Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

DADA WA KAZI EPISODE 4

19th Jul, 2025 Views 80

DADA WA KAZI
EPISODE 4

Baraka alibaki anatazama milima miwili iliyotenganishwa na mfereji wa suezi... Mpka mjumbe alipoinuka na kutaka kuchangia hoja. Lakini jamaa alimtuliza na kumwambia hali ya hewa imechafuka na mazingira sio rafiki subiri wakati mwingine .

Alivokuwa na makusudi Aziza alijifanya anapiga deki mpaka kwenye mlango ambako alijifanya hakumuona baraka alipiga kinyume nyume mpka alipogusanisha hasi na chanya . Chanya ilipenyeza kwenye hasi . Aziza alijifanya kuruka ila kafanya makusudi tu ili baraka achanganyikiwa na musaaaaaaambwa...
" Sorry shemeji sikukuona jamani"
" Usijali hakuna shida una weza kuendelea na kazi tu aziza

Muda huo anamtazama macho ya shemeji yake yapo kwenye madodo magumu si unajua katoto kenyewe ni kakijiji hivyo hakayajuwi sana mambo hivyo mtindi haujalala kama wa wadada wa mjini πŸ˜…hii ni konzi sio ndala tuwekane sana hapo kisha tuendeleee....

Baada ya kumaliza kazi za asubuhi, Neema alimpigia simu rafiki yake na kuamua kutoka kwenda sokoni na saluni.
β€œAziza, naenda town kidogo. Nimepika chakula, ukiona Baraka amerudi mwambie atumpashia tu. Nitarudi kabla jioni,” Neema alisema.

β€œSawa Madam,” Aziza alijibu kwa adabu, ila ndani ya moyo wake alicheka kishetani:
β€œSasa ndo wakati wangu.” wakati ambao na mimi nautaka mchezo wa siku ile mi najuwa barak alifanya kusudi kwenye ashindwe kutofautisha hasi yangu na ya mke wake ...mmmmmh siamini baraka aliitaka mwenyewe ...

Lakini ile chanya yake mmmmh ni balaa haiachi kitu yaani hesabu za kukokotoa alinifunza yeye ile siku ya kwanza .sasa nataka nimuonyeshe kuwa shule nimeiweza yaani shule sasa imepata mwanafunzi muda huo vidole kwenye kibuyu anakizungusha na kuilaamba asali.aaaaaaaaaaaaah tamu asali ni tamu sana .....

Alipoona Baraka amerudi kutoka dukani lake la vifaa vya umeme, Aziza alitumia dakika kumi tu kuandaa mtego wake wa kwanza.

Alichukua nguo zake yaani kufuri nyekundu ya lace, na sidi... nyeupe aliyojua inamvutia akazipeleka bafuni na kuzitundika kwa makusudi kwenye mlango, kisha akajifungia humo kuoga. Baada ya dakika tano, alijifanya kusahau taulo, akaita kwa sauti laini:

β€œ Bossi … samahani kidogo… naweza kukuomba uniletee taulo langu chumbani… nimesahau kuingia nalo.”

Baraka, aliyekuwa anakunywa maji sebuleni, alinyanyuka na kuelekea chumbani cha Aziza. Alipoingia β€” akaona taulo kitandani, lakini macho yake yaligongana na kile kilichokuwa kimeanikwa kwa makusudi: kufuri nyekundu, bado na unyevunyevu, ikining’inia mlangoni kama bendera ya ushindi wa tamaa.

Baraka alimeza mate.

Alikichukua kile taulo kwa mikono iliyoanza kutetemeka kidogo. Aligonga mlango wa bafu.

β€œHii hapa…” alijibu kwa sauti ya kubana pumzi.

Aziza alifungua mlango kidogo tu, akautoa mkono wake na kwa makusudi kabisa, kifua chake kikavu bila sidiria kilionekana kwa sekunde mbili tu. Macho ya Baraka yalihama na kushikwa mateka.

β€œAhsante shemeji…” Aziza alijibu kwa sauti ya mahaba, na mlango ukafungwa.

Baraka alitulia pale kwa sekunde kadhaa, kisha akarudi sebuleni akiwa na moyo wa kukataa tamaa… lakini akili ikiwa imeanza kupasuliwa vipande.

Follow the HADITHI ZA KELVIN MLOWE β€οΈβœ‹πŸ”₯ channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46

WHATSAP KAMA UNA SHIDA YOYOTE USHAURI NA KADHALIKA MESSENGER HUWA SIITUMI
+255699286085.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DADA WA KAZI EPISODE 4  >>> https://gonga94.com/semajambo/dada-wa-kazi-episode-4
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest