapenzi na bibi, haikupita mda Cyborg alisimamisha na hakuwa na tatizo tena kama alilokuwa nalo siku kadhaa zilizopita.

Hiyo siku sitaisahau kwani Cyborg alipiga show kama vile ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kufanya mapenzi, kuna mda nilikuwa nikihisi amekitoa kizazi changu kwa moto aliokuwa akinipelekea.

Baadae tulimaliza kufanya mapenzi na wote tulienda kuoga hapo ndipo akili zilipoanza kunijia vizuri.

Nilijiuliza vip kama bibi aliyefanya mapenzi na Cyborg ni mgonjwa ina maana na mimi sinitakuwa nimeyapata!? niliwaza na Cyborg aliona jinsi nilivyokuwa sina raha.
"Malaika unawaza nini!?" Cyborg aliamua kuniuliza.
"Huyo mke wako bibi uliyefanya nae mapenzi nahisi anaweza kuwa na magonjwa na wewe ulivyomjinga ukashindwa kujizuia"
Sikutaka kuificha hofu niliyokuwa nayo mbele ya Cyborg.
"Usiwe na wasiwasi Malaika yule yupo sawa tu hana magonjwa na mimi nilichokuwa nakitaka nikupona tu na sio kwamba nilipenda kufanya nae mapenzi ila mtu aliyenifanyia ivi natamani kumjua"
Cyborg aliniambia lakini bado nilienda kuwa na hofu kidogo.

Nilimwambia tutaenda kupima afya zetu baada ya siku kadhaa na Cyborg hakunikatilia.

Siku kadhaa zilipita na siku hiyo Afande Joel alinifata na kuniuliza.
"Bado tu hutaki kufata kile nilichokwambia au umeridhika na mme wako kutokuwa na uwezo wa kusex na wewe!?" Afande Joel aliogea na kuniuliza kwa dharau na mimi nilitamani kumjibu kuwa Cyborg ameshapona ila niliona anaweza kwenda kumloga kwa mara nyingine tena.
"Hayakuhusu mambo yangu Afande Joel na lazima nipelekee taarifa hizi kwa mkuu kwani unataka kunifanya nisiwe naishi hapa kwa amani pamoja na kufanya kazi kama inavyotakiwa" nilimpiga mkwala Afande Joel.
"Basi yaishe usifikie huko"
Baada ya kumtishia kuwa nitapeleka taarifa kwa mkuu wetu Afande Joel aliamua kujishusha na aliahidi hatanisumbua tena kuanzia siku hiyo.

Afande Joel aliniambia pia ataenda kwa mganga wake amwambie atengue uchawi aliomtupia Cyborg bira kujua kama tayari Cyborg wangu ameshapona.

Sikutaka kuendelea kumsikiliza zaidi ya kuendelea na mambo yangu.

Kwakuwa nilikuwa bado simwamini yule bibi aliyefanya mapenzi na Cyborg siku hiyo nilishikwa na kikohozi na koo langu lilikauka kwa mda.

Nilinyenyuka na kwenda kunywa maji lakini bado koo liliendelea kuwa kavu.
"Mmmmmh isije kuwa tayari Cyborg kaniambukiza virusi vya ukimwi na magonjwa mengine!?" niliongea mwenyewe sababu nilikuwa bado na wasiwasi mkubwa mno na afya yangu.

Siku iliyofata kwakuwa ilikuwa ni siku ya jumamosi nilimwambia Cyborg twende tukapime afya zetu na bahati nzuri Cyborg alikubali.

Tulienda na vipimo vilichukuliwa huku nikiwa kwenye wasiwasi na ukizingatia nilikuwa naumwa kikohozi kwa wakati huo ndiyo kabisa nilianza kuhisi kuwa huenda nimeshaathirika.

"Malaika mbona una wasiwasi hivyo au ulitembea na mtu mwenye magonjwa ndiyo maana unawaza kila mda!?"Cyborg aliniuliza sababu aliona wasiwasi niliokuwa nayo.
"Hujui tu huyo mzee wako uliyefanya nae mapenzi ndiyo ananifanya mimi niwe na plesha, nahisi hakuwa salama yule"
Licha ya mimi kuonyesha wasiwasi wangu ila Cyborg alinicheka "Hahahahaha, mimi nimeshakwambia yule bibi alikuwa mzima ila unahofu tu na....... kabra hajaendelea kuongea tuliitwa kwa ajili ya kwenda kupokea majibu yetu.

Kumbe ulikuwa ni wasiwasi wangu kwani majibu yalionyesha hatuna tatizo lolote lile na ndipo nilipoamini yale maneno wasemayo kuwa mda mwingine binadamu hofu inaweza kumuondoa mapema duniani.

Baada ya kupatiwa majibu tuliondoka na kurudi nyumbani na kumkuta dada wa kazi akiwa bize na mtoto, nilibaki nikimtazama mwanangu nakukiri wazi kuwa simpatii upendo unaostahili nikiwa kama mama na hiyo ni kutokana na majukumu ya kazi niliyokuwa nayo na ubize mwingi hivyo siku hiyo niliamua kushinda nikiwa na mwanangu.

Siku zilipita na Cyborg siku hiyo alikuwa kazini kwao huku pembeni yake kukiwa na kijana mwingine waliyekuwa wakifanya kazi pamoja na alionekana ni mtu mwenye mawazo ya hali ya juu.
"Oya Mika unashida gani ndugu yangu?" Cyborg aliamua kumuuliza.
"Demu niliyenae ameanza kunizengua kuna kila dalili anataka tuachane" Mika aliongea.
"Kwani tatizo nini au humlizishi jamaa yangu mpaka anataka ajikatae?" Cyborg alimuuliza.
"Aaaah wapi mpaka kelele huwa anapiga nakuhusu pesa za matumizi huwa nampa kwa wakati" Mika aliamua kumjibu na Cyborg alimwambia mwanamke kupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi haimaanishi kwamba ndiyo anamlizisha....ITAENDELEA.
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 29

PENZI LA MHALIFU 29

Cyborg hakutaka kuona aibu kwani alimsogelea mganga nakuanza kufanya nae mapenzi huku mnala wake ukiwa umelala ila baada ya mda mnala ulianza kusisima na baadae ulikuwa imara kama unavyokuwa siku zote.

Mimi mda huo nilikuwa nikiwatazama na baadae baada ya kuona ameshasimamisha nilisogea karibu yao nakumvuta Cyborg ili asiendelea kufanya mapenzi na bibi mganga.
"Wewe binti mwache amalizie lasivyo nitamrudisha alivyokuwa" Bibi aliongea.
"Ni kweli Malaika niache tu nimalizie, bibi yupo sawa" Cyborg aliongea huku akijirudisha kwenye kifua cha mganga kwa ajili ya kuendelea na mtanange.

Nahisi ata yeye alinogewa hivyo nilikasilika nakuamua kutoka nje nakuwaacha wenyewe wakiendelea kufanya mapenzi.
Nikiwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-29

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 37
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.9K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.53K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.93K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.65K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest