Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
24 Dec 2025
379 views
VYOTE NDANI GONGA94
BAO LA NYUMA 🥺🥺🥺 *SEHEMU YA KWANZA*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
“Kubam!” mlio wa mlango kubamizwa kwa nguvu ulisikika.
“Shoga hebu nipe huo ubuyu wa moto kabla haujapoa,” Esta alisema hivyo kwa shauku ya umbea, ndiye aliyebamiza mlango pindi alipoingia ndani ya chumba
“Kiherehere changu chote cha mapenzi kimeniishia,” alisema Muna akiinamisha kichwa chake chini
“Kiherehere? Hebu jifunue nielewe basi,”
“Ni Hilali,”
“Hilali! Kafanya nini?”
“Acha tu, sijategemea kwakweli, nahisi kuchanganyikiwa,”
“Kabla hujachanganyikiwa niambie kwanza, maana ukishachanganyikiwa sitoweza kupata ubuyu wangu wa moto, ujue simu yako ndiyo iliyoniharakisha!”
“Hivi wanaume wa siku hizi wana shetani gani?”
“Na wewe usinichanganye sasa, nikichanganyikiwa sitausikia huo umbea,”
“Halafu uniletee vituko, mwenzako niko njia panda sielewi hata nifanye nini?”
“Hapo njia panda tupo wote sema, nielezee nini kimetokea,”
“Hilali eti anataka…” kigugumizi kidogo kilimshika Muna
“Anataka mfunge ndoa?”
“Bora ingekuwa hivyo, siyo ndoa rafiki yangu,”
“Sasa nini? Utaanza kunikera ujue!”
“Anataka nimpe nanihii eti ndio anioe,”
“Umpe nini? Mbona unajieleza kama mtoto mdogo jamani? Watoto waliozaliwa tisini mbona kazi hivyo!”
“Anataka nimpe mkundu, unaweza kuamini kweli Hilali anataka kunifira ndio anioe,”
“Makubwa! Mambo ya mkundu tena? Jamani yule kaka, mbona mstaharabu vile, kapatwa na nini?’
“Hata sielewi, ndiyo maana alikuwa anapenda sana matako yangu,”
“Hapo pagumu kweli, kutoa mkundu sikushauri, bora uachane naye,”
“Nampenda, hivyo unajua nampenda, jinsi alivyonisaidia mpaka nimemaliza chuo, hata sasa, amekuwa kama mzazi kwangu,”
“Kwahiyo unataka kumlipa fadhila kwa kumpa mkundu siyo?”
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS 🥰 yes amekuwa w...
Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
BAO LA NYUMA 🥺🥺🥺 *SEHEMU YA KWANZA*
“Kubam!” mlio wa mlango kubamizwa kwa nguvu ulisikika.
“Shoga hebu nipe huo ubuyu wa moto kabla haujapoa,” Esta alisema hivyo kwa shauku ya umbea, ndiye aliyebamiza mlango pindi alipoingia ndani ya chumba
“Kiherehere changu chote cha mapenzi kimeniishia,” alisema Muna akiinamisha kichwa chake chini
“Kiherehere? Hebu jifunue nielewe basi,”
“Ni Hilali,”
“Hilali! Kafanya nini?”
“Acha tu, sijategemea kwakweli, nahisi kuchanganyikiwa,”
“Kabla hujachanganyikiwa niambie kwanza, maana ukishachanganyikiwa sitoweza kupata ubuyu wangu wa moto, ujue simu yako ndiyo iliyoniharakisha!”
“Hivi wanaume wa siku hizi wana shetani gani?”
“Na wewe usinichanganye sasa, nikichanganyikiwa sitausikia huo umbea,”
“Halafu uniletee vituko, mwenzako niko njia panda sielewi hata nifanye nini?”
“Hapo njia panda tupo wote sema, nielezee nini kimetokea,”
“Hilali eti anataka…” kigugumizi...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/bao-la-nyuma-sehemu-ya-kwanza
Maoni