Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
Gonga94 ยท Stories

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO........

Kila mtu alistuka Sana lakini taarifa hizo zilikuwa zikinichanganya Zaidi Mimi na Julius maana tumeshakuwa kwenye mahusiano kwa muda sana, nilikuwa nilijiuliza kwahiyo mama amjui mwanae au, nilikuwa na maswali mengi Sana na yaliitaji majibu kutoka kwa baba, lakini baba alikuwa akiongea uku machozi yakimtoka

" Najua sio rahisi kunielewa lakini naomba mnisikilize kwa makini NISAMEHE Sana Julius kwa kukutenganisha na mama yako, nakumbuka ulikuwa na miezi mitatu tu nilipokutenganisha na mama yako ulikuwa ugomvi mkubwa lakini mwanaume Ni mwanaume nilishinda, nilikuwa na dada yangu ambaye alikuwa akiitaji Sana mtoto na hakuwa na kizazi lakini mume wake alisisitiza sana kutaka mtoto na hakuwa akijua shida ya dada angu, aliposafiri kwenda nchi za nje, dada angu pia aligundua kuwa mke wangu Ni mjamzito hivyo akamdanganya mume wake kuwa yeye Ni mjamzito, hapo furaha ya ndoa ikarudi ingawa walikuwa mbalimbali lakini amani ilikuwepo, sasa mume wa Dada angu akapiga simu kuwa Yuko airport anarudi dada angu aliniomba Sana nimpatie mtoto kwani mume wake Ni mtu wa kuishi nchi za watu sana atakaa nawe miezi kadhaa Kisha atakuridisha mume wake akiondoka, tukumbuke muda huo mawifi na masheji wa dada angu wanajua kuwa wifi yao amejifungua na alikuwa akiwatumia picha za uongo, sikuwa na budi kukuchukua na kumpa dada angu ulitokea ugomvi mkubwa Sana kaati yangu na mke wangu, lakini upande wa Dada angu ilikuwa furaha Sana , nakumbuka mlimpokea salama kabisa lakini mlipokuwa njiani kurudi ilitokea ajali mbaya Sana dada angu alifariki hapohapo......"

Baba akanyamaza kidogo na kuangalia uku na uku Julius alionekana kuchanganyikiwa zaidi.

" Unaweza kuendelea kuongea au me nachanganyikiwa "

Alizungumza Julius, Kisha baba akaendelea

"Dada angu alipofariki wewe ukuumia hata kidogo , shemeji yangu alikaa hospital takribani wiki mbili na alikukabidhisha wewe kwa Dada yake ambaye Ni huyu ambaye unajua kuwa Ni mama yako, hivyo ilikuwa ngumu kukurudisha kwa mama yako, lakini pia shemeji yangu alifariki na malezi yako yote alikabidhiwa shangazi yako huyu sikuwa na namna Zaidi ya kukuacha lakini nilikuwa nikikutembelea kila siku, na mama saada sikuwai kumwambia kuwa wewe upo na unaishi naumia kwamba amefariki akiwa ajui kuwa wewe Ni kijana wake"

Mama mlezi wa Julius aliondoka akiwa analia Julius alitoka kwa hasira Sana...

Nilitoka nje na kumfuata lakini aliniangalia kwa hasira mno mpaka nikaogopa, nilimuacha akapanda gari na kuondoka, sikujua anaenda wapi, kichwa changu nikihisi kuwa kina waka Moto maana nilikuwa na maswali mengi mno ambayo majibu alikuwa nayo mama, moyo ulikuwa ukiniuma Sana Sana mpaka nilikuwa sijielewi machozi yalikuwa yanatoka tu kama mvua nilivimba macho mpaka sura yenyewe, nilitamani kukaa peke yangu muda wote, lakini nilikuwa na wasiwasi Sana na Julius kuwa ameenda wapi anafanya Nini je Yuko salama

"Daaaah Julius ndie mtu pekee wa muhimu niliyebaki nae katika maisha yangu, cjui kwanini maisha yamenigeukia Mimi Sasa Nani ana makosa Kati ya baba na mama , lakini mama Ni mbaya kuliko wote SI ndio ??"

