Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

Abbas Kumar Ganguly akaja kutambulika kama Kishore Kumar. Mdogo wa gwiji wa maigizo Ashok Kumar
Gonga94 ยท Stories

Abbas Kumar Ganguly akaja kutambulika kama Kishore Kumar. Mdogo wa gwiji wa maigizo Ashok Kumar

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ukiweka orodha ya waimbaji bora wa nyimbo katika filamu za kihindi, ukaja kumwacha huyu utakuwa umefanya kosa la jinai. Anaitwa Abbas Kumar Ganguly akaja kutambulika kama Kishore Kumar. Mdogo wa gwiji wa maigizo Ashok Kumar anayetajwa ni moja ya waigizaji bora kuwahi kutokea India.

Kishore Kumar alizaliwa mwaka 1929 akiwa ni wa mwisho katika familia yao. Wakubwa wake wakiwa ni Ashok Kumar, Sati Devi ambaye ni mke wa Sashadhar Mukherjee (huyu ni bibi yao mzaa baba kina Kajol na ndugu zake), pia kuna Anoop Kumar ambaye ni mwigizaji.

Kishore alifuata nyayo za kaka zake Ashok na Anoop ila uigizaji haukuwa uliyompa jina na heshima. alikuja kupata kwenye uimbaji. Huyu ndiye mwimbaji wa nyimbo maarufu kama Rhote Rhote, Andhaa Kaanoon, Khatoon ki khidimati mein. Alishinda tuzo nane za Filmfare. Katika maisha yake ya muziki aliimba jumla ya nyimbo 2905 kwa makadirio.

Kishore alifariki dunia mwaka 1987 kwa mshtuko wa moyo, ugonjwa ambao umeondoa maisha ya waimbaji wengi wa filamu za kihindi akiwemo Mukesh, Mohammed Rafi na wengineo. Alifariki katika siku ya kuzaliwa kaka yake Ashok, ikafanya ndugu yake asiisherekee tena hadi kufa kwake.

Katika maisha yake alioa mara nne, alimuoa Ruma Ghosh mwaka 1950 akamtaliki 1958, akamuoa Madhubala kuanzia 1960 hadi alipofariki mwaka 1969, akaja kumuoa Yogeeta Bali (mke wa Mithun Chakraborty wa sasa) mwaka 1976 na kuachana 1978, mwishowe akamuoa Leena Chandavarkar mwaka 1980 hadi anafariki alikuwa mkewe. Aliacha watoto wawili wa kiume ambao wote waliingia kwenye uimbaji, mkubwa akiwa ni Amit Kumar na mdogo ni Sumeet Kumar.

#Mambosreview
Tangazo - ila baba mkwe full story soma yote hapa
ila baba mkwe full story soma yote hapa
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Abbas Kumar Ganguly akaja kutambulika kama Kishore Kumar. Mdogo wa gwiji wa maigizo Ashok Kumar

ukiweka orodha ya waimbaji bora wa nyimbo katika filamu za kihindi, ukaja kumwacha huyu utakuwa umefanya kosa la jinai. Anaitwa Abbas Kumar Ganguly akaja kutambulika kama Kishore Kumar. Mdogo wa gwiji wa maigizo Ashok Kumar anayetajwa ni moja ya waigizaji bora kuwahi kutokea India.

Kishore Kumar alizaliwa mwaka 1929 akiwa ni wa mwisho katika familia yao. Wakubwa wake wakiwa ni Ashok Kumar, Sati Devi ambaye ni mke wa Sashadhar Mukherjee (huyu ni bibi yao mzaa baba kina Kajol na ndugu zake), pia kuna Anoop Kumar ambaye ni mwigizaji.

Kishore alifuata nyayo za kaka zake Ashok na Anoop ila...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/abbas-kumar-ganguly-akaja-kutambulika-kama-kishore-kumar-mdogo-wa-gwiji-wa-maigizo-ashok-kumar

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi abbas-kumar-ganguly-akaja-kutambulika-kama-kishore-kumar-mdogo-wa-gwiji-wa-maigizo-ashok-kumar
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest