Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

PENZI LA MHALIFU 41

30th Nov, -0001 Views 77

PENZI LA MHALIFU 41

Nilishuhudia maajabu mengine kutoka kwa mtoto wa mbunge kwani alitoa madawa ya kulevya na kuanza kuyavuta mbele yangu hapo ndipo nilipopata jibu la kwanini alikuwa akiongea maneno ya aina ile na matusi ya kila aina ambayo mengine siwezi kuyataja.
"Sahau kabisa huwezi kunizagamua na ukiendelea kunilazimisha nitakupiga kama mtoto mdogo" nilimwambia sababu kwa jinsi nilivyomwangalia hakuwa na uwezo wa kupambana na mimi.

Mtoto wa Mbunge alinisogelea na kushika titi langu la kushoto, na mimi nilianza kumshushia kipigo na ukizingatia alikuwa ametumia madawa ya kulevya, hakuwa na uwezo wa kupambana na mimi.

Baadae nilipata upenyo na kuamua kuondoka nikimuacha akiugulia maumivu huku akisema kuwa atakuja kunifanyia kitu kibaya, sikutaka kujali kile alichokuwa akikisema.

Kipindi natoka nilimuona Cyborg akiwa amefika na bodaboda, alishuka na kunifata.
"Malikia kimetokea nini au tayari ameshakunyandua niende nikaue mtu mimi!?" Aliniuliza huku akijaribu kuniangalia aone kama mwili wangu utakuwa na mvulugano wowote ule aliona haitoshi alisogeza pua yake na kuanza kuninusa.

"Hamna mtu aliyefanya sex na mimi, nipo sawa tu twende nyumbani" nilimwambia lakini Cyborg alitaka aingie ndani ya nyumba hiyo ili amfundishe adabu mtu aliyetaka kunizagamua ila sikutaka kumruhusu.

Kutokana na mawazo niliyokuwa nayo sikuwa na habari ata ya kurudi kituoni.

Niliondoka nikiwa na Cyborg na baada ya kufika nyumbani Cyborg alitaka kuhakikisha kama kweli sijafanya mapenzi na mtu yoyote yule.
Alinipeleka chumbani na tulivyofika huko alianza kunishughulikia na baada ya kumaliza Cyborg alikuwa na uhakika kuwa sijafanya mapenzi na mwanaume yoyote yule.

Niliendelea na maisha na mtoto wa mbunge hakuacha kunisumbua aliendelea kumtumia mkuu wangu kwa ajili ya kukamilisha mipango yake.

Siku hiyo niliamua kumfata ofisini mkuu huku nikiwa na jambo la kumwambia.

Baada ya kufika nilimwambia kuwa nafikiria kuja kuacha kazi na aliponiuliza sababu nilimwambia ni kutokana na usumbufu ninao upata kutoka kwa wanaume akiwemo mtoto wa mbunge.
"Kwahiyo Angel ndiyo umefikia huko kutaka kuacha kazi!?" aliamua kuniuliza.
"Sababu sifanyi kazi kwa amani hali inayonipotezea umakini kwenye kazi yangu"

Baada ya kumwambia alinisisitizia nisije kujaribu kuacha kazi.

Tangu siku hiyo hakuwahi kuwa upande wa mtoto wa mbunge na baadala yake alikuwa upande wangu.

Upande wa Cyborg biashara yake ilizidi kukua siku hadi siku na kwakuwa alikuwa akiuza viatu vingi vya kike basi wateja wake wengi walikuwa ni wanawake, siku hiyo tukiwa nyumbani alipigiwa simu na sauti iliyokuwa ikisikika ni sauti ya mwanamke.

Nilimwacha aongee na baada ya kumaliza niliamua kumuuliza.
"Nani huyo uliyekuwa ukiongea nani!?"
"Mteja wangu na amenizoea kweli Malaika ila usiwe na wasiwasi sababu siwezi kukusaliti kwa kufanya nae mapenzi" Cyborg aliongea na mimi sikutaka kumuuliza zaidi nilinyenyuka kwa ajili ya kwenda jikoni lakini kanga yangu ilianguka chini kwa bahati mbaya.

Kitendo cha Cyborg kuona nguo yangu ya ndani kilimfanya ashikwe na hamu ya kufanya mapenzi niliiokota ili nijifunge ila Cyborg alinizuia nakuniuliza.
"Unataka kwenda wapi Malaika!?"
"Naenda jikoni"
"Nipe kidogo Malaika stimu zimeshanipanda hapa naomba nikuzagamue mara moja tu"
"Mmmh tutafanya usiku sio sasa ivi" niliongea lakini Cyborg hakutaka kunipa nafasi kabisa.

Alinivuta na kunipeleka kitandani kisha baada ya hapo alianza kuzipandisha hisia zangu na mimi sikutaka kuwa mzembe mbele ya baby wangu.
Tulipeana ushirikiano na tukiwa tunaendelea na mizagamuo tulisikia sauti ya binti wetu wa kazi akituita.

Nilimwambia Cyborg anipe nafasi ya kwenda kumsikiliza lakini hakutaka kuelewa kwa mda huo kwani utamu ulikuwa umeshafika kunako.
"Malaika namalizia, wewe mtamu malaika..." aliendelea kuongea maneno ya kila aina huku mda huo akiwa kaniweka style ya mbuzi kagoma kwenda na maneno yake binti wetu wa kazi alikuwa akiyasikia.

Ilibidi nimuache mpaka pale alipofunga goli na baada ya kupiga bao, alichukua kitenge changu nakuanza kunifuta na baadae nilishuhudia mnara wake ukisimama kwa mara nyingine.

ilinibidi nijiongeze sababu niliona tutatumia mda mrefu.
haraka niliamua kujiongeza kwa kwenda kuchukua kitenge kingine na kujifunga ili nikamsikilize binti yangu wa kazi.
"Malaika ufanye haraka nakusubiri huku uje tuendelee kunyanduana" aliniambia huku akiendelea kuushika shika mpini wake na mimi nilitoka chumbani na kumuacha mwenyewe.

Ile nafika sebleni nilikutana na aliyewahi kuwa mfanyakazi wangu wa ndani akiwa na mtoto mdogo.

Aliponiona alinisalimia lakini sikuitikia salamu kwani bado nilikuwa na hasira nae kwa kuchepuka na Cyborg miaka ya nyuma.
"Kimekuleta nini hapa!?" nilimuuliza huku nikiwa na sura ya ukauzu.
"Naomba unisamehe dada nimekuja hapa kwa ajili ya mtoto niliyenae" aliniambia na mimi niliamua kumuuliza.
"Mtoto kwani kafanyaje!?"
"Huyu ni mtoto wa kaka Cyborg" mfanyakazi wangu aliongea na alidai kuwa aliondoka na ujauzito wa Cyborg kipindi kile.......ITAENDELEA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 41  >>> https://gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-41



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war

#love #instagood #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in


Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 12
PENZI LA MHALIFU 12
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in