VYOTE NDANI GONGA94
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 15
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ENDELEA..........
"Kama mimba ni yako kubali kulea mtoto. Si busara kumsusia mtoto asiye na hatia" Baba Sony aliomgea.
"Waondoke mengine yatajulikana hapo badae kwa sasa sihitaji kuwaona kabisa. Wanawake wabaya sana nyie. Kwa tamaa za mali ulikuwa tayari kunifanya msukule wenu.
"Sasa Sony usiku huu tunaenda wapi jamani".
" basi endeleeni kukaa hapo si hamna pakwenda nisubirini. Sony aliingia chumbani kwake muda mchache alitoka akiwa na bastora mkononi.
Weee walivyoona bastora mbona walitafutana ๐๐๐.
Basi na ujinga wao kipindi chote walichokaa kwa Sony na malimbwata yote waliyomfanyia hakuna cha maana walichofanya wala kupata. Hela hawana nyumba hawana. Na pakwenda hawana.
Basi walivyo hawana haya walienda nyumbani kwetu. Mama aliwafukuza kama ubwa. Hata kama ni wewe ungewapokea watu wa namna hii?"
BAADA YA MIEZI SITA.
Mimi na Iron tuliludi Tanzania. Uzuri tulimkuta na baba amekuja likizo. Itoni alinichumbia na kunivisha pete ya uchumba.
Sony alipata taarifa za mimi kuludi alifunga safari mpaka nyumbani kwetu ila hakunikuta. Mie huyo nilikuwa kwa mume wangu mtarajiwa tunalea mimba changa๐ฅฐ๐.
Kwakuwa anapajua kwa Iron alinifuata huko huko.
"Karibu" Iron alimkaribisha kiroho safi.
"Sony hakuvunga kuniomba msamaha" Nilimsamehe ila ndo hakuwa na nafasi tena kwangu.
Siku moja nipo zangu kwa Iron nilipokea ugeni. Alikuwa Manka sijui alipajuaje kwa Iron.
Alikuwa amechoka sana, amekondo amefubaa, yaani kanypdoroka kama mwana sesere. Hata nguvu ya kumtimua nilikosa maana maisha yalivyompiga ni hudhuni aiseeee.
"Alianza kuniomba msamaha na kuomba nimstili kwa muda hana pa kwenda".
" vipi kuhusu mimba yako iliyokupq kiburu?"
"Niliitoa baada ya Sony kunifukuza"
"Ni sawa wewe ni ndugu yangu lakini pia wewe ni adui wa maisha yangu nafaa kukaa na wewe mbali mita elfu moja. Hivi manka mimi ningekuwa wewe WEWE UNGEWEZA tena kunisaidia mimi?"
"Nisamehe ndugu yangu nimejutia makosa yote niliyokufanyia"
"Kukusamehe nilishakusamehe kwa sasa nina maisha yangu mengine kabisa. Ila nimejifunza tu kwa yote uliyonitendea na sitaludia makosa tena. Msada wangu ni mmoja tu.
" ninakupa nauli uludi kijijini"
Nilimpa nauli Manka aende kijijini sikutaka kukaa nae karibu tena.
Baada ya mwezi mmoja tulifungs ndoa na Iron na baada ya kumaliza fungate rasmi Iron alinikabidhi kampuni mimi niisimamie na sio Sony. Mimi sasa ndo nilikuwa boss na Sony akikuwa mfanyakazi wa kawaida tu. Secretary wangu Sophia.
Kwa aibu Sony aliamua kuacha kaza na kujikita na biashara tu. Ndoa yangu ina amani na natarajia kujifungua watoto mapacha...........HUU NDO MWISHO WA SIMULIZI HII.
MOYO WANGU UMEJAWA NA SHUKURANI KWA AJILI YENU WATEJA WANGU AMBAO MMEKUWA FAMILIA YANGU KATIKA FASIHI HII. ASANTE SANAAAA! KWA SAPOTI YENU MWAKA MZIMA MPAKA LEO HII TUNAUMALIZA MWAKA WOTE TUKIWA NA UZIMA. HII NI ZAWADI YANGU KWAKO JAPO NI KIDOGO TU LAKINI NAAMINI MMEKIFURAHIA NA KITAACHA ARAMA NZURI YA UPENDO NDANI YA MIOYO YENU๐ซถ.
NAAMINI MWAKA 2026 ITAENDELEA KUWA PAMOJA NAMI KWA KUNISAPOTI KAZI ZANGU KWA NAMNA NZURI. BILA NYIE MIMI SIO KITU KATIKA FASIHI HII ANDISHI. NAWAPENDA, NAWATHAMINI NA NAJALI SANA UWEPO WENUโค๏ธโค๏ธโค๏ธ.
MUNGU AZIDI KUWABARIKI ZAIDI, 2026 UKAWE MWAKA WENYE BARAKA ZAIDI KWAKO NA FAMILIA YAKO KWA UJUMLA. MKAZIDISHIWE KILA ENEO NA MUNGU NA KUINULIWA KWA VIWANGO VYA JUU NA ALIYETUUMBA.
HAPPY NEW YEAR 2026๐ซถ๐.
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-wewe-ungeweza-sehemu