Nilikuwa nikiongea peke yangu tu nilitamani kupata majibu sahihi lakini ilikuwa sio rahisi

Julius alirudi usiku Sana akiwa amechoka Sana alifika Moja kwa moja akamfata maa yake mlezi alipofika akiwa na maumivu makali Sana akamuuliza

" Kwahiyo wewe Ni naji yangu Sasa mbona sielewi na kwanini hukunambia kuwa Mimi sio mtoto wako"

"Julius una kila sababu ya kunilaumu nimekulea nikiwa najua kabisa wewe ni mtoto wa Kaka yangu, lakini sikutaka upate maumivu kwa kujua kuwa hauna wazazi, lakini leo nimeumia Zaidi baada ya kujua kuwa Kaka yangu hakuwai kuacha mtoto Bali alisingiziwa tu, lakini still Mimi Ni mama yako SI ndio....??"

Julius hakujibu chochote Zaidi aliondoka na kwenda kujifungia ndani kwake nilimtumia ujumbe nikitaka kuongea nae lakini alikataa.

Asubuhi na mapema , Julius alionekana akiwa na mabegi yake, mama yake mlezi alijitaidi Sana kumzuiq lakini haikuwa rahisi kwani alikataa kabisa

" Am sorry mama nahisi Kama dunia imenigeukia inanihukumu, naumia sijui niyaelezeaje maumivu yangu lakini nitarudi naomba uniache nikapumzishe akili sehemu nyingine yaani mbali na hapa"

Alizungumza Kisha akanyanyua mabegi yake na kuanza kutoka nje niliwai kwenye gari yake na kusimama kumzuia

" Uendi kokote mpaka usungumze na Mimi "

Aliniangalia tu kisha akajibu

" Kipi Cha kuzungumza, juu ya kumkana mama ako na kumtesa au...? Au kutokupata neno la mwisho kutoka kwa mama ako ambaye ulikuwa ukimuita shangazi, kipi unataka kujua Cha dada na kaka kuwa na mahusiano au kipi "

"Kaka Julius......"

Niliita kww upole machozi yakinitoka akanivuta na kunisukumia pembeni ata Kama tumejua Jana kuwa sisi ni damu moja sijui baba mmoja mama mmoja lakini undugu wetu niliuzika tangu pale kamili alivyotoweka katika uso wa ulimwengu na matanga ya udugu wetu tumemaliza kwenye mazishi ya mama, ishi maisha yako saada "

Kisha akapanda kwenye gari yake na kuondoka, kumbe maongezi yote hayo mama yangu wa kambo alikuwa akiyasikia, akanifuata nilipo nikajua akaanza kunibembeleza Cha ajabu akaanza kucheka

"Mmmmmmmmmmh jamani hapana dunia simama nishuke mbona makubwa haya shoga angu kuangaika gani uko mpaka kwa Kaka ako udangaji wako ni wa viwango "

Alizungumza hivyo bila kujali kuwa nilikuwa na hali gani muda huo alicheka sana, niliinuka na kumuacha hapo akiniangalia kwa dharau.

Niliingia ndani na kumwambia baba turudi nyumbani kwetu, Basi bila kupotez muda tulipanda gari na kurudi nyumbani moja kwa moja nilimshika baba mpaka chumbani kwangu nilikuwa na hasira mno, nilifunga mlango na kuanza kumuuliza maswali

" Kwanini uliikimbia familia yako .......??"

Nilimuuliza nikiwa serious Sana mpaka baba akaogopa .....

ITAENDELEA.....

Tangazo - General kumbe ulinipenda kweli eee
General kumbe ulinipenda kweli eee
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06



SONGA NAYO........

Kila mtu alistuka Sana lakini taarifa hizo zilikuwa zikinichanganya Zaidi Mimi na Julius maana tumeshakuwa kwenye mahusiano kwa muda sana, nilikuwa nilijiuliza kwahiyo mama amjui mwanae au, nilikuwa na maswali mengi Sana na yaliitaji majibu kutoka kwa baba, lakini baba alikuwa akiongea uku machozi yakimtoka

" Najua sio rahisi kunielewa lakini naomba mnisikilize kwa makini NISAMEHE Sana Julius kwa kukutenganisha na mama yako, nakumbuka ulikuwa na miezi mitatu tu nilipokutenganisha na mama yako ulikuwa ugomvi mkubwa lakini mwanaume Ni mwanaume nilishinda, nilikuwa na dada yangu ambaye alikuwa akiitaji Sana mtoto na hakuwa na kizazi lakini mume wake alisisitiza sana...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya-06

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

9.96K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.19K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.45K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.28K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.05K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.01K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.96K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.93K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest