ππ‘πππ¦__; ππππππ πππππ πππππβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ π©ππππ ππ πΊπππππππ SEHEM YA 01
ANZA NAYO
Ni Jumapili Siku Tulivu sana Majira ya Sakumi na Mbili Jioni kijana Sky Akiwa Jiani Kuelekea Nyumbn kwa mpenz wake
Sky hakumwambia Mpenz Wake kama Anaenda Jioni ile Alitaka iwe Surprise Baada Ya Kufika Maeneo ya Tabata Alipak gari mbalii Kidogo Kisha akatembea Uku akitabasam Kabla Hata Haijafika Eneo Lile
Baada ya Kufika Aliona Geti limerudishwa Tu Ikawa Rahis Kwake kuingia Bila kusumbua Wenyeji
Sky na Mary Ni Wapenz wa Muda SΓ sa Walikutana Chuo Wote walisomea Udaktar Na Kumaliza Mwaka Mmoja Uliopita sΓ sa Wakiw na Mwaka Mmoja Tu tangu waajiliwe Sky Siku ya Leo aliamua Kumsuprs marry KWA Kumvisha Pete ya Uchumba Na Amuombe Kumuoa Aliamua Kwenda Bila Hata Kumpa Taarifa
Baada Ya Kusukuma Geti Sky Alichokiona Kwanza Hakuyaamin Macho yake Ilikua Gafla Sana Hata Marry alishtuka Ni Baada Ya Kumkuta Akiwa na Baba Mtu mzima Wamepakatana Huku wakipeana Mabusu ya Maana Sky Ikabidi asogee Karibu Kuhakiki anacho kiona "Marry What's Doing??(Marry Unafanya Nini)"
"Ndo Nini SΓ sa Kuingia KWA Watu bila Hata Hodi" aliuliza Huku akionesha Kuchukizwa sana Na Kile Kitendo "Afadhar Umekuja Muda Muafaka Huyu ndio mume wangu mtarajiwa" Marry aliendelea Kumpa Habar Sky kana Kwamba Sio Mpenz Wake "Marry Mbona skuelew " "Ambacho huelewi Nini Sky Mimi nawew Ilikua Enzi zile Za Utoto now KILA Mtu ajitafute Hayaa Unaweza Kwenda mimi nawew Tumeshamaliza" Sky alishuka Chini Na Magoti Na Kushika Miguu ya Marry Akilia na Kuomba msamaha "Marry Kama Kuna Sehem Nmeteleza Mpnz Wangu Naomba ππ Unisamehe Kumbuka Tulipo TokaπOna Mwenzio Nmekuja Kukuvesha Pete hiii Tafadhali Naomba Upokee Uchumba Wangu Marry Siezi Mie Bila Wewe Marry Plzz My Girl"ππ "Oya Dogo kwani Husikiii Mwanamke hakutak I Mwanaume unalia Lia Vipi Embu Nenda Usituharibie Ck Aiseee" Hayo yalikua Maneno ya Sponsor wa marry ambae Alikua Kimyaa Muda Mwingi Lkn Sky Ndo kama Alikua Katiwa Msumali Upyaa Alizidi Kuomba Na Kulia Hapo Ikabidi Mwanaume wa Marry amakokote Mpk Nje ya Geti Na Kumsukuma Nje Sky hakujari alilia Na Kuomba Sana Msamaha kama Yeye ndo kafumaniwa Marry alimfata na kuanza Kumtokomeza Maneno Bila Kujali
Wakati Yote Yakiendelea Hapo Nje Kuna Dada Alikua Pembeni akiangalia Iyo Drama Nzima Alimuonea Huruma Sana Sky Pale Chini Mwisho Marry Alifunga Geti na Kurudi Ndani Lkn Sky Hata nguvu za kuinuka Hakua Nazo Akiwa Kainama Anajilila Akahisi Kashikwa Mkono Akainua Uso na Kukutana Uso na Mwanadada Akiwa anatabasamβΊοΈ
Huuu ni Mwanzo Ukisoma Tafadhali Like Comment na share Kunipa support Asantee π
ITAENDELEA...............
ππ‘πππ¦__; ππππππ πππππ πππππβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
π©ππππ ππ πΊπππππππ
SEHEM YA 02
SONGA......
