Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
02 Jan 2026
548 views
VYOTE NDANI GONGA94
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 17
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ENDELEA.......
Basi Mfalme alitoa amri Mtabiri Mkuu atolewe gerezani mara baada ya harusi yetu kukamilika.
Sikuelewa kama nimefanya jambo jema au nimeharibu maana watu walikuwa wakinong'ona.
Nilikuwa na uwezo wa kuomba watu wa ukoo wangu wapatiwe dhahabu lakini sikutaka kufanya hivyo kwa sababu Mtabiri Mkuu aliingia matatizoni kwa sababu yangu. Kama si yeye kunichagua nilipokuwa gerezani sidhani kama leo hii ningekuwa Ikulu.
Hakuna jambo lisilo na mwisho hatimaye harusi yetu ilimalizika.
Watu wa ukoo wangu walimshukuru Mfalme kwa kumpatia zawadi ya pombe.
Yeye pia aliwashukuru kwa kuwapatia vipande vya dhahabu kila mmoja.
Kwa kuwa sherehe ilikuwa imemalizika hawakukaa waliondoka.
Usiku wangu na wa Mfalme ulikuwa ni wa kipekee....pombe iliwekwa mezani kisha tukaanza kulewa kidogo kidogo.
"Ulijifikiria nini kumpatia farasi wako jina langu hii inaniuma sana " Nilijikuta ni kikumbuka matendo yake ya zamani.
"Naomba unisamehe, usiliweke jambo hili kichwani...."
Basi Mfalme alinibembeleza kwa kuninyandua, mmmh Mimi huyu nilisahau hasira zangu.
Kulivyo pambazuka asubuhi ilikuwa ni siku nyingine, Mfalme alirudi malangoni kwake.
Baadhi ya Mawaziri walikuja kunipongeza kwa kuwa mke wa pili wa Mfalme.
Malkia Ada alikuja pia, iliwalazimu Mawaziri wote waondoke.
"Ulikuwa na haja gani ya kuomba Mtabiri Mkuu atolewe gerezani?...wewe na ukoo wako ni masikini kabisa wa kutupwa kwanini usingeomba mtajirishwe na si kuhangaika na mtu mwenye anaweza kuletewa taarifa na miungu"
"Nisamehe kwa uchaguzi niliofanya, lakini watu wa ukoo wangu wamezoea umasikini ukilinganisha na Mtabiri Mkuu hajazoea maisha ya mateso na ndio maana niliona ni sahihi kwangu Mimi kufanya huo uchaguzi"
"Nguruwe pori wewe, kwanini usiseme tu ukweli kuwa una jambo lako na Mtabiri Mkuu. Nyie wawili kuna kitu mnataka kufanya sitaruhusu hilo jambo litokee "
"Jambo lipi tena mkwe?"
"Mkwee hapana usiniite mkwe nasikia kizungu zungu " Malkia Ada ana mambo aisee.
Nilijikuta ni kikosa cha kusema, alinisomea maneno mengi ya kuchosha akili yangu kisha akaondoka.
Sijakaa sawa Malkia Shamsa aliingia, harufu ya marashi yake ilinivuruga, nilijikuta ni kitapika ๐คฎ..
49 MPAKA 50 ๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatili...
Basi Mfalme alitoa amri Mtabiri Mkuu atolewe gerezani mara baada ya harusi yetu kukamilika.
Sikuelewa kama nimefanya jambo jema au nimeharibu maana watu walikuwa wakinong'ona.
Nilikuwa na uwezo wa kuomba watu wa ukoo wangu wapatiwe dhahabu lakini sikutaka kufanya hivyo kwa sababu Mtabiri Mkuu aliingia matatizoni kwa sababu yangu. Kama si yeye kunichagua nilipokuwa gerezani sidhani kama leo hii ningekuwa Ikulu.
Hakuna jambo lisilo na mwisho hatimaye harusi yetu ilimalizika.
Watu wa ukoo wangu walimshukuru Mfalme kwa kumpatia zawadi ya pombe.
Yeye pia aliwashukuru kwa kuwapatia vipande vya dhahabu kila mmoja.
Kwa kuwa sherehe ilikuwa imemalizika hawakukaa waliondoka.
Usiku wangu na wa Mfalme ulikuwa ni wa kipekee....pombe...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/usiku-mmoja-tu-alidata-sehemu-ya-17
Maoni