Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
19 views
VYOTE NDANI GONGA94
Thierry Henry kuhusu Rayan Cherki🗣;
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Thierry Henry kuhusu Rayan Cherki🗣; "Kusema Kweli sijawahi kumuona mchezaji yeyote katika vitabu vyangu vya historia anayekokota mpira kwa kasi kwa miguu yote miwili kwa uwiano sawa "
..
..
Nakazia tu kuwa Hapa Pep Guardiola kapata mchezaji ...hii ni mali sana ...Jamaa anascan chap mpaka hata mtazamaji unachanganyikiwa ..
Anatumia miguu yote miwili ...akitumia Kushoto unasema huyu ni left footed ,na akitumia kulia unasema huyu ni right footed 🙌🙌🙌🔥..
Huyu wao Ufaransa wakati anakua walikuwa wanamuita "The New Lionel Messi" ni kutoka na uwezo wake wa Kudribble .
Awa Ndiyo wachezaji wa Pep Guardiola ...na nasema kuwa Erling Haaland atafanya sana Tap-In kwa pasi za huyu Fundi .
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza...
𝗜𝗦𝗟𝗔 𝗠𝗨𝗨𝗭𝗔 𝗠𝗧𝗜𝗡𝗗𝗜 *1 - - - - - 5* SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Sitaki kuamini siku ya leo unaenda kula nyama choma kwenye lile soko la usiku.....kuna namna nahisi kama wanachoma nyama ya Mbwa..." Henry aliongea.
"Nyama ni nyama tu kikubwa iwe imeiva acha kutengeneza taharuki masikioni mwangu" Levi aliongea huku akizidisha kutembe...
📰🎉🔥Mwandishi wa nyimbo maarufu za Bollywood, Sameer Anjaan, amefichua siri ya kuhuzunisha kuhusu jinsi muigizaji Salman Khan alivyokuwa akiguswa na wimbo wa filamu ya Tere Naam (2003) baada ya kuachana na Aishwarya Rai.
Sameer alieleza kwamba kabla ya kurekodi wimbo huo, Salman alikuwa akimpigia simu mtunzi Himesh Reshammiya, akimwomba a...
Simulizi : Mke Wangu Nusu Jini, Nusu Mtu Sehemu Ya 2 IMEANDIKWA NA : ALLY MBETU #ILIPOISHIA Nilipata wakati mgumu sana kuwaza kuhusu sambusa, Munil aliniambia amezifuata yeye lakini kusema ule ukweli hakuzileta
yeye na wala hazikuletwa na mhudumu wa baa ile. Nilinyamaza tu lakini akili ikiendelea kuchangamka kuwaza. "Baba," alin...
Thierry Henry kuhusu Rayan Cherki🗣; "Kusema Kweli sijawahi kumuona mchezaji yeyote katika vitabu vyangu vya historia anayekokota mpira kwa kasi kwa miguu yote miwili kwa uwiano sawa "
..
..
Nakazia tu kuwa Hapa Pep Guardiola kapata mchezaji ...hii ni mali sana ...Jamaa anascan chap mpaka hata mtazamaji unachanganyikiwa ..
Anatumia miguu yote miwili ...akitumia Kushoto unasema huyu ni left footed ,na akitumia kulia unasema huyu ni right footed 🙌🙌🙌🔥..
Huyu wao Ufaransa wakati anakua walikuwa wanamuita "The New Lionel Messi" ni kutoka na uwezo wake wa Kudribble .
Awa Ndiyo wachezaji wa Pep Guardiola ...na nasema kuwa Erling Haaland atafanya sana Tap-In kwa pasi za...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/thierry-henry-kuhusu-rayan-cherki
Maoni