Sky Alishikwa Mkono na Mwanadada ambae Hataa Hajawah Kumuona wala hamtambui Dada Huyo Alikua anatabasam kama Hajari Hali ya Sky Wala Machozi yake
"Kwahy huwezi Kunyenyuka Hapo mpk nikibebe Au??" Dada Uyo aliuliza sky Ndo kama Alizinduka sΓ sa Alipozama "Ww nani" Ilibidi aache Kulia Tena aulize "Unainukaa au Utabak Unaniuliza Uliza Hayo Maswali Embu Inuka Bana" Heee Sky Akabak Hajui Tena ainuke Akae Au Aulize Haelewi Huyu nani na Kwanini anamuongelesha Kama Mtu anaemjua Sana Akili Yake Ikamwambia Itakua Walishakutana Mahali ILa Kamsahau lbd Au aliwah kumtibu Mana Anasaidia Watu Wengi sana Ilibidi ainuke Pale Chini Yule Dada akaita Boda Sky akazidi Kushangaa Hata La Kusema Akakosa "Unaanza Kukaa Au Nikae Mimi" Mwanadada Akauliza "Tunaenda wapi" Ikabidi Sky Aulize "Nakupeleka Sehem ambayo Hautalia Wala Kuhuzunika Nakupeleka Mbali na Hapa Unakaa Au Tunaendelea Kubishana??" KWA Upole Hakua Hata anajua Cha Kufanya KWA Wakat Huo Sky Alipanda Kwenye piki Piki asijue Hata Lipi ni Lipi KWA Wakat Uwo akili yake Iliacha Kufanya Kazi KWA Muda Yule Dada Akamuelekeza Boda Mitaa ya Kwenda Na Wakafika Mitaa Ilionekana Ni Uswahilini Kidogo Wakafika Kwenye Nyumba Ya Kawaida Dada Yule akalipa akamshika Mkono sky Na Wakaingia Ndani Sky Alikua anafata Tu Hajui Lipi ni Lipi na Kwanini Anaenda Uko
Dada Huyu ambae Hata Mimi ckumjua Ni nani KWA Wakat Huo Alikua Na Chumba Kimoja Kapanga Uswahilini Tu Chumba chake ndani Kipo vzr Yaan Kitanda sofa za Kisasa Tv Na KILA Kitu alijitosha Kw Kiasi chake Alikua Bint wa Miaka 26 Tu
"karibu Hapa Ndo napowwka Fuvu langu Mwaya" Sky Alijikuta anatabasam Mana Huyo dada anaongea kama Watu wanaojuana Mda Mrefu Kumbe wap "Heee Umetabasam Haya Nenda Kaoge KWanza Uje Hapa Alafu Nijitambulishe Usije Hisi Mimi Chinja Chinja Buree" yule Dada aliongezea
Sky akaoneshwa Pa Kuongea Bafu Lipo Nje Ya Nyumba "Hee Mbona wamejazana Hvyo mlangoni Pa Kuongea Napita wapi" Sky Baada ya Kuona Wamama Wamekaa Karibu kabisa Na Mlango wa Bafu Ikabidi Aulize "We waluke Luke hapo kaoge Watakupisha Wenyew"
"mmmh Hapana Siwezi" " Hee Kwahy Unataka Kulala Hvyo hvyo BASI Subir watoke wakiingia Kulala We Utaenda Kuoga" "Kwani Nalala Hapa" "Unaogopa Au" "mh"
Hayo yalikua Maongez ya sky na Dada Huyo Alikua Mcheshi na Muongeaj Kiasi Kwamba Hata Sky alikuta anamzoe na Kuona Kama Wanaojuana Tu
Walipiga sana Stor Mpk sky Alijikuta anasahau Hata Yaliotokea Mda Mchache Uliopita Mwanadada Alikua na Stor Nyingi za Mtaan za Kuchekesha Mambo ya Uswahilini Yote akamuhadisia mpk sky akapitiwa Usingiz bila Hata Kwenda Kuoga Mwanadada Akamlaza Vizur "Maskin kaka wa watu Handsome mwenyew Afu anakatiliwa Dunia Ya Mapenz Inakiza Sana Mapenz Ni Ujinga Ambao Shule Yake Haijapatikana Ooppsss Ni UJINGA tuπ€" Mwanadada Alijiongelea Uku akimtazama Usoni Sky Wakat Huo Sky Akiwa Kalala Hana Analojua
ITAENDELEA.......
Soma mpaka mwisho wa simulizi kwa kